Zitto Kabwe ampiga 'kijembe' Tundu Lissu kuhusu hoja za hati ya Muungano.

Zitto Kabwe ampiga 'kijembe' Tundu Lissu kuhusu hoja za hati ya Muungano.

Zitto anafikil watanzania wote wanaijua historia ya nchi kama wana siasa. Mi namkubal Lissu amefanya watu wengi tukanza kujua Tanganyika ilivyo kufa

Zitto asitake kuwadanganya Watanzania! Eti anajidai kuwa political correct. Hicho kitu hakiwezekani You cant eat your cake and have it at the same. Mimi mwenyewe pamoja na watanzania wengine hatujui Historia ya nchi hii. Hakuna ubishi tukiulizwa hapa Nani alikuwa Kiongozi wa Mapinduzi matukufu ya Zanzibar tutapata majibu mengi. Tukiulizwa hapa nani aliyemua Abeid Amani Karume na kwa malengo/sababu gani, tutapata majibu mengi hapa. kama Watanzania tunafahamu historia ya nchi yetu why majibu tofauti tofauti?
 
Just look at yourself! Kwamba unaona aibu kujua historia yako? Au unaona madhambi mliyoficha ndani ya historia hiyo ni hayafai watu wengine kuyajua?

Lakini mimi na watoto wangu, pamoja na wapenda maendeleo wote, TUTAIPENDA NCHI HII, hata kama ilikotoka kulikuwa kubaya, TUTAIPIGANIA hata kama nyie hamtaki na TUTASHINDA tu hata kama itachukua muda! That is a fact. Note this kwa sababu you will learn it as you see it coming! Mabadiliko ni lazima na hayapingiki. Hakuna sehemu yoyote ambapo wengi walitaka mabadiliko yakazuiwa. Take that as a lesson my dear. Many thanks.
Ndugu, ninadhani unajenga hoja huku umejawa na political emotion.

Kwanza lazima uelewe kuwa mabadiliko ni process ambayo imeanza kabla hata ya uwepo wa dunia ndiyo maana katika mabadiliko hayo kulileta dunia na katika mabadiliko ya kidunia ndiyo maana tumefika hatua hii inayoendelea kwa sasa. Hii dhana ya kusema mabadiliko yanakuja wala siyo jambo geni kwa mtu anayefahamu hata mabadiliko yanavyofanyika katika mwili wake achilia mbali katika nchi.

Swala la msingi ni kujiuliza kama hayo mabadiliko yanayokuja ni kwa faida ya ustawi chanya wa jamii au ustawi hasi.

Wabunge wa Bunge Maalum wako bungeni kuleta mabadiliko kitaifa katika kulijenga taifa kwa miaka zaidi ya 50 ijayo. Kwa hii dhana ya kusisitiza kuwa mabadiliko lazima aje ni kuonyesha kutokufahamu misingi na dhana ya mabadiliko.

Pili, dhana ya kusema watu wengi walitaka mabadiliko yakazuiwa sijui pia unaitoa wapi?. Labda uniambia ukisema watu wengi unamaanisha nini. Idadi ya watu wangapi na katika kipimo kipi?.

Achana na political rhetoric katika kujenga hoja za kisiasa.
 
Duuh Zitto ni jembe la ukweli huwezi kumlinganisha huyu dume na yule mwehu wa kinyaturu tundu lissu...Zitto ni mlima na lissu ni kichuguu..jamaa Zitto kashusha points with figure(statistics) yaani huyu ZZK ni leader material,na huyo mwingine mwehu ni activist akajiunge na NGO ..hovyoo sana huyo mnyaturu namuombea kwa mungu apigwe chini come 2015.

Zitto akisoma hii post afu asikuoe nakushauri ukaogee magadi. Hizi ni sifa azitoazo mke kwa mmewe kwa asilimia 100.
 
Zitto akisoma hii post afu asikuoe nakushauri ukaogee magadi. Hizi ni sifa azitoazo mke kwa mmewe kwa asilimia 100.

Keshajipatia "smolu hausi" tayari, hawa ndo wanaomfanya Zitto asifikirie kuoa.
 
Zitto aliongea kile alichokiona ni sahihi amna cha vijembe hapo..vijembe walipigana Bi.Asha na Bw. Jusa.. Vijembe ni upuuzi upuuzi kama ule...but kwa zitto ameonga points zake zmbazo kwa tafsiri za namna moja au nyingine zinaweza mgusa kila mtu regardless ni wa chama gani..kumbuka mambo ya uchama sio business kubwa ya Zitto pale bungeni ndo pekee naemuona ana misimamo ya kutaka katiba isiyopendelea chama fulani..
 
