Zitto Kabwe and ACT Wazalendo: Entangled in the Web of Conflict of Interest?

Zitto Kabwe and ACT Wazalendo: Entangled in the Web of Conflict of Interest?

Baadhi ya tulioamini kuwa ni Wapinzani kumbe ni watu wa hovyo tu.

Mungu huwa anatufunulia wale ambao tusingeweza kuwatambua kwa macho na fahamu zetu.

Huwezi amini kwamba huyu ni Zitto aliyetufundisha siasa za uzalendo na kipigamia haki.

Amepotea kabisa.

Au anapata kinyongo anavyoona Chadema inazidi kuchanua na kustawi kinyume na matarajio yake.

Zitto alidhani baada ya Kuondoka Chadema basi chama kingekufa.

Ameamua kuungana na maadui
Binafsi naona ni mambo mawili yanamtesa Zitto.

1.Alipo ondoka Cdm aliamini kabisa kuwa huo ungekuwa mwisho wa CDM.

2.Tamaa ya kujipatia kipato imemfanya kuwa mtumwa wa ccm maana anakuwa rahisi kununuliwa hivyo wanamfunga mdomo kwa fedha .
 
Msihangaike na zitto.Ni mnafiki na mchumia tumbo tangu akiwa Kigoma sec .Ukiongea na wakongwe waliikuwepo wakati anaratibu mgomo kipindi kile hautashangaa kwa hiki anachofanya sasa hivi .Zitto alikuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi kipindi hicho .Akiohojiwa na walimu anatoa taarifa tofauti,akienda kwa wanafunzi anachochea mgomo.Iliwachukua walimu mbinu za ziada kumugundua na hatimaye wakamfukuza.

Kinachotokea sasa hakina tofauti sana. Machoni mwa watu anataka aonekane mtetezi wa haki ,lakini deep inside,anajua he has to stay relevant,hivyo analazimika kutoipinga ccm inayompa ulaji kule Zanzibar.
Anabaki TU kutoa petty statements ili aonekane yuko upande wa wananchi .
 
Baadhi ya tulioamini kuwa ni Wapinzani kumbe ni watu wa hovyo tu.

Mungu huwa anatufunulia wale ambao tusingeweza kuwatambua kwa macho na fahamu zetu.

Huwezi amini kwamba huyu ni Zitto aliyetufundisha siasa za uzalendo na kipigamia haki.

Amepotea kabisa.

Au anapata kinyongo anavyoona Chadema inazidi kuchanua na kustawi kinyume na matarajio yake.

Zitto alidhani baada ya Kuondoka Chadema basi chama kingekufa.

Ameamua kuungana na maadui
Nadhani sasa watu wameanza kuelewa ni kwanini chadema ililazimika kumfukuza.
 
Lakini wakati wa magufuli alipaza sauti sana kupinga ukatili wa magufuli!....

Zitto hakumpinga Magufuli sbb ni katili, alimpinga sbb alikamata na kuharibu biashara yake ya korosho huko Mtwara na Lindi, hivyo Zitto hali ya fedha ikawa mbaya, Zitto hajawahi kuwa kiongozi, yeye ni maslahi yake kwanza na mdini sana na hovyo sana, pia ana tishia watu uchawi pia, na hajawahi hata siku moja kuaminika, kokote kule aendako.
 
Nakuunga mkono kwa hoja zako zote juu ya Omwami Ruyagwa
 
Zito Kabwe, Kiongozi wa chama cha ACT amekuwa kimya kwa masuala makubwa yanayoikumba Tanzania, Tanganyika in particular. Kwa tunaomfahamu Zitto Kabwe na umahili wake wa kuchambua mambo ya kisiasa, kiuchumi n.k. leo hii amekuwa kimya katika suala la Bandari, Loliondo, Ngorongoro, katiba mpya with an exception of Tume huru ya uchaguzi huru ambayo infact haoni shida kuratibiwa na CCM!

Entangled in a Web of Conflict of Interest?​

What is a Conflict of Interest? A conflict of interest occurs when an individual's personal interests – family, friendships, financial, or social factors – could compromise his or her judgment, decisions, or actions in the workplace. (from google)
1. Chama chake ACT uhai na uwepo wake unategemea Zanzibar, atampinga Samia katika haya anayoifanyia Tanganyika?
2. Wenzake wa chana chake huko zanzibar wanaunga mkono udhalimu unaofanyiwa Tanganyika na Samia na serikali yake, je atajitenga nao?
3. Akijitenga nao ACT si ndio kifo chake kisiasa na kifedha?
Inahitajika akili ya mwendawazimu kumuamini Zitto Kabwe. Huyu udini,usaliti na unafiq umemtawala sana
 
Back
Top Bottom