Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Ni wakati Vyama vya upinzani kuweka pembeni tofauti zao na kukaa pamoja kurekebisha makosa yaliyopita kuwa na mgombea urais mmoja katika uchaguzi ujao.
Soma Pia:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kuwa una "negative attitude" dhidi yake....
Zitto alishauza akili zake.
Ccm ina vyama vyake kwenye kambi ya upinzani ambavyo hufanya kazi yake. Kuungana na vyama hivyo ni kujiandaa kucheza midundo ya mbogamboga
Huu ni mkenge wa enzi za UKAWAKiongozi mstaafu wa Chama cha ACT- Wazalendo Zitto Kabwe, akizungumza na Crown Fm ametoa rai yake kuhusu Upinzani kuungana na kuwa na mgombea mmoja. Akizungumzia jambo hilo Zitto amesema:
Ni wakati Vyama vya upinzani kuweka pembeni tofauti zao na kukaa pamoja kurekebisha makosa yaliyopita kuwa na mgombea urais mmoja katika uchaguzi ujao.
ZItto atawaingiza wenzie mkenge kama LipumbaNaungana na zito katika hili. Hata hivo walichelewa. Vyama vya upinzan vikiungana ccm chali.
Aache kuhadaa watu.Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT- Wazalendo Zitto Kabwe, akizungumza na Crown Fm ametoa rai yake kuhusu Upinzani kuungana na kuwa na mgombea mmoja. Akizungumzia jambo hilo Zitto amesema:
Ni wakati Vyama vya upinzani kuweka pembeni tofauti zao na kukaa pamoja kurekebisha makosa yaliyopita kuwa na mgombea urais mmoja katika uchaguzi ujao.
UKAWAKiongozi mstaafu wa Chama cha ACT- Wazalendo Zitto Kabwe, akizungumza na Crown Fm ametoa rai yake kuhusu Upinzani kuungana na kuwa na mgombea mmoja. Akizungumzia jambo hilo Zitto amesema:
Ni wakati Vyama vya upinzani kuweka pembeni tofauti zao na kukaa pamoja kurekebisha makosa yaliyopita kuwa na mgombea urais mmoja katika uchaguzi ujao.
Kuweni makini naye, anaweza kuja na mgombea wake mfukoni halafu dakika za mwisho anamwacha solemba ili kuwasafishia njia waleeeee!!!Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT- Wazalendo Zitto Kabwe, akizungumza na Crown Fm ametoa rai yake kuhusu Upinzani kuungana na kuwa na mgombea mmoja. Akizungumzia jambo hilo Zitto amesema:
Ni wakati Vyama vya upinzani kuweka pembeni tofauti zao na kukaa pamoja kurekebisha makosa yaliyopita kuwa na mgombea urais mmoja katika uchaguzi ujao.
Bila wapinzani kuungana ccm haing'oki wala kutetereka, endeleeni kujifanya wapinzani kweli kuliko wenzenu muone mtaishia wapiCcm ina vyama vyake kwenye kambi ya upinzani ambavyo hufanya kazi yake. Kuungana na vyama hivyo ni kujiandaa kucheza midundo ya mbogamboga
Mrema anacheeka kaburiniKipigo kwa ccm kiko pale pale , hata chadema ikisimama kivyake , japo naunga mkono mashirikiano
wizi wa kura na matumizi ya dola ni fasheni watafanyajeKwa kuwa una "negative attitude" dhidi yake....
Basi kila alisemalo utalichukua kwa mtazamo HASI....
Mgombea mmoja ndio turufu ya upinzani kuongeza IDADI ya majimbo....hili nalo ni la kificho na si la kweli ?!?!!
Yaani mkose urais na mkose hata wingi wa majimbo ?!!!
Kwanza sijamskikia Kauli yake kuhusu Kutekana na Kuteswa na wasiojulikana.Kwa kuwa una "negative attitude" dhidi yake....
Basi kila alisemalo utalichukua kwa mtazamo HASI....
Mgombea mmoja ndio turufu ya upinzani kuongeza IDADI ya majimbo....hili nalo ni la kificho na si la kweli ?!!!
Yaani mkose urais na mkose hata wingi wa majimbo ?!!!