Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hojaZit to is already completely compromised .. Tusitegemee lolote la maana toka kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi naona ni mambo mawili yanamtesa Zitto.Baadhi ya tulioamini kuwa ni Wapinzani kumbe ni watu wa hovyo tu.
Mungu huwa anatufunulia wale ambao tusingeweza kuwatambua kwa macho na fahamu zetu.
Huwezi amini kwamba huyu ni Zitto aliyetufundisha siasa za uzalendo na kipigamia haki.
Amepotea kabisa.
Au anapata kinyongo anavyoona Chadema inazidi kuchanua na kustawi kinyume na matarajio yake.
Zitto alidhani baada ya Kuondoka Chadema basi chama kingekufa.
Ameamua kuungana na maadui
Kwa sasa hawezi kufanya hayo maana pia udini unamsumbua anaona ni wakati wake kuonyesha utii kwa mwenye kitiLakini wakati wa magufuli alipaza sauti sana kupinga ukatili wa magufuli!....
Kumbuka pia ameoa zenjiExactly, haya yanayofanyiwa tanganyika, Lakini anajinasuaje na hali anategemea survival yake toka CCM na huku anataka Watanganyika wamuone ni mwenzao katika kutetea maslahi ya tanganyika
Bila zzk basi unafiki usingekuwepo TanzaniaKumjadili ZZK nikumpa promo ya bure. Unafiki wake tumeuzoea tukampuuza.
Pesa za Serikali ya Umoja wa KitaifaZitto anaithamini zaidi Zanzibar kuliko Tanganyika kwa sababu ndiyo inayompa kula kwa sasa
Nadhani sasa watu wameanza kuelewa ni kwanini chadema ililazimika kumfukuza.Baadhi ya tulioamini kuwa ni Wapinzani kumbe ni watu wa hovyo tu.
Mungu huwa anatufunulia wale ambao tusingeweza kuwatambua kwa macho na fahamu zetu.
Huwezi amini kwamba huyu ni Zitto aliyetufundisha siasa za uzalendo na kipigamia haki.
Amepotea kabisa.
Au anapata kinyongo anavyoona Chadema inazidi kuchanua na kustawi kinyume na matarajio yake.
Zitto alidhani baada ya Kuondoka Chadema basi chama kingekufa.
Ameamua kuungana na maadui
Ni kwa sababu hakuwa kwenye orodha ya MAOKOTO ya mwendazake.Lakini wakati wa magufuli alipaza sauti sana kupinga ukatili wa magufuli!....
Hayo ndiyo malipo ya wasalitiHali yake ni tete...
Afadhali umeamua kumpatia elimu ya bureHatetei maslahi ya Watanganyika ndio maana watu wanamsema.
Lakini wakati wa magufuli alipaza sauti sana kupinga ukatili wa magufuli!....
Nakuunga mkono kwa hoja zako zote juu ya Omwami RuyagwaZitto hakumpinga Magufuli sbb ni katili, alimpinga sbb alikamata na kuharibu biashara yake ya korosho huko Mtwara na Lindi, hivyo Zitto hali ya fedha ikawa mbaya, Zitto hajawahi kuwa kiongozi, yeye ni maslahi yake kwanza na mdini sana na hovyo sana, pia ana tishia watu uchawi pia, na hajawahi hata siku moja kuaminika, kokote kule aendako.
Inahitajika akili ya mwendawazimu kumuamini Zitto Kabwe. Huyu udini,usaliti na unafiq umemtawala sanaZito Kabwe, Kiongozi wa chama cha ACT amekuwa kimya kwa masuala makubwa yanayoikumba Tanzania, Tanganyika in particular. Kwa tunaomfahamu Zitto Kabwe na umahili wake wa kuchambua mambo ya kisiasa, kiuchumi n.k. leo hii amekuwa kimya katika suala la Bandari, Loliondo, Ngorongoro, katiba mpya with an exception of Tume huru ya uchaguzi huru ambayo infact haoni shida kuratibiwa na CCM!
Entangled in a Web of Conflict of Interest?
What is a Conflict of Interest? A conflict of interest occurs when an individual's personal interests – family, friendships, financial, or social factors – could compromise his or her judgment, decisions, or actions in the workplace. (from google)
1. Chama chake ACT uhai na uwepo wake unategemea Zanzibar, atampinga Samia katika haya anayoifanyia Tanganyika?
2. Wenzake wa chana chake huko zanzibar wanaunga mkono udhalimu unaofanyiwa Tanganyika na Samia na serikali yake, je atajitenga nao?
3. Akijitenga nao ACT si ndio kifo chake kisiasa na kifedha?
Hana mtihani wowote huyo alishafaulu siku nyingi ni kibaraka mwandamizi wa watawalaYuko kwenye mtihani mkubwa sana