Zitto Kabwe asubiriwa na Bunge kueleza lengo la barua yake Benki ya Dunia kuzuia mkopo wa kuboresha Elimu (SEQUIP)

Zitto Kabwe asubiriwa na Bunge kueleza lengo la barua yake Benki ya Dunia kuzuia mkopo wa kuboresha Elimu (SEQUIP)

Ni sawa unachosema. Na kwa mantiki hiyo alitakiwa aandike barua kama Zitto au kama Kiongozi wa ACT wazalendo, na si kama Mbunge wa Bunge la JMT.
Unapokuwa mbunge kwenye Bunge la Tanzania ujue kuwa ubunge wako unatambuliwa na Jumuia ya Madola kwa sababu Bunge la Tanzania ni mwanachama wa mabunge ya Jumuia ya Madola.
 
Ni mojawapo ya kazi za Bunge ndiyo, ila Ofisi ya Bunge ikiwa ina taarifa, na imeridhia. Siyo mtu analipuka tu kutoka jimboni kwake anaadika barua tena ya kipumbavu, kisa ni mbunge. Wenye roho kama yangu Mungu apishie mbali asitupatie mamlaka. Hii issue ukinipa mimi halafu nina mamlaka, lazima mtu awaeleze vizuri watanzania alikuwa na nia gani
Mlishaonyesha roho zenu mbaya kwa Mh Tundu Lissu. Sasa majike tulieni mabeberu yawashughulikie vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Interest,

Mimi naona vituko na aibu ni wabunge wa CCM ambao kila kitu hupitisha bila kuangalia kwa jicho la tatu. Hizo pesa wanazo taka toka WB sio za msaada bali ni za mkopo. Ambao kila Mtanzania kwa njia moja au nyingine atashiriki kuulipa. Hata hao ambao wamenyimwa haki ya kuendelea na Elimu. Sasa Zitto kaona hilo japo CCM hamuoni kama kuna ukiukwaji wa haki za binadamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuaachane na vijihela vidogo vidogo.. Sisi ni Taifa kubwa lenye utajiri mkubwa hawa WB wanatakiwa wafahamu hii nchi ni tajiri..
 
Hii nchi inahela sana asikwambie mtu, tuna hela za kuishi 6month wasitubabaishe hawa Wazungu.
 
Ni mojawapo ya kazi za Bunge ndiyo, ila Ofisi ya Bunge ikiwa ina taarifa, na imeridhia. Siyo mtu analipuka tu kutoka jimboni kwake anaadika barua tena ya kipumbavu, kisa ni mbunge. Wenye roho kama yangu Mungu apishie mbali asitupatie mamlaka. Hii issue ukinipa mimi halafu nina mamlaka, lazima mtu awaeleze vizuri watanzania alikuwa na nia gani
Nimeuliza maswali matatu.

Umejibu la kwanza kwa kukubali hii ni kazi ya bunge.

Maswali mawili mengine hujayajibu. Umetoa opinion yako tu bila ya kuonesha sababu za msingi au justification.

Hivi unaposema ofisi ya bunge una maana gani? Ofisi ya mbunge si sehemu ya bunge?

Hivi kama Spika anahusika katika njama na rais kuiba hela za World Bank, mbunge anayetaka kuchunguza hilo kwa kuwasiliana na World Bank aombe ruhusa kwa Spika huyo huyo mwenye tuhuma, kabla ya kuwaandikia World Bank?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani aliwahi kutolewa bungeni kwa kutoa mapendekezo ya maboresho ya sera?
Miaka yote hoja za mikataba mibovu hazikusikilizwa na tuliloshuhudia waliozipeleka wakizomewa na kuadhibiwa, eti baada kuingia Magufuli ndipo waliokuwa wakiiunga mkono wakageuka kuikataa na kuikashifu! Hawa wabunge wa CCM ni wa hovyo na Nyerere enzi zake aliwasema ni wabunge wa ajabu na wa hovyo wanapitidha sheria kisha inapoaanza kutumia wanaanza kulalamika kuwa sheria inawakandamiza wananchi! Akamalizia kwa kuwaita wapumbavu.
 
Ukiomba chakula kwa jirani halafu ndg yako akaenda kwa jilan na kuzuia hicho chakula usipewe maana yake hyo ni msalit hatakiw kuigwa hata na ndg wengne na hupasw kukaa nae, zitto sio mtu mzur hata kidg ametukosea sana wtz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom