Zitto Kabwe asubiriwa na Bunge kueleza lengo la barua yake Benki ya Dunia kuzuia mkopo wa kuboresha Elimu (SEQUIP)

Weka vizuri, kazuia zisiende kwa serikali ya awamu ya tano ili wapewe ccm kwa mgongo Wa kunua vyuo vyake.
[/QUOTnawaza jins gan ccm itawakaa sana midomon hii sakata ya zito.. Itawasaidia kuchukua ushindi wa kishindo.,. ...jeshi lijifue...
 
Mzee una kichwa kigumu balaa, zito hajaruhusu wanafunzi wafanye mapenzi ndio maana tz kuna sheria ukitembea na mwanafunzi jela aka30 na zito hajapinga, hivi unazani wabunge wangapi wanapinga sheria ya kumzuia mtoto wa kike aliyepata ujauzito na kujifungua aendelee na masomo?
Sasa kama mie nina kichwa kigumu we si ndo huna kichwa kabisa. Mimba inauzwa dukani sio? Kama anapata mimba maana yake ameshiriki ngono zembe, kama akizaa anaruhusiwa kuendelea na masomo maana yake akiwa masomoni anaruhusiwa kufanya ngono.
 
Baada ya serikali kukataa kupitisha pesa zamiradi toka nje ya nchi kwaajili ya mji wa Kigoma ya ukarabati MV.liemba 20b kutoka Germany, 120b ukarabati wa bandari kutoka Japan na 36m kutoka Kuwait kwaajili ya schem ya umwagiliaji. Ilimradi aonekane hajafanya kitu na yeye kaenda kuwachoma WB ukimwaga mboga tunamwaga ugali
 
Kazi za mbunge zimeanishwa wazi kabisa hiyo ya kuwasiliana na benki ya dunia kwa kutumia Ofisi ya bunge na karatasi yenye nembo ya bunge haimo kwenye kazi za mbunge.

World Bank wameonesha hadharani hiyo barua aliyoituma ZITO ZUBERI KABWE?

BARUA HIYO IWEKWE HADHARANI ILI WATANZANIA WAISOME, WAIJADILI NA KUTOA HUKUMU.
 
Huyu anapaswa kupitishwa kwenye tanuru la moto,he is such a hypocrite.
 
Nimeamini nzi ni nyuki mjinga ........hivi hujui kutakua na upigaj wa hela nying?,hujui kama shule kongwe ni chache ??hujui kua kuna watu wanatembea two km kwa miguu across bushes kwenda shule?,and u still arguing the gvt of greens kukarabati?? AF shule kongwe zna maeneo na rasilimali nyingi pia wanaweza karabati wenyewe ,,,stop supporting nonsense brodah
You are very right..nzi ni nyuki mjinga na mchango wako unathibitisha tatizo tulilonalo kama Taifa.
 
Zitto alivyoandika hiyo barua alitoa sababu kwanini mkopo usije? Na unazani hao WB watamsikiliza zito na si kuisikiliza serikali?

Swala ninalojadili mimi hapa ni NAMNA ALIVYOANDIKA BARUA, na si KWA NINI AMEANDIKA BARUA. Ameandika barua ikiwa na maudhui ya chama cha ACT, lakini akasingizia kuwa ni ya Bunge la JMT, kwa sababu ametumia HEADED PAPER ya Bunge, na akaisaini barua hiyo kama Mbunge wa Bunge la JMT. Hii kesi Zitto akichomoa, nitajua kuna watu wana bahati Duniani.

Kuna mtu mwingine huko nyuma aliwahi kupata kesi inayofanana na hii, anaitwa Leo Lwekamwa. Yeye alikanyaga Katiba ya JMT kwa hasira, halafu akazua kesi moja ilijulikana kwa jina maarufu kama KESI YA KUSIGINA KATIBA. Huyu bwana mpaka ilifikia hatua akawa anatoa utetezi mahakamani kuwa hakuikanyaga Katiba ila ilidondokea miguuni kwake kwa bahati mbaya wakati anaongea. Nina wasiwasi hata Zitto naye anaweza akaja na utetezi kuwa hakuandika barua WB ila ilichapishwa barua feki kwenye mitandao ya jamii ikiwa inaonyesha kuwa ameiandika yeye. Hapa hachomoki, hata iweje, mtakuja kuniambia. Kwanza anapoteza ubunge ikiwa ni pamoja na ban ya kugombea ubunge tena, halafu yule Kamishna Jenerali mpya alyeapishwa juzi naye kuna uwezekano akamhost kwa kipindi kisichopungua miaka kadhaa. Acha wafanye makosa ili wawe wanajifunza
 
