Pre GE2025 Zitto Kabwe ashauri vyama vya Upinzani kusimamisha Mgombea mmoja wa Urais katika uchaguzi ujao

Pre GE2025 Zitto Kabwe ashauri vyama vya Upinzani kusimamisha Mgombea mmoja wa Urais katika uchaguzi ujao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yaani ukishakuwa "chawa wa mama" unahisi kila asiyekubaliana na mapambio yako ni CHADEMA?!!!
Kwani tunajadili pambio hapa!!?..tunajadili vyama kuungana dhidi ya CCM kama alivyorai zitto,umesema act ni ccm b,hii inajulikana kauli ya watu gani, endeleeni kuvaa kombati joto kali tuone mtafika wapi!!
 
Tumewashtukia nyie "timu chawa", ushauri wenu pelekeni Lumumba huko.

Haiwezekani chawa wa timu A waishauri timu B namna ya kujipanga ili waishinde timu A
 
Tumewashtukia nyie "timu chawa", ushauri wenu pelekeni Lumumba huko.

Haiwezekani chawa wa timu A waishauri timu B namna ya kujipanga ili waishinde timu A
Umeshindwa kukaza kuficha kombati zako
 
Only Lissu kwa sasa anaweza kuwasemea Watanzania pamoja na issue zake nyingi. Ila nafikiri anajali Tanzania kuliko pesa ila sometimes anachukua Barrick Gold issue. Lakini kwenye uzalande yupo vizuri kuliko kiongozi yoyote Chadema.
 
Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT- Wazalendo Zitto Kabwe, akizungumza na Crown Fm ametoa rai yake kuhusu Upinzani kuungana na kuwa na mgombea mmoja. Akizungumzia jambo hilo Zitto amesema:

Ni wakati Vyama vya upinzani kuweka pembeni tofauti zao na kukaa pamoja kurekebisha makosa yaliyopita kuwa na mgombea urais mmoja katika uchaguzi ujao.
Soma Pia:
Mkishindwa hamkawii kuunga mkono "JUHUDI"
 
Back
Top Bottom