Zitto Kabwe atembelea Desderia Hotel ya Sugu Jijini Mbeya, asema ni pazuri

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Siasa siyo Uadui.

Akiwa kwenye Ziara ya kichama Jijini Mbeya KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe na ujumbe wake wametembelea.Hotel ya mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Bilionea Sugu

Zitto Kabwe anesema Wawekezaji wa ndani ni lazima watiwe moyo na amempongeza sana mh Joseph Mbilinyi.

=====

 
Ile yake pale Dodoma analizia lini
 
Picha pls
 
Masahihisho : Magufuli hakuwahi kumpa kiwanja Sugu wala mfuko wa cement
 
Dunia ya sasa Habari bila picha/video clip sawa na takataka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…