Keshajipatia "smolu hausi" tayari, hawa ndo wanaomfanya Zitto asifikirie kuoa.

Hahahahah Zitto anafaidi sana. Ngoja nami nianze kumwaga mapoint nijizolee hivi vichenchede bure bileshi.
 
Kumbe mada imeanzishwa na huyu? Sasa wapi alipomzungumzia Lissu? Mmejaa propaganda na uchonganishi mpaka mnaonekana waji.nga

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Ndugu, ninadhani unajenga hoja huku umejawa na political emotion.

Kwanza lazima uelewe kuwa mabadiliko ni process ambayo imeanza kabla hata ya uwepo wa dunia ndiyo maana katika mabadiliko hayo kulileta dunia na katika mabadiliko ya kidunia ndiyo maana tumefika hatua hii inayoendelea kwa sasa. Hii dhana ya kusema mabadiliko yanakuja wala siyo jambo geni kwa mtu anayefahamu hata mabadiliko yanavyofanyika katika mwili wake achilia mbali katika nchi.

Swala la msingi ni kujiuliza kama hayo mabadiliko yanayokuja ni kwa faida ya ustawi chanya wa jamii au ustawi hasi.

Wabunge wa Bunge Maalum wako bungeni kuleta mabadiliko kitaifa katika kulijenga taifa kwa miaka zaidi ya 50 ijayo. Kwa hii dhana ya kusisitiza kuwa mabadiliko lazima aje ni kuonyesha kutokufahamu misingi na dhana ya mabadiliko.

Pili, dhana ya kusema watu wengi walitaka mabadiliko yakazuiwa sijui pia unaitoa wapi?. Labda uniambia ukisema watu wengi unamaanisha nini. Idadi ya watu wangapi na katika kipimo kipi?.

Achana na political rhetoric katika kujenga hoja za kisiasa.

1.Hoja haikuwa mabadiliko yalianza lini.

2.Sidhani kama Bunge hilo litaleta jipya ndani ya nchi hii kwa kulazimisha watu waendelee kuishi na system mbovu iliyoonyesha kufeli kwa miaka karibu 50 sasa. Kwa mwenye zake kichwani its obvious we need to change.

3."Wengi" haikumaanisa wingi kwa maana ya idadi ya wanaotaka within kundi. iIiwakilisha phenomena ya mabadiliko in general. Kwamba maeneo yote ambapo kumetakiwa mabadiliko huwa hawapokelewi kwa shamrashamra.

Vp bado unaona political emotions?..I don't think so.
 
Mwanadiwani kwa post kama hizi na ww unataka kuitwa great thinker?
Watu walioenda shule wanajiuliza kundi ambalo wewe upo linashindwa nin kutambua kuwa nchi mbili kuungana na kuunda serikali inawezekanaje?
Jitendee haki mwenyewe and try to get out of darkness,wasomi hawachukui vitu jumla jumla bila kuvielewa,hilo gizo ambalo upo ni hatari,ka kweli u msomi basi wazazi na walimu wote wamekula hasara.
Hata kama unakula kwa hisani ya hao wanaong'ang'ania serikali mbili ukitulia jaribu kutafakari je inawezekanaje nchi mbili huru ziungane na kuzaa nchi mbili huru?
 
Yah, Zitto is one of the best young leader who has very bright future in this Nation. The guys is bright, full of wisdom and he can play his cards very well

Bravo Zitto

Unaonaje kama ungetumia tu lugha ya kiswahili kuliko kutumia kabisa hiyo lugha ambayo hauna uelewano nayo???????????????????.Hiyo lugha ya kimombo jamaa yangu unaipenda lakini yenyewe ni dhahili kwamba HAIKUPENDI!!!!!!!!!!!!!.
 
Zitto akisoma hii post afu asikuoe nakushauri ukaogee magadi. Hizi ni sifa azitoazo mke kwa mmewe kwa asilimia 100.

Ahahahahahaaaa,akaogee magadi achanganye na pilipili mbuzi.
 
mleta hoja acha ushabiki jitahidi zito akumaanisha hcho unacho post..angalia hoja siyo .mtu.nilipenda sana hotuba ya lisu pamoja na zto
 
Yah, Zitto is one of the best young leader who has very bright future in this Nation. The guys is bright, full of wisdom and he can play his cards very well

Bravo Zitto
Really?!
 
Back
Top Bottom