Zitto Kabwe atembelea Desderia Hotel ya Sugu Jijini Mbeya, asema ni pazuri

..Ni kweli kuna watu wa serikali walitaka kuivunja.

..Lakini Magufuli aliona mbali kwamba Sugu angekwenda mahakamani angeishinda serikali.

..Mimi kwa mtizamo wangu naamini Magufuli alilenga kuiokoa serikali na sio kumuokoa Sugu.
Hawa wajinga wanaotukana hamna haja ya kuwa quote
 
Unamtishia nani sasa. Au unahisi nakula kwa kuwepo jf mimi? Angalia na watu wa kuwazoea jomba!
Mimi sijawahi kuzoea wajinga , bali wewe ni miongoni mwa wanaojipendekeza kwenye nyuzi zangu , nimekudharau sana ! Matusi na Uchawi ndio faraja pekee ya kapuku .

Nashangaa sana Moderator kukuacha , hata hivyo nitamkumbusha
 
Kivyovyote vile lengo ni kukwepa kumpa sifa Magufuli hio inaeleweka mbajo.

..Lengo linaweza kuwa ni kulazimisha kumpa Magufuli sifa asizostahili. Kama Magufuli angekuwa na huruma kwa Sugu basi angemuokoa kabla hajafungwa.

..Magufuli alikuwa na ugonjwa wa kupenda sifa. Nitakukumbusha tukio la kumchangia Mchungaji Msigwa ili atoke jela. Mtu mwenye akili timamu hawezi kumfanyia mkwe wake kama Magufuli alivyofanya kwa Mchungaji Msigwa.
 
Wewe unaweza kumzidi chochote Magufuli katika maisha yako? Labda tuanzie hapo.
 
Hiyo Hotel imejengwa kwenye mkondo wa Maji Baada ya Shujaa Magufuli kufuta Katazo la NEMC na kisha kumpatia Sugu hilo eneo baada ya Sugu kumuomba

Ushabiki wa Kisiasa usikupofushe yai!

Siyo Ushabiki mkuu ,kama NEMC wangeibomoa hiyo hotel means Serikali ingemlipa fidia sugu pesa ndefu sana maana alifuata process zote mpaka akalipata hilo eneo ,kwahiyo JIWE akaona mission yake imefeli ndiyo akaja na hiyo ya kuruhusu hotel isivunjwe! Kumbuka enzi za mwenda zake ilikuwa wapinzani wote wanafuatwa kuunga mkono juhudi ukikataa ndiyo wanazusha mazengwe kama hayo.
 
At the end of the day hskuna wa CCM au CHADEMA au ACT Wazalendo, wote wanataka kutajirika kwa ufisadi na kuuza maneno tu.

Hebu tuonyesheni Sugu amewafanyia nini wananchi wa Mbeya kwa kuwaongeza kipato.
Huyo Tulia wenu kawafanyia nini wanambeya zaidi ya kuwakimbiza mimarathoni kila siku na migoma kama wanga?
 
Mjinga ni wewe mwenye chuki za kishamba. Unakaza msuli kufifisha image ya raisi unahisi una akili hata moja kweli
Yaani hadi unamuita choko kumbe unatetea legacy ya Magu mzee baba?? Tufwile nyambala bagwitu🤚🙆‍♂️kazi mnayo
 
Yai unatesekea wapi 😂😂😂
 
Mambo ya mkwe ni huko huko Chadema

Mbowe na Mtei

Ndesamburo na Grace
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…