Zitto Kabwe atembelea Desderia Hotel ya Sugu Jijini Mbeya, asema ni pazuri

Anaweza asiwe bilionea l;akini kile kiwanja alikipata kwa mkono wa Magufuli; mwulize Sugu mwenyewe. Kiwanja hicho kilikuwa katika eneo ambalo halikupimwa kwa ujenzi kwa sababu ya mazingira, na NEMC walitaka ujenzi usitishwe na ile sehemu iliyokuwa imeanza kujengwa ibomolewe. Magufuli kwa mamlaka yake akaidhinisha kuwa kiwanja hicho kiwa cha biashara na hivyo kiendelee kujengwa. Hata Sugu mwenyewe alimshukuru sana Magufuli kwa gesture hiyo.
Kaka kama vitu hujui uliza, magufuli hajawahi kuta ujenzi wowote pale bali nemc walitaka kuvunja hotel ambayo inafanya kazi kabisa ndio magufuli akazuia. Pili pale ilipojengwa hotel sugu hakununua uwanja bali alinunua nyumba akazivunja ndio ikajengwa hotel
 
Arusha kuna Hotel ilivunjwa na Rais hakuingilia

Ila wote tulimsikia Sugu akimshukuru Shujaa Magufuli
 
Huyo jamaa anasema magu alimsaidia sugu kupata kiwanja sasa uzunguni mbeya kulikuwa na viwanja?
Kwa Sheria ya Ardhi Rais wa JMT ndiye anayefuta Umiliki wa Ardhi

Sugu kumiliki eneo lenye chanzo cha Maji na NEMC kumtimua ambacho kingefuata ni Rais kufuta Umiliki

Ndiposa Shujaa Magufuli badala ya kukifuta akaagiza Kiwanja kipimwe na kurasimishwa kisha amilikishwe kisheria Sugu Moto Chini!

Kwahiyo kisheria Sugu alipewa Kiwanja na Shujaa Magufuli
 
Kaka ilipojengwa hotel sugu alinunua nyumba, tena nyumba za ushuani nani alizijenga kwenye chanzo cha maji? Kumbuka hizo nyumba mwanzo zilikuwa za serikali
 
Siasa siyo Uadui.

Akiwa kwenye Ziara ya kichama Jijini Mbeya KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe na ujumbe wake wametembelea.Hotel ya mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Bilionea Sugu

Zitto Kabwe anesema Wawekezaji wa ndani ni lazima watiwe moyo na amempongeza sana mh Joseph Mbilinyi.

=====

View attachment 2640846

Afya ya brain kwa waheshimiwa ipewe kipa umbele
 
Kaka ilipojengwa hotel sugu alinunua nyumba, tena nyumba za ushuani nani alizijenga kwenye chanzo cha maji? Kumbuka hizo nyumba mwanzo zilikuwa za serikali
Wewe unadhani Sugu ni mjinga Kumshukuru Shujaa Magufuli hadharani?
 
Mjinga ni wewe mwenye chuki za kishamba. Unakaza msuli kufifisha image ya raisi unahisi una akili hata moja kweli
Huyo dogo ni mshamba mmoja wa kyela vijijini huko, yupo hapa 24 hrs kusifia Chadema na mbowe. Chungulia nyuzi zake zote hapa utakuja kuona.

Na hili ndio tatizo kubwa la upinzani nchini, limekumbatia watu 'hopless' kama ntoa mada kua ndio 'think tank yao'
Ni kajinga tu, kasamehe.
 
Anaweza asiwe bilionea l;akini kile kiwanja alikipata kwa mkono wa Magufuli; mwulize Sugu mwenyewe. Kiwanja hicho kilikuwa katika eneo ambalo halikupimwa kwa ujenzi kwa sababu ya mazingira, na NEMC walitaka ujenzi usitishwe na ile sehemu iliyokuwa imeanza kujengwa ibomolewe. Magufuli kwa mamlaka yake akaidhinisha kuwa kiwanja hicho kiwa cha biashara na hivyo kiendelee kujengwa. Hata Sugu mwenyewe alimshukuru sana Magufuli kwa gesture hiyo.
Siyo kweli. Sugu anamiliki kiwanja kabla Dikteta hajakuwa Rais wa Tanzania.

Usichanganye mambo na zile vurugu ambazo watu wa Magufuli walitaka kumfanyizia Sugu. Ni vitu 2 tofauti
 
Kuniita mimi choko hakutapunguza umasikini unakuandama kuanzia kichwani hadi kwenye nyayo , kabla Magufuli hajaacha kulima bamia kwao , Desderia ilikuwepo , sasa uongo wa kwamba Jiwe ndio alimsaidia Sugu kiwanja mmeokoteza wapi ?

Halafu nakuonya kuhusu Matusi , mimi si kama hao wajinga wenzio , utaondoka jf bila kuaga , rudia tena !

Ebwana eeeh kuna watu mnajua kuchimba mkwara na hizo anonymity zetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kaka kama vitu hujui uliza, magufuli hajawahi kuta ujenzi wowote pale bali nemc walitaka kuvunja hotel ambayo inafanya kazi kabisa ndio magufuli akazuia. Pili pale ilipojengwa hotel sugu hakununua uwanja bali alinunua nyumba akazivunja ndio ikajengwa hotel
Bado ujenzi ulikuwa unaendelea weye. Kuna sehemu iliyokuwa imaenza kazi na kuna sehemu bado ilikuwa inaendelea kujengwa; ni maendeleo ya ujenzi ule ndiyo yaliyowakurupua NEMC usingizini.

Tabia ya NEMC kufungia biashara na kuamuru nyumba zibomolewe haikuanza wakati wa Magufuli; in fact Mengi akiwa mwenyekiti wa NEMC alifungia viwanda na biashara nyingi sana, na hata juzi tu hapo Dodoma NEMC imefungia biashara kadhaa kwa sababu ya muziki tu.
 
Back
Top Bottom