Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
Kwa tamaa za madaraka za Mbowe na Chadema yake hawawezi kukubali hili jambo. Na hiyo ni faida kwa CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT- Wazalendo Zitto Kabwe, akizungumza na Crown Fm ametoa rai yake kuhusu Upinzani kuungana na kuwa na mgombea mmoja. Akizungumzia jambo hilo Zitto amesema:
Ni wakati Vyama vya upinzani kuweka pembeni tofauti zao na kukaa pamoja kurekebisha makosa yaliyopita kuwa na mgombea urais mmoja katika uchaguzi ujao.Soma Pia:
Kwa kuwa una "negative attitude" dhidi yake....
Basi kila alisemalo utalichukua kwa mtazamo HASI....
Mgombea mmoja ndio turufu ya upinzani kuongeza IDADI ya majimbo....hili nalo ni la kificho na si la kweli ?!!!
Yaani mkose urais na mkose hata wingi wa majimbo ?!!!
Tatizo Siyo vyama vya Upinzani na wala tatizo Siyo CCM, bali tatizo ni kuwepo kwa Katiba mbaya sana na Sheria za nchi zilizopo pia ni mbaya sana. Hilo ndilo tatizo.Ccm ina vyama vyake kwenye kambi ya upinzani ambavyo hufanya kaz
Bila wapinzani kuungana ccm haing'oki wala kutetereka, endeleeni kujifanya wapinzani kweli kuliko wenzenu muone mtaishia wapiwizi wa kura na matumizi ya dola ni fasheni watafanyaje
i yake. Kuungana na vyama hivyo ni kujiandaa kucheza midundo ya mbogamboga
Kwanini wasiungane na mumeo ambaye hana tamaa?Kwa tamaa za madaraka za Mbowe na Chadema yake hawawezi kukubali hili jambo. Na hiyo ni faida kwa CCM
Naunga mkono hoja ya ZZK ya mgombea mmoja wa upinzani.Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT- Wazalendo Zitto Kabwe, akizungumza na Crown Fm ametoa rai yake kuhusu Upinzani kuungana na kuwa na mgombea mmoja. Akizungumzia jambo hilo Zitto amesema:
Ni wakati Vyama vya upinzani kuweka pembeni tofauti zao na kukaa pamoja kurekebisha makosa yaliyopita kuwa na mgombea urais mmoja katika uchaguzi ujao.Soma Pia:
Mazombie lazima waache usingizi, lakini wanaojitambua hakuna atakayejitokeza kushiriki huo uhuni.Hayo amesema Tindo lakini mimi najua watu wana wacha usingizi na kupanga misururu kupiga kura!
Aachane na cdm, yeye aviunganishe vyama vingine vya upinzani wasimamishe mgombea mmoja.Naunga mkono hoja ya ZZK ya mgombea mmoja wa upinzani.
P
Hivi unaweza ukaungana na vyama kama UDP,NCCR,CHAUMA,CCK,TLP...? na ukategemea utapata muungano thabiti wa kuleta ushindi?Naungana na zito katika hili. Hata hivo walichelewa. Vyama vya upinzan vikiungana ccm chali.
You are wrong.Naunga mkono hoja ya ZZK ya mgombea mmoja wa upinzani.
P
Ubaya wa katiba ni upi?..kifungu gani cha katiba ni kibaya?Tatizo Siyo vyama vya Upinzani na wala tatizo Siyo CCM, bali tatizo ni kuwepo kwa Katiba mbaya sana na Sheria za nchi zilizopo pia ni mbaya sana. Hilo ndilo tatizo.
Maisha mazuri kwa wa-Tanzania yanawezekana bila ya vyama vya Siasa.
Haiwezekani kutoboa kwa kuungana na vyama vibaraka wa ccm wewe, never.Bila wapinzani kuungana ccm haing'oki wala kutetereka, endeleeni kujifanya wapinzani kweli kuliko wenzenu muone mtaishia wapi
Toka tuondokane na sera za ujamaa na kujitegemea, hamna chama cha siasa chenye kitu unachoweza kuita sera. Ndio maana watu wanahama kila kukicha bila tatizo lolote. Kila kitu kimekuwa personalised. Sera ya CCM ni Samia Suluhu Hassan, ya Chadema ni Mbowe na Lissu n.k. Wanachotakiwa kufanya ni kukubaliana nani atabeba bendera ya upinzani. Hayo ya sera yatafuata baadae. Suala sio ACT Wazalendo watakubali kuunga mkono Chadema bali ni je Zitto atakubali kumuunga mkono Lissu.Yaani..wakiunganisha wagombea sera zipi zitafuatwa bila makubaliano?
Kwani chama chako kina upinzani upi!?..chama kilichoanzishwa na kachero mtei nacho cha upinzani!?.. wakati cuf wanagomea matokeo 2005,mbowe alikaa meza ya mbele kabisa kwenye hafla ya CCM kusherehekea ushindi wa kikweteHaiwezekani kutoboa kwa kuungana na vyama vibaraka wa ccm wewe, never.
Mnaungana mnamsimamisha mtu kutoka ACT-wazalendo kuwawakilisha, anafanya kampeni kama kawaida, ikibaki siku 1 kabla ya uchaguzi, anaita press anawaambia ameamua kuunga mkono sa100. Mchakato unaishia hapo
Ni wapi nimesema nina chama chochote?!!Kwani chama chako kina upinzani upi!?
MnaelewekaNi wapi nimesema nina chama chochote?!!