Zitto Kabwe and ACT Wazalendo: Entangled in the Web of Conflict of Interest?

Binafsi naona ni mambo mawili yanamtesa Zitto.

1.Alipo ondoka Cdm aliamini kabisa kuwa huo ungekuwa mwisho wa CDM.

2.Tamaa ya kujipatia kipato imemfanya kuwa mtumwa wa ccm maana anakuwa rahisi kununuliwa hivyo wanamfunga mdomo kwa fedha .
 
Msihangaike na zitto.Ni mnafiki na mchumia tumbo tangu akiwa Kigoma sec .Ukiongea na wakongwe waliikuwepo wakati anaratibu mgomo kipindi kile hautashangaa kwa hiki anachofanya sasa hivi .Zitto alikuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi kipindi hicho .Akiohojiwa na walimu anatoa taarifa tofauti,akienda kwa wanafunzi anachochea mgomo.Iliwachukua walimu mbinu za ziada kumugundua na hatimaye wakamfukuza.

Kinachotokea sasa hakina tofauti sana. Machoni mwa watu anataka aonekane mtetezi wa haki ,lakini deep inside,anajua he has to stay relevant,hivyo analazimika kutoipinga ccm inayompa ulaji kule Zanzibar.
Anabaki TU kutoa petty statements ili aonekane yuko upande wa wananchi .
 
Nadhani sasa watu wameanza kuelewa ni kwanini chadema ililazimika kumfukuza.
 
Lakini wakati wa magufuli alipaza sauti sana kupinga ukatili wa magufuli!....

Zitto hakumpinga Magufuli sbb ni katili, alimpinga sbb alikamata na kuharibu biashara yake ya korosho huko Mtwara na Lindi, hivyo Zitto hali ya fedha ikawa mbaya, Zitto hajawahi kuwa kiongozi, yeye ni maslahi yake kwanza na mdini sana na hovyo sana, pia ana tishia watu uchawi pia, na hajawahi hata siku moja kuaminika, kokote kule aendako.
 
Nakuunga mkono kwa hoja zako zote juu ya Omwami Ruyagwa
 
Inahitajika akili ya mwendawazimu kumuamini Zitto Kabwe. Huyu udini,usaliti na unafiq umemtawala sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…