Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hawa wajinga wanaotukana hamna haja ya kuwa quote..Ni kweli kuna watu wa serikali walitaka kuivunja.
..Lakini Magufuli aliona mbali kwamba Sugu angekwenda mahakamani angeishinda serikali.
..Mimi kwa mtizamo wangu naamini Magufuli alilenga kuiokoa serikali na sio kumuokoa Sugu.