Zitto Kabwe atembelea Desderia Hotel ya Sugu Jijini Mbeya, asema ni pazuri

Ni wachache sana wanaoweza kuwazidi wanasiasa wa ccm hasa walioshika nyazifa kubwa kama magu, maana wao ni kuchota tu
Ndio maana mtu akiwa anamdhihaki mtu kama Magufuli huwa namuona kitoko tu πŸ˜€
 
Yaani hadi unamuita choko kumbe unatetea legacy ya Magu mzee baba?? Tufwile nyambala bagwituπŸ€šπŸ™†β€β™‚οΈkazi mnayo
Tatizo lenu mna mawazo mgando. Kwahio mtu akijaribu kutoa hoja yeyote kuhusu Magu maana yake anatetea Legacy? Kwa akili hizi CCM itatawala hadi vizazi vyetu vya 4
 
Tatizo lenu mna mawazo mgando. Kwahio mtu akijaribu kutoa hoja yeyote kuhusu Magu maana yake anatetea Legacy? Kwa akili hizi CCM itatawala hadi vizazi vyetu vya 4
Sasa mbona na erythrocyte katoa mawazo yake kawaida tu ukamuita choko?? Tujitahidj kuvumiliana..wewe unamuona ana legacy wengine wanamuona katili hana utu
 
At the end of the day hskuna wa CCM au CHADEMA au ACT Wazalendo, wote wanataka kutajirika kwa ufisadi na kuuza maneno tu.

Hebu tuonyesheni Sugu amewafanyia nini wananchi wa Mbeya kwa kuwaongeza kipato.
Wewe endelea kumfagilia mbeba majeneza
 
Sasa mbona na erythrocyte katoa mawazo yake kawaida tu ukamuita choko?? Tujitahidj kuvumiliana..wewe unamuona ana legacy wengine wanamuona katili hana utu
Kwanini mnajaribu kuibua dhana ya Legacy kila wakati. Mtu akimuongelea Magufuli positively mnasharuka na ngonjera za Legacy mara Sukuma Gang why do you always have to do such bullshit?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…