Zitto Kabwe asubiriwa na Bunge kueleza lengo la barua yake Benki ya Dunia kuzuia mkopo wa kuboresha Elimu (SEQUIP)

kama anaona anataka kuendelea na shule akasome private schools sasa kwa kua ni zinalipiwa na kodi bure kelele ziishe
Hiyo point nzuri... lazima watoto wetu watambue kwamba reckless action zao zitakua na consequences. Wakikosea wataadhibiwa...bad choices can never be rewarded...hii ina apply ktk maeneo yote.
 
Hatua ya kwanza ni kuzuia.. Hakua ya pili ndo hiyo kujadiliana sasa mlitaka tujadiri halafu ndo tuzuie tungechelewa Viva #kabwe
 
Wanaongea kwa huruma kweli.
Lakini spika ndugai lazima afahamu kwamba mara nyingi sana amekuwa haitendei haki michango ya wa upinzani na katumika sana kukandamiza haki zao.
Mtoto akienda kuomba nje ina maana nyumbani hasikilizwi, nadhani hizi ndizo approuch zitakazo wazibua vichwa vyao vigumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo point nzuri... lazima watoto wetu watambue kwamba reckless action zao zitakua na consequences. Wakikosea wataadhibiwa...bad choices can never be rewarded...hii ina apply ktk maeneo yote.

hilo sio swala la kuwekewa kikao hata, mwenye anataka kusoma asome mwenye anataka mapenzi akafanye mapenzi uko! its very hard to raise a kid who doesnt understand his borders
 
Kapimwe Corona virus.

ukweli mchungu ila ndo uelewe sasa! mapungufu ya ccm yanaeleweka na ni yale yale, atleast they are sensible na mwenendo wa chama, tulishakua na viongozi sio wazuri sana na wakaja kuchagua viongozi wazuri tena, lakini upinzani hata mlivouungana mmeshindwa kutoa mtu anaeweza kuongea sense, mtu aliekua anaonekana kichwwa pale ni wilbroad silaa tu

baada ya hapo kina mbatia , watu wastaarabu wanaoongea vitu hata kama amekosea lakini anawasilisha mfumo matured sasa wengine mpaka wabebwa na watu wa usalama bungeni, what kind of people do you hold! mwingine anaomba nchi isipewe msaada kisa ccm wametumia dola kusema hakuna kuongea(uhuru wa vyombo vya habari) , we kweli unaona huyu mtu kichwa kiko vizuri? upinzani wana watu matured ila wachache sana as i said wakina mbatia, wengine porojo nyingine na hawajui kujenga hoja bila kelele, yaaani nyie kupiga kelele ndo hoja>?????????? WTF

pia ccm ina mapungufu lakini angalia actions zao, very matured! yaaani mm nlishangaa sana mlifika hadi hatua ya kukubali chama chenu kinunuliwe ili mgombea wa ccm aende kugombea, chama gan sasa hicho hakina misimamo! what if mkipewa nchi mkapewa ela mruhusu ushoga si mtaruhusu
 
Kipimo cha kujijua kama wewe ni shetani ni kumpinga Zitto kwenye swala hili

....... Zitto go go go japo jiandae na urudi Kigoma uweke "vidono" kuepuka ya kaka Lissu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hilo sio swala la kuwekewa kikao hata, mwenye anataka kusoma asome mwenye anataka mapenzi akafanye mapenzi uko! its very hard to raise a kid who doesnt understand his borders
Well put...let us all be honest.. regardless of our political ideology...Mr Zitto was ill-advised...that loan would/will do much better for our nation growth than damages as he claimed....HE DID MESS THIS UP.
 
Zito ni kati ya wanasiasa wanaougua ugonjwa wa Urais, akiupata tu anapona.
 

Ujengaji hoja wa wanaccm ni kama huu wako. Wanaccm karibia wote mmekuwa wajinga, ukisikia wenzako wanasema Slaa ndio alikuwa mjenga hoja na ww unarukia humo humo, ukiambiwa uonyeshe post yoyote uliyowahi kukiri kwamba Slaa ni mjenga hoja kabla ya kuondoka cdm, huna popote ulipowahi kukiri. Ila kwakuwa sasa hivi huyo Slaa hawadhuru ccm mnaishia kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Slaa aliwahi kutaka tume huru ya uchaguzi, je ilipatikana ili tujue mlikubali hoja zake? Usiwe bendera fuata upepo, jenga hoja zako acha kuiga za wenzako.

