Hamna sumu nyie sawa na nyoka wa kibisa,kura ya uwizi sawa sio kura ya box ambayo huwa mnakimbia na matokeo kma kinondoniSpika Job Ndugai amesema wanamsubiri Mbunge Zitto Kabwe awaeleze kwanini aliandika barua kwa Benki ya Dunia kuzuia mkopo kwa ajili ya elimu nchini.
My take huyu jamaa anayejiita Zitto sisi wananchi wa Kigoma tutamuadhibu kwenye sanduku la kura.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaandika barua kwa kofia ya ubunge. Isome na kuiangaliaNdugai hajui kuwa licha ya Zitto kuwa Mbunge lakini bado ni mwananchi wa Tanzania na anahaki ya freedom of speech na kufanya yote anayoweza kufanya katika kushape maamuzi na sera za serikali ilimradi havunji sheria?.
KWANI ZITTO KAVUNJA SHERIA GANI YA NCHI?
Yaani wewe ni wa ajabu sana kwani akiamua kutokugombea mtamwadhibu nani,kwani lazima awe mbunge?Halafu usisema watu wa kigoma sio wote wenye mawazo kama yako usipende kuwasemea wasiokutuma.Spika Job Ndugai amesema wanamsubiri Mbunge Zitto Kabwe awaeleze kwanini aliandika barua kwa Benki ya Dunia kuzuia mkopo kwa ajili ya elimu nchini.
My take huyu jamaa anayejiita Zitto sisi wananchi wa Kigoma tutamuadhibu kwenye sanduku la kura.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hawa hawa walitupa nje mapendekezo ya wananchi ya serikali tatu. Zitto kazia hapo hapo, siyo watu hawa.Speaker angekua mzalendo angeanza na ripoti ya prof Assad ya trillion 1.5, then ya Lugola mwisho angemfuata zzk
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii mada hujaifanyia haki kwa kuichambua kitoto hivi.Ukiomba chakula kwa jilan halafu ndg yako akaenda kwa jilan na kuzuia hicho chakula usipewe maana yake hyo ni msalit hatakiw kuigwa hata na ndg wengne na hupasw kukaa nae, zitto sio mtu mzur hata kidg ametukosea sana wtz.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisikiliza mahojiani yake BBC Swahili..Zito anasema kapaza sauti ili kuwatetea mabinti wanaopata mimba shuleni wasizuiliwe kuendelea na masomo(fair enough).Nani angemsikiliza? Sana sana angezomewa na wagonga meza. Kwani ni mikataba mingapi ya hovyo imepitishwa pale bungeni? Wapinzani wakipinga na kutaka maboresho wanazomewa na kutolewa nje. Leo hii supika ndiyo anasema angemsilikiliza Zitto?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wananchi tunampokea Zitto kwa shwangwe Ndugai akameze vidonge vyake
Ikiwa umehukumiwa kifo, kimakosa, na Zitto anakutetea kwa kusimamisha msaada wa nchi mpaka upewe hukumu ya haki.Nilisikiliza mahojiani yake BBC Swahili..Zito anasema kapaza sauti ili kuwatetea mabinti wanaopata mimba shuleni wasizuiliwe kuendelea na masomo(fair enough).
But Kwa takwimu zilizopo ni idadi ndogo Sana ya watoto wanaopata mimba ukilinganisha na wasiopata, SASA mchumi Zitto kabwe ameamua WAKOSE WOTE.
Kauli aliyoitoa Rais kuhusu mimba za utotoni to be honest kwangu ni kauli niliyokua nikiisikia kutoka Kwa wazazi wangu wakiwaonya Siblings wangu miaka ya nyuma Sana, so sikuwa shocked, na Zitto ni almost my age mate but inawezekana hakubahatika kulelewa ktk familia yenye watoto wa kike so ni Ngumu kujua nightmare/pressure wanazopata wazazi/walezi kuhakikisha mabinti zao wanafocus na masomo. Na sina hakika kama kuna mzazi anayependa Ku entertain mimba za utotoni na kila mzazi anapiga mkwara wake na anatoa adhabu Kali Sana Kwa atakayeshindwa kufuata maadili.
Zitto pia aligusia kuhusu serikali kupanga kutumia mkopo kukarabati shule kongwe instead ya kujenga mpya..na Kaka ni mchumi but nashangaa kwanini hakuona faida ya kukarabati shule hizo ambazo kwangu Mimi ziko strategically allocated ktk nchi hii na ukikarabati pia unaboresha manake hizi shule zina maeneo makubwa sana mpaka mengine yanavamiwa na wajanja. Please someone talk some sense into these people kwamba the stake is too high..wasifanye Siasa ya kukomoana coz wanaoumia ni majority ya waTZ na kamwe wasikae wakadhani waTZ care much about their egos. ACHENI SIASA MBAYA...
Kwahiyo ni Sawa mabinti waendelee kubeba mimba sio?!Ikiwa umehukumiwa kifo, kimakosa, na Zitto anakutetea kwa kusimamisha msaada wa nchi mpaka upewe hukumu ya haki.
Halafu anakuja mtu na kusema kwamba, Zitto asisimamishe msaada, kwa sababu wewe anayekutetea ni mtu mmoja tu, akuache uuawe, ingawa umehukumiwa kimakosa.
Utakubaliana na hoja hiyo na kukubali kuuawa kimakosa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuruhusu mabinti waendelee na masomo si kukubali kwamba mabinti kupata mimba ni sawa.Kwahiyo ni Sawa mabinti waendelee kubeba mimba sio?!
Labda mke wangu uwe wewe
SijakuelewaHahahaha mkuu umekuja kwa kasi mpaka umechapia, Zito wananchi wanamkibali sana
Sent using Jamii Forums mobile app