Pre GE2025 Zitto Kabwe ashauri vyama vya Upinzani kusimamisha Mgombea mmoja wa Urais katika uchaguzi ujao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni wazo zuri.
 
Tanzania hakuna uchaguzi bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Mtu asiyejitambua au nayefaidika na hizo chaguzi zinazojisiwa na ccm, ndio atapoteza muda kuendelea kushiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi.
 
Kwa kumbukumbu zangu hili jambo mbogamboga,kwa kuhofia kile kimbunga cha Mamvi (RIP) enzi za UKAWA, waliliundia sheria kulifanya liwe gumu, I stand to be corrected though..
 
Huwezi kuwa na mgombea mmoja bila kuwa na makubaliano ya kisera.
 
Zitto hajawahi kuunga mkono ushirikiano, 2015 aliunga mkono Magufuli kwa njia ya kificho, wenzie wakawa na Lowassa yeye akaleta Mugwira akifadhiliwa na Kikwete, 2020 akaleta Membe, ni kwa vile Maalim Seif Alipinga tu
 
Tofauti lazima ziwepo yeye mbona alitumika
 
Wapendwa tukishindana hamtoshinda/
Na hata mkishinda, ushindi wenu hautolindwa/
Kama ambavyo kila mmoja anatumia choo chake/
Basi kila mmoja aplay role yake na awe bingwa.

#Dizasta Vina (Black Maradona - heavy element ilozaliwa baada ya Star kufa)
 
Zitto alishauza akili zake.

Haeleweki
Na uchawi umemla akili.... sura inazidi kusawajika siku hadi siku!!! Angempa tu Yesu maisha yake hana jipya na hatakuwa nalo tena.
 
Hata mimi nawaunga mkono. Wakiungana hawawezi kosa nafasi ya pili kwenye uchaguzi.
 
Ikishakubarika atataka yeye ndo agombee Kisha atuuze. Ikishindikana kusimamishwa yeye ataleta mifarakano.

Kile ni kijiuchafu fulani
 
Never trust this man
 
Mnara wa babeli utavunjika
  • Cdm anataka
  • Cuf anataka
  • Act anataka
Sasa hapo nani asimame!!!
 
Zitto anatafuta mbereko ya CDM, yaani ccm wakupe hela ya kampeni halafu hela hiyo uitumie kuwashinda.
 
Ni kweli maana ushindi unapatikana maporini na serekali ndio inayotoa mshindi na sio box la kura.
Hayo amesema Tindo lakini mimi najua watu wana wacha usingizi na kupanga misururu kupiga kura!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…