Kuchomoka ngumu kwani hata lissu alipigwa risasi maeneo usingezani angeweza kupigwa na hakuna mshukiwa yeyote hadi leo yaani hata wale walinzi wa getini walioacha lindo hawajakamatwa kuhojiwa, ninachotaka kusema kwanini spika nae asiandike barua huko alikoandika zito kukanusha kuwa bunge halihusiki na hiyo barua ili tupate mkopo ambao wanaobaguliwa kwenye huo mkopo watashiriki kuulipa?
 
Tanzania ikiwa mpinzani ni hatua ya kwanza ya kosa, ile usemi ulioelekezwa kwa wapinzani kuwa tutakuweka ndani hata kama hauna kosa, ukitoka chamoto itakuwa umekwisha kiona na hili lilithibitishwa kwa Sugu na mwenzake Mbeya, Lijualikali na wenzake na Mbowe na mwenzake Dar ambapo mahakama ilithibitisha hawakuwa na kosa.
Ndugai tayari alikwisha muhukumu Zitto na wabunge wa CCM wakapitisha azimio bungeni akiwamo Askofu mama Lwakatare Zitto auawe! Wangekuwa wa upinzani wote wangekamatwa kwa kuchochea kufanya uhalifu.
 
Naongelea kesi inayoweza kumkabili, siongelei maswala ya watu kupigwa risasi hapa. Ndiyo maana niikatoa case study ya Leo Lwekamwa. Acha kuwabambikiza watu maneno ya ajabu ili waogope kuchangia, stick to the mada please!
 
???!!!!!!
 
Inawezekana wewe ni mgeni na zito, katika watu intelligent nchi hii huwezi muacha zito anafanya mambo kwa akili sana habahatishi yaani zito angekuwa na msala endapo angekuwa yeye ni katibu tawala au ni mjumbe wa nyumba kumi ila kwavile ni mbunge jua wazi aliona gape sehemu, all in all wakiamua kufanya ubabe kweli hachomoki, pili nikwambie hili swala lina pande mbili na kila anaelifatilia kachagua upande tukiwemo mimi na wewe ndio maana hata wewe unakwepa kujadili content ya barua unajadili kitu kingine
 
Bunge linaangaika na nini? Kama barua ya zitto haikuwa na mashiko bac bank ya dunia haiwez zuia mkupo. Sasa mkopo ukizuiwa na sababu ya umashiko wa barua ya zitto bac zitto ndye atakuwa mzalendo no moja. Atakuwa kaokoa kizazi chetu kupata malimbikizo ya madeni yasiyo na mashiko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu huzu zito ni ccm b. Anatumika kutengeneza matukio tu apo. Muda unaenda kipind cha bunge kinaisha ukiangalia cha maana walichofanya hakuna zaid ya kula posho tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana wewe ni mgeni na zito, katika watu intelligent nchi hii huwezi muacha zito anafanya mambo kwa akili sana habahatishi yaani zito angekuwa na msala endapo angekuwa yeye ni katibu tawala au ni mjumbe wa nyumba kumi ila kwavile ni mbunge jua wazi aliona gape sehemu, all in all wakiamua kufanya ubabe kweli hachomoki, pili nikwambie hili swala lina pande mbili na kila anaelifatilia kachagua upande tukiwemo mimi na wewe ndio maana hata wewe unakwepa kujadili content ya barua unajadili kitu kingine
Na sie vilaza nasi tupo tutashuhudia kitakachoendelea huko mbele ya safari
 
zitto kasomeshwa na serikali hii inayokopa pesa kwa wakubwa,kwa nini awazibie wenzake wanaotaka kusoma,je angefanyiwa yeye angefika hapo alipo?huo ni ujinga
 
Back
Top Bottom