Hueleweki mara ccm ina mapungufu, ila angalia actions zao sijui very matured. Huko ccm unavyotaka kuonyesha wako vizuri mbona wao pia waliwachukua wapinzani kisha wakawarudisha kwa mlango wa uani kwenye chaguzi za kihayawani? Kuna tofauti gani na hao cdm waliomchukua Lowassa na kumpa nafasi? Ni hivi, huna point zaidi ya kuleta hisia zako zisizo na kichwa wala miguu. Kama ccm wangekuwa vizuri mpaka leo nchi yetu ingekuwa masikini?
 
Kuwaelewesha watu kama hao ni shida mno maana wamesha amua upande wa kutoelewa.
Labda tuwakumbushe kidogo, hapa JF kulikuwa na taarifa za mheshimiwa Makamba alipokuwa Mwalimu huko Kigoma alimjaza mimba mwanafunzi (obviously atakuwa under 18) na akaamua kukimbia kabisa.
Kwa hiyo huyo mtoto aliyestahili ulinzi ndio ukawa mwisho wa maisha yake kielimu na huku aliyemharibia akipanda ngazi hadi nafasi ya juu katika chama Tawala.
Ni wajibu wa jamii kutafuta kila njia kuwapa ulinzi hawa watoto na Elimu ya uzazi na maadili lakini sio kuwatenga na kuwanyanyapaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well put...let us all be honest.. regardless of our political ideology...Mr Zitto was ill-advised...that loan would/will do much better for our nation growth than damages as he claimed....HE DID MESS THIS UP.

this isnt the first time, there was a time back he refused the government to construct roads in some parts of kigoma! i dont remember the place exaclty but we talked about it here, and still people praised him though the government used force to construct the roads but he did such a stupid thing
 

zile ni key positions, utaongea vyote lakini zile nafasi ni za heshima sana na apo ndo mstari unaanzia, hata wewe unaenda kanisan kesho yake asubui tena unatenda dhambi alafu unamrudia Mungu, haiwezekan upinga ccm alafu aje kukuongoza uliempinga! wote wanaokuja kutoka upinzani hata uwaziri hawapati, wanaanza kukua ngazi mpaka ngazi hapo ndio heshima inatkiwa iwe, kuna mtu alishambuliwa na upinzani kama lowasa na kikwete, haswa yule tundu lissu wenu! ilifika mpaka mda lowasa akajiuzulu, leo hii anakua kioo cha upinzani. hii ni akili? ccm wamefanya upuuzi wote lakini hawajavuka huu mpaka! kwenye jamii unaonakana kama toilet paper unatumika alafu unatupwa, amekuja akakosa uongozi alafu akasepa! JUST LIKE THAT ......WTF! na uko unashabikia kabisa, yaaani mtu aje atumie mke wako alafu akuache ivo ivo na unampa sifa na mapambio, ndo mnajisifia hiki au>? ebu taja kitu cha maaana upinzani mnajisifia mmefanya

huyo zito alishawahi kukataa ujenzi wa barabara kigoma, kwahio sishangai akisema hataki mkopo ufike tanzania! you really need to fo to school
 
Spika wa bunge Mh ndugai akasirishwa na Zito Kabwe kwa hatua yakuonesha kuwa na furaha baada ya Tanzania kunyimwa mkopo,


. BUNGENI: ndugai amtangazia vita z... tunyimwe mkopo https://youtu.be/UVsv36IolYw


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisoma barua ya zitto utaelewa Ni kitu gani alikuwa anazungumzia, amezungumzia vitu vingi Sana vya msingi lakini Cha ajabu watu wanaongelea tu suala la fedha, by the way zitto hajasema pesa hizo zisitolewe badala yake amesema ya kwamba zisitolewe Kwanza mpaka happy mabadiliko yatakapofanywa, ameongelea suala la uminywaji wa haki za kufanya siasa ikiwemo suala la kukusanyika kwa ajioi ya watu kutoa ya moyoni, ukiukwaji wa haki za binadamu, na n,k lakini Cha ajabu watu wanachoangaoua Ni pesa tu pengine wamesikia kwa mtu kuhusu barua na siyo wao wenyewe kuisoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…