Zitto Kabwe asubiriwa na Bunge kueleza lengo la barua yake Benki ya Dunia kuzuia mkopo wa kuboresha Elimu (SEQUIP)

Baelezee baba mkuru,Baelezee!
kwa sababu ameona zitto kagusa WB, matumbo moto! wanafikiri wao ndiyo wana nguvu tu, dhidi ya kauli za wabunge! Sasa tutaenda ILO,IMF, Scandinavian Donors wote tutawauma sikio, mpaka msalim amri.

Watazuiwa kutibiwa nje! wafie humohumo kwenye majanga yao! nchi zote za NATO hawaingii PI ya nguvu, subirini tutie fitina! Ndiyo mtajua wapinzani hawana mchezo!

Afadhali sasa Watu wakigoma wanapumua, wataumia kwa sababu maalum, kuliko kuumia wakati wanafiki wanamega hela hizo kwenda kutibiwa India!
 
Ushabiki sio jambo zuri, hao wazungu wenyewe, mtoto under 18 haruhusiwi kushiriki ngono na wanasimamia na wamefanikisha, leo kwetu takwimu zinaonesha watoto wa miaka 13 mpaka 15 ndio wahanga wa mimba mashuleni. Unaposema mtu asome akiwa amezaa sio tatizo. shida ni kuwa kuna wakati utafika shule zitageuka kliniki, itafikia watu watafanya mapenzi shuleni na huwezi kuwazuia maana haitakuwa vibaya kama mwenye mtoto ananyonyesha darasani, Kiufupi shule zitageuka madanguro sasa na kliniki.

Tafiti zinaonesha mwanamke aliezaa huzaa tena kwa satani wamiaka 2 tangu azae, na kwa hawa wanaozaa wakiwa wanafunzi mimba zao sio planned it is most likely kubeba mimba hata wakati ananyonyesha. Hapa kikubwa ni kungalia wanasaidiwaje wanaopata Mimba mashuleni ili waendelee kusoma, haiji akilini kuwaruhusu warudi kujichanganya na wenzao maana watoto wenyewe siku hizi wanasoma wadogo sana ni rahisi kuambukizana tabia mbovu za kuzini kabla ya ndoa. Mi nadhani Serikali aidha iweke vituo vya ekimu kwa wazazi na sio wazazi wasome na watoto.
 
Wangemsikiliza kweli au ndio wanatafuta sababu tu?
 
Interest,
Bunge linataarifa toka WB kuwa hatua iliyochukua inatokana na ombi la Zitto kutaka isimamishe hizo pesa, vinginevyo kama halina uthibitisho huo basi litakuwa linatumia habari za umbea kujiendesha.
 
Haijalishi ana ushawishi au hana, issue hapa ni kwamba ameandika barua ya kuzuia hela zisije kwenye Nchi yake anayoishi
Zitto alivyoandika hiyo barua alitoa sababu kwanini mkopo usije? Na unazani hao WB watamsikiliza zito na si kuisikiliza serikali?
 
Mzee una kichwa kigumu balaa, zito hajaruhusu wanafunzi wafanye mapenzi ndio maana tz kuna sheria ukitembea na mwanafunzi jela aka30 na zito hajapinga, hivi unazani wabunge wangapi wanapinga sheria ya kumzuia mtoto wa kike aliyepata ujauzito na kujifungua aendelee na masomo?
 
Kazi za mbunge zimeanishwa wazi kabisa hiyo ya kuwasiliana na benki ya dunia kwa kutumia Ofisi ya bunge na karatasi yenye nembo ya bunge haimo kwenye kazi za mbunge.
Kazi bunge ni kumuimbia mapambio ya sifa mtukufu mwenyekiti
 
Nishawah skia taifa halitaji msaada toka ng'ambo...iliishia wapi hiii,hebu wajuvi wa masuala ya uchumi mnipe somo hapa
 
Nimeamini nzi ni nyuki mjinga ........hivi hujui kutakua na upigaj wa hela nying?,hujui kama shule kongwe ni chache ??hujui kua kuna watu wanatembea two km kwa miguu across bushes kwenda shule?,and u still arguing the gvt of greens kukarabati?? AF shule kongwe zna maeneo na rasilimali nyingi pia wanaweza karabati wenyewe ,,,stop supporting nonsense brodah
 
Fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…