Zitto Kabwe atembelea Desderia Hotel ya Sugu Jijini Mbeya, asema ni pazuri

Zitto Kabwe atembelea Desderia Hotel ya Sugu Jijini Mbeya, asema ni pazuri

Siasa siyo Uadui

Akiwa kwenye Ziara ya kichama Jijini Mbeya KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe na ujumbe wake wametembelea.Hotel ya mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Bilionea Sugu

Zitto Kabwe anesema Wawekezaji wa ndani ni lazima watiwe moyo na amempongeza sana mh Joseph Mbilinyi
MAGUFULI HAKUMPA KIWANJA Bil. SUGU BALI ALITAKA KUKIFUTA KIWANJA ILI BIL.SUGU ASIWE NA HOTEL
 
Sahihisho,; Sugu siyo billionaire. Pili Sugu hakupewa kiwanja na Kichaa wa. CHATO Magufuli

MAGUFULI HAKUMPA KIWANJA Bil. SUGU BALI ALITAKA KUKIFUTA KIWANJA ILI BIL.SUGU ASIWE NA HOTEL

Anaweza asiwe bilionea l;akini kile kiwanja alikipata kwa mkono wa Magufuli; mwulize Sugu mwenyewe. Kiwanja hicho kilikuwa katika eneo ambalo halikupimwa kwa ujenzi kwa sababu ya mazingira, na NEMC walitaka ujenzi usitishwe na ile sehemu iliyokuwa imeanza kujengwa ibomolewe. Magufuli kwa mamlaka yake akaidhinisha kuwa kiwanja hicho kiwa cha biashara na hivyo kiendelee kujengwa. Hata Sugu mwenyewe alimshukuru sana Magufuli kwa gesture hiyo.
 
Anaweza asiwe bilionea l;akini kile kiwanja alikipata kwa mkono wa Magufuli; mwulize Sugu mwenyewe. Kiwanja hicho kilikuwa katika eneo ambalo NEMC walitaka ujenzi usitishwe na ile sehemu iliyokuwa imejengwa ibomolewe. Magufuli kwa mamlaka yake akaidhinisha kuwa kiwanja hicho kiendelee kujengwa. Hata Sugu mwenyewe alimshukuru sana Magufuli kwa gesture hiyo.

..Sugu pia amemshukuru Magufuli kwa kumfunga kwa kesi ya uongo, na kupelekea afya mama yake Sugu kudhoofika na kufariki.

Hiyo Hotel imejengwa kwenye mkondo wa Maji Baada ya Shujaa Magufuli kufuta Katazo la NEMC na kisha kumpatia Sugu hilo eneo baada ya Sugu kumuomba

Ushabiki wa Kisiasa usikupofushe yai!
Weka ushahidi wa uongo wako , Magufuli aliyemnyang'anya mashamba Sumaye anawezaje kumpa ardhi Sugu ? Andika bila kutafuta sifa za kipumbavu utaeleweka tu
 
Anaweza asiwe bilionea l;akini kile kiwanja alikipata kwa mkono wa Magufuli; mwulize Sugu mwenyewe. Kiwanja hicho kilikuwa katika eneo ambalo halikupimwa kwa ujenzi kwa sababu ya mazingira, na NEMC walitaka ujenzi usitishwe na ile sehemu iliyokuwa imeanza kujengwa ibomolewe. Magufuli kwa mamlaka yake akaidhinisha kuwa kiwanja hicho kiwa cha biashara na hivyo kiendelee kujengwa. Hata Sugu mwenyewe alimshukuru sana Magufuli kwa gesture hiyo.
Uongo hautakusaidia chochote , kwanza unajua desderia imejengwa lini ? swala la Magufuli liliibuka baada ya wadau kupinga njama zake za kishamba za kumkomoa Sugu kupitia Nemc na kufichuliwa kila kitu hadharani , Acheni uongo wa kijinga .

Mtu Katili kama Magufuli hana uwezo wa kusaidia yeyote .
 
..Sugu anabainisha hapa kwamba alifuata process zote kabla hajajenga hoteli.

..Raisi Magufuli aliingilia kati kuiokoa serikali kwasababu Sugu angekwenda mahakamani serikali ingelazimika kumlipa fedha nyingi kuliko hata thamani ya hoteli.

Wewe choko hufatilii habari nini? Bila Magufuli kutia neno kwamba aachwe hio hotel isingekuwepo leo! Kuna kipindi palitaka pavunjwe hapo.
Kuniita mimi choko hakutapunguza umasikini unakuandama kuanzia kichwani hadi kwenye nyayo , kabla Magufuli hajaacha kulima bamia kwao , Desderia ilikuwepo , sasa uongo wa kwamba Jiwe ndio alimsaidia Sugu kiwanja mmeokoteza wapi ?

Halafu nakuonya kuhusu Matusi , mimi si kama hao wajinga wenzio , utaondoka jf bila kuaga , rudia tena !
 
Wewe choko hufatilii habari nini? Bila Magufuli kutia neno kwamba aachwe hio hotel isingekuwepo leo! Kuna kipindi palitaka pavunjwe hapo.

..Ni kweli kuna watu wa serikali walitaka kuivunja.

..Lakini Magufuli aliona mbali kwamba Sugu angekwenda mahakamani angeishinda serikali.

..Mimi kwa mtizamo wangu naamini Magufuli alilenga kuiokoa serikali na sio kumuokoa Sugu.
 
Kuniita mimi choko hakutapunguza umasikini unakuandama kuanzia kichwani hadi kwenye nyayo , kabla Magufuli hajaacha kulima bamia kwao , Desderia ilikuwepo , sasa uongo wa kwamba Jiwe ndio alimsaidia Sugu kiwanja mmeokoteza wapi ?

Halafu nakuonya kuhusu Matusi , mimi si kama hao wajinga wenzio , utaondoka jf bila kuaga , rudia tena !
We maku maskini wewe na ukoo wako, hunijui kivyovyote wala huna mamlaka ya kunipa cheo chochote pumbavu. Kaa kwa pattern mjinga mkubwa wewe. Kama jf ya babaako ntaondoka humu shwaini!
 
..Ni kweli kuna watu wa serikali walitaka kuivunja.

..Lakini Magufuli aliona mbali kwamba Sugu angekwenda mahakamani angeishinda serikali.

..Mimi kwa mtizamo wangu naamini Magufuli alilenga kuiokoa serikali na sio kumuokoa Sugu.
Kivyovyote vile lengo ni kukwepa kumpa sifa Magufuli hio inaeleweka mbajo.
 
Back
Top Bottom