Zitto Kabwe ampiga 'kijembe' Tundu Lissu kuhusu hoja za hati ya Muungano.

Umekosa cha kuandika ndugu? Sidhani hata Zitto anaweza kujivunia mashabiki wasiojatambua kama wewe.
 
Zitto ni miongoni mwa watanzania wachache wenye busara na wenye uoni wa horizon za mbaaali! .Hata hivyo nyota inapong'ara husuda lazma. Zitto atakuja kufanya jambo katika nchi hii.It is a matter of time!
 
Kwani hapa ndiyo sehemu ya kuleta ili 'wahusika' wake wakanushe hizi fake digitally print

Hivi ni rais gani vile hajui ni kwa nini wananchi wake wanaishi kwenye lindi la umaskini wakati wana kila kitu , halafu ni nchi gani vile wanafunzi wanaingia form one hawajui kusoma wala kuandika chama kinachoongoza ni kipi vile ni rais gani anayeongoza duniani kwa kupanda ndege yaani kupigapiga hodi kwenye nyumba za jirani hadi wameshamchoka hembu nikumbushe jembe.
 

Wewe Mpuuzi na kilaza MwanaDiwani hivi unajua nini maana ya Computer Programming wewe ?
 
Last edited by a moderator:
Halafu wewe kilaza MwanaDiwani ukiacha Lissu,watu kibao tu katika michango yao wameelezea historia ya Muungano na kuwajadili waasisi wake.
Sasa sijui na hao Zitto kawapiga kijembe.
Njaa itakufanya ufanyiwe michezo mibaya mjini hapa
 
Last edited by a moderator:
Zitto ni miongoni mwa watanzania wachache wenye busara na wenye uoni wa horizon za mbaaali! .Hata hivyo nyota inapong'ara husuda lazma. Zitto atakuja kufanya jambo katika nchi hii.It is a matter of time!

Mkuu naona Kampeni zako dhidi ya huyu jamaa nowdays zimekuwa too weak.
Siku hizi ume cease kabisa kuanzisha thread mpya kumpamba Msaliti baada ya kuona kuwa unazidi kuijiabisha na kujidhalilisha japa jukwaani.
 
Mkuu naona Kampeni zako dhidi ya huyu jamaa nowdays zimekuwa too weak.
Siku hizi ume cease kabisa kuanzisha thread mpya kumpamba Msaliti baada ya kuona kuwa unazidi kuijiabisha na kujidhalilisha japa jukwaani.

kaka,
salama lakini ndugu?
 
Wanaosema hawataki kuona hati ya muungano kwenye hili suala zito wanadanganya. Huu ni muungano wa nchi mbili na Katiba inayoandikwa msingi wake ni hati hii. Utapitishaje kitu msingi wake huujui uimara wake?
 
Zito kamlenga lisu..sbb lisu ndyo aliyekuja nahistoria,ila zito alipaswa kukubali historia na c vingenevyo
 
Zito anacho kisema ni kweli kabisa,bunge lijadil mambo ya rasm katiba sio juu ya muungano
 
ndani ya chadema hakuna mwenye uwezo kumkaribia zitto

Nyie magamba mnamuona Zitto kuwa mwenye uwezo mkubwa kwa vile ndiye pekee katika Chadema mnayefanya naye kazi kwa karibu sana (niongezee haraka hapa kwa kusema "huko gizani").

Kwa vile huko magambani wote (repeat "WOTE") ni vilaza watupu, mtu kama Zitto lazima mumuone ni kama superhuman.
 
huyu jamaa siwez kumlaumu sana hajielew anachofanya anatapa tapa na mpaka sasa ameeleweka si mpinzan bali ni mccm hivyo anahak ya kuilinda ccm yake
 
Kama sio ya mhimu ww iache, jadili inayo kuhusu. Kwangu ni ya mhimu.
 
huyu jamaa siwez kumlaumu sana hajielew anachofanya anatapa tapa na mpaka sasa ameeleweka si mpinzan bali ni mccm hivyo anahak ya kuilinda ccm yake
 
tuache ushabiki usio wa maana sasa hapo kijembe gani kapigwa lissu, coz ukicheki zitto alisema miundo yote miwili inaweza kuvunja muungano, na katika misimamo yote miwili hakuna mushindi cha nusingi watafute mwafaka, aidha kwa kuwa na serikali moja au ccm waje na hoja za kutushawishi wananchi tukubali serikali 2
 

Mbona unamtaja Lissu tu kwa maelezo uliyoyaweka hapo Dongo kubwa limeelekezwa kwa Kikwete, Lukuvi, Pinda, Nape, Kinana ambao wanatoa matamko ya ajabu ajabu juu ya suala hili la katiba
 
Kinachonisikitisha ni kwamba,"""" historian ya ukoo wenu unaijua hadi kwa babu yako mzaa baba. And not beyond that"""""
Vipi ulishawahi kuomba Cheti cha nndoa cha wazazi wako?????? Au bado wanaishi Pasi na mapenzi ya mungu?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…