Zitto Kabwe asubiriwa na Bunge kueleza lengo la barua yake Benki ya Dunia kuzuia mkopo wa kuboresha Elimu (SEQUIP)

Zitto Kabwe asubiriwa na Bunge kueleza lengo la barua yake Benki ya Dunia kuzuia mkopo wa kuboresha Elimu (SEQUIP)

Hata mimi siamini eti WB isikilize barua ya mtu mmoja au kikundi na kufanyia maamuzi, basi nitajidhisha pasipo shaka kuwa WB na UN zingine agents ni mawala wa whitepeople to colonize blacks kwa mtindo tofauti.

Hela ni mkopo tuachane nao . Na kujitoa. Tatizo la Waafrika hawana umoja tujifunze NATO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Spika Job Ndugai amesema wanamsubiri Mbunge Zitto Kabwe awaeleze kwanini aliandika barua kwa Benki ya Dunia kuzuia mkopo kwa ajili ya elimu nchini.

My take huyu jamaa anayejiita Zitto sisi wananchi wa Kigoma tutamuadhibu kwenye sanduku la kura.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna sumu nyie sawa na nyoka wa kibisa,kura ya uwizi sawa sio kura ya box ambayo huwa mnakimbia na matokeo kma kinondoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugai hajui kuwa licha ya Zitto kuwa Mbunge lakini bado ni mwananchi wa Tanzania na anahaki ya freedom of speech na kufanya yote anayoweza kufanya katika kushape maamuzi na sera za serikali ilimradi havunji sheria?.

KWANI ZITTO KAVUNJA SHERIA GANI YA NCHI?
Kaandika barua kwa kofia ya ubunge. Isome na kuiangalia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Spika Job Ndugai amesema wanamsubiri Mbunge Zitto Kabwe awaeleze kwanini aliandika barua kwa Benki ya Dunia kuzuia mkopo kwa ajili ya elimu nchini.

My take huyu jamaa anayejiita Zitto sisi wananchi wa Kigoma tutamuadhibu kwenye sanduku la kura.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wewe ni wa ajabu sana kwani akiamua kutokugombea mtamwadhibu nani,kwani lazima awe mbunge?Halafu usisema watu wa kigoma sio wote wenye mawazo kama yako usipende kuwasemea wasiokutuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiomba chakula kwa jilan halafu ndg yako akaenda kwa jilan na kuzuia hicho chakula usipewe maana yake hyo ni msalit hatakiw kuigwa hata na ndg wengne na hupasw kukaa nae, zitto sio mtu mzur hata kidg ametukosea sana wtz.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii mada hujaifanyia haki kwa kuichambua kitoto hivi.

Kuna mengi sana.

Mtu mwingine anaweza kukwambia chakula hakiendi kukisha watoto, kinatymiwa kununua silaha za kuwakandamiza watoto, na huo ni msingi wa kunyuma msaada wa chakula ili watoto wasinyanyaswe.

Uchambuzi wako umekosa kina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani angemsikiliza? Sana sana angezomewa na wagonga meza. Kwani ni mikataba mingapi ya hovyo imepitishwa pale bungeni? Wapinzani wakipinga na kutaka maboresho wanazomewa na kutolewa nje. Leo hii supika ndiyo anasema angemsilikiliza Zitto?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisikiliza mahojiani yake BBC Swahili..Zito anasema kapaza sauti ili kuwatetea mabinti wanaopata mimba shuleni wasizuiliwe kuendelea na masomo(fair enough).

But Kwa takwimu zilizopo ni idadi ndogo Sana ya watoto wanaopata mimba ukilinganisha na wasiopata, SASA mchumi Zitto kabwe ameamua WAKOSE WOTE.

Kauli aliyoitoa Rais kuhusu mimba za utotoni to be honest kwangu ni kauli niliyokua nikiisikia kutoka Kwa wazazi wangu wakiwaonya Siblings wangu miaka ya nyuma Sana, so sikuwa shocked, na Zitto ni almost my age mate but inawezekana hakubahatika kulelewa ktk familia yenye watoto wa kike so ni Ngumu kujua nightmare/pressure wanazopata wazazi/walezi kuhakikisha mabinti zao wanafocus na masomo. Na sina hakika kama kuna mzazi anayependa Ku entertain mimba za utotoni na kila mzazi anapiga mkwara wake na anatoa adhabu Kali Sana Kwa atakayeshindwa kufuata maadili.

Zitto pia aligusia kuhusu serikali kupanga kutumia mkopo kukarabati shule kongwe instead ya kujenga mpya..na Kaka ni mchumi but nashangaa kwanini hakuona faida ya kukarabati shule hizo ambazo kwangu Mimi ziko strategically allocated ktk nchi hii na ukikarabati pia unaboresha manake hizi shule zina maeneo makubwa sana mpaka mengine yanavamiwa na wajanja. Please someone talk some sense into these people kwamba the stake is too high..wasifanye Siasa ya kukomoana coz wanaoumia ni majority ya waTZ na kamwe wasikae wakadhani waTZ care much about their egos. ACHENI SIASA MBAYA...
 
Ikiwa umehukumiwa kifo, kimakosa, na Zitto anakutetea kwa kusimamisha msaada wa nchi mpaka upewe hukumu ya haki.

Halafu anakuja mtu na kusema kwamba, Zitto asisimamishe msaada, kwa sababu wewe anayekutetea ni mtu mmoja tu, akuache uuawe, ingawa umehukumiwa kimakosa.

Utakubaliana na hoja hiyo na kukubali kuuawa kimakosa?

Kwahiyo ni Sawa mabinti waendelee kubeba mimba sio?!
 
Kwahiyo ni Sawa mabinti waendelee kubeba mimba sio?!
Kuruhusu mabinti waendelee na masomo si kukubali kwamba mabinti kupata mimba ni sawa.

Unaelewa hilo?

Unaelewa kwamba kuna mabinti wanapata mimba kabla ya kupata majority age na hivyo hawatakiwi hata kuwajibishwa kwa kupata mimba ambazo basically zinatokana na statutory rape?

Unaelewa statutory rape ni nini?

Unaelewa majority age ni nini?

Unaelewa kwamba mkono ukishika mavi haukatwi, unaoshwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mkopo ulikuwa unaombwa na bunge?
Naona Ndugai ameamua kununua ugomvi wa ngedere.
 
Hata Trump mgomvi sana lakini kwenye swala la kiutaifa huezi skia wapinzani wamefanya jambo kama hili kwa kwel upinzani mjitathmini sana haswa wabunge wenu! Duniani kote kuna upinzani kuanzia kwenye dini mpaka maisha ya kawaida lakini chakula kikilimwa na mkulima wote tunakula, mengi yataongewa kuhusu upande wa spika lakini ameongea point yenye maana sana.
 
Vipi matajiri hela hakuna..mbona kulia lia fedha zenyewe za mkopo..bado kulia lia..poor mind za viongozi zinalitesa taifa..

Mbona 2016 hamkulia..au kwakua hamna hel za uchaguzi.

#MaendeleoHayanaChama
tapatalk_1580236713502.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom