Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisukari kina msumbua, wanatumia mwamvuli wa mikopo ya shule kujinufaisha binafsi eti wanajifanya kusaidia wanyonge!Wananchi tunampokea Zitto kwa shwangwe Ndugai akameze vidonge vyake
Baelezee baba mkuru,Baelezee!Nani angemsikiliza? Sana sana angezomewa na wagonga meza. Kwani ni mikataba mingapi ya hovyo imepitishwa pale bungeni? Wapinzani wakipinga na kutaka maboresho wanazomewa na kutolewa nje. Leo hii supika ndiyo anasema angemsilikiliza Zitto?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabeberu haohao tuliokuwa tukiwaomba huo mkopo auZitto ni pandikizi la mabeberu na ni adui wa nchi!
Zitto alivyoandika hiyo barua alitoa sababu kwanini mkopo usije? Na unazani hao WB watamsikiliza zito na si kuisikiliza serikali?Haijalishi ana ushawishi au hana, issue hapa ni kwamba ameandika barua ya kuzuia hela zisije kwenye Nchi yake anayoishi
Hata sisi wa kigoma tunamrudisha zito bungeni labda ninyi wa jf, hivi gas ya mtwara ni yetu au ya mabeberu?Sisi wananchi wa Kigoma, hatumrudishi Zitto bungeni labda ninyi wananchi wa JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes kofia ya bunge na yeye ni mbunge sio katibu kata wala afisa mtendaji
Mzee una kichwa kigumu balaa, zito hajaruhusu wanafunzi wafanye mapenzi ndio maana tz kuna sheria ukitembea na mwanafunzi jela aka30 na zito hajapinga, hivi unazani wabunge wangapi wanapinga sheria ya kumzuia mtoto wa kike aliyepata ujauzito na kujifungua aendelee na masomo?Ushabiki sio jambo zuri, hao wazungu wenyewe, mtoto under 18 haruhusiwi kushiriki ngono na wanasimamia na wamefanikisha, leo kwetu takwimu zinaonesha watoto wa miaka 13 mpaka 15 ndio wahanga wa mimba mashuleni. Unaposema mtu asome akiwa amezaa sio tatizo. shida ni kuwa kuna wakati utafika shule zitageuka kliniki, itafikia watu watafanya mapenzi shuleni na huwezi kuwazuia maana haitakuwa vibaya kama mwenye mtoto ananyonyesha darasani, Kiufupi shule zitageuka madanguro sasa na kliniki. Tafiti zinaonesha mwanamke aliezaa huzaa tena kwa satani wamiaka 2 tangu azae, na kwa hawa wanaozaa wakiwa wanafunzi mimba zao sio planned it is most likely kubeba mimba hata wakati ananyonyesha. Hapa kikubwa ni kungalia wanasaidiwaje wanaopata Mimba mashuleni ili waendelee kusoma, haiji akilini kuwaruhusu warudi kujichanganya na wenzao maana watoto wenyewe siku hizi wanasoma wadogo sana ni rahisi kuambukizana tabia mbovu za kuzini kabla ya ndoa. Mi nadhani Serikali aidha iweke vituo vya ekimu kwa wazazi na sio wazazi wasome na watoto.
Kazi bunge ni kumuimbia mapambio ya sifa mtukufu mwenyekitiKazi za mbunge zimeanishwa wazi kabisa hiyo ya kuwasiliana na benki ya dunia kwa kutumia Ofisi ya bunge na karatasi yenye nembo ya bunge haimo kwenye kazi za mbunge.
Hiyo gas ya Mtwara inatuhusu nini sisi wanakigomaHata sisi wa kigoma tunamrudisha zito bungeni labda ninyi wa jf, hivi gas ya mtwara ni yetu au ya mabeberu?
Jah people anahusika vp japo??Hahahaaa.......adhabu hiyo inawafaa akina Kibajaji na Jah people msomi hafi njaa!
Nishawah skia taifa halitaji msaada toka ng'ambo...iliishia wapi hiii,hebu wajuvi wa masuala ya uchumi mnipe somo hapaYeye anaenda kupiga kelele nje ya nchi! Kumbe Zitto anapiga kelele na kelele huwa hazisikilizwi kwani hazina tija sasa anazihangaikia nini? Bunge litaacha mambo muhimu ya maana na kushughulikia kelele zisizo na tija za Zitto!
Ndugai toka lini Bunge likasikiliza na kujadili hoja za upinzani na kuzikubali! Bunge hili la CCM? Haiwezekani.
Watu wanatamani mgonjwa akate ringiMlishaonyesha roho zenu mbaya kwa Mh Tundu Lissu. Sasa majike tulieni mabeberu yawashughulikie vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maana tz ni nchi ya maziwa na a asaliTuaachane na vijihela vidogo vidogo.. Sisi ni Taifa kubwa lenye utajiri mkubwa hawa WB wanatakiwa wafahamu hii nchi ni tajiri..
Nimeamini nzi ni nyuki mjinga ........hivi hujui kutakua na upigaj wa hela nying?,hujui kama shule kongwe ni chache ??hujui kua kuna watu wanatembea two km kwa miguu across bushes kwenda shule?,and u still arguing the gvt of greens kukarabati?? AF shule kongwe zna maeneo na rasilimali nyingi pia wanaweza karabati wenyewe ,,,stop supporting nonsense brodahNilisikiliza mahojiani yake BBC Swahili..Zito anasema kapaza sauti ili kuwatetea mabinti wanaopata mimba shuleni wasizuiliwe kuendelea na masomo(fair enough).
But Kwa takwimu zilizopo ni idadi ndogo Sana ya watoto wanaopata mimba ukilinganisha na wasiopata, SASA mchumi Zitto kabwe ameamua WAKOSE WOTE.
Kauli aliyoitoa Rais kuhusu mimba za utotoni to be honest kwangu ni kauli niliyokua nikiisikia kutoka Kwa wazazi wangu wakiwaonya Siblings wangu miaka ya nyuma Sana, so sikuwa shocked, na Zitto ni almost my age mate but inawezekana hakubahatika kulelewa ktk familia yenye watoto wa kike so ni Ngumu kujua nightmare/pressure wanazopata wazazi/walezi kuhakikisha mabinti zao wanafocus na masomo. Na sina hakika kama kuna mzazi anayependa Ku entertain mimba za utotoni na kila mzazi anapiga mkwara wake na anatoa adhabu Kali Sana Kwa atakayeshindwa kufuata maadili.
Zitto pia aligusia kuhusu serikali kupanga kutumia mkopo kukarabati shule kongwe instead ya kujenga mpya..na Kaka ni mchumi but nashangaa kwanini hakuona faida ya kukarabati shule hizo ambazo kwangu Mimi ziko strategically allocated ktk nchi hii na ukikarabati pia unaboresha manake hizi shule zina maeneo makubwa sana mpaka mengine yanavamiwa na wajanja. Please someone talk some sense into these people kwamba the stake is too high..wasifanye Siasa ya kukomoana coz wanaoumia ni majority ya waTZ na kamwe wasikae wakadhani waTZ care much about their egos. ACHENI SIASA MBAYA...
FactNingeshangaa sana kama spika asingekuwa upande huu.
Miswada yote hupita kwa sauti kubwa ndiyoooooooooo hivyo basi ninaona wachache wamegundua pa kusemea na kusikilizwa.
After all shida iko wapi tunajenga nchi yetu kwa mapato yetu ya ndani.
Dr Abasi jana kasema kwamba kwa makusanyo tumevunja rekodi ya dunia. Naamini hilo pengo la WB litazibwa bila issue yoyote.