Zitto Kabwe atoa hoja nzito juu ya uwekezaji wa DP World Tanzania

Hiyo framework ni upuuzi kwa sababu inalinda maslahi ya mwekezaji kwa 100%,sijaona sehemu hata moja ambayo inalinda ama kutetea maslahi ya Tanganyika. Kama framework ni ya hivyo hivi,hiyo mikataba itakuja kuwa vpi.

Kuna wanasheria wa Tanzania walihusishwa kwenye kuiandaa hiyo framework? Naona kama mdubai ameiandaa na kuileta Tz bila input yoyote kutoka upande wetu,halafu govt inapeleka bungeni.

We are fucked big time .
 
Kwahiyo kile kipande cha mkataba kipengele cha kutoruhusiwa kuvunja mkataba hata itokee nini, hawa wavunje masharti ya mkataba , ni forgery?
Hakuna Mkataba bado, ule sio Mkataba ni MoU, mkataba utakuja baada ya maongezi kati ya TPA na DP World, lakini hadi bunge lipitishe.
 
We are not fucked you can trust that, you will believe me after 10 June.
 
Zitto huyu huyu anayetaka tusiwaguse Wazanzibar kwenye jambo ili tusionekane Wabaguzi ? Wadanganye Wajinga sana .
Unadhani kauli za Mbowe Juu ya Rais Samia Suluhu na Mh Makame Mbarawa zilikuwa kauli nzuri na zakiungwana?
 
Mpuuzi kama wapuuzi wengine
 
Ukiachana ba DP World ile hela ya udalali Kigogo alikulipa?
Binti mdogo unaendekeza siasa za kimangaa...
 
We are not fucked you can trust that, you will believe me after 10 June.
I don't have to believe you after the 10th of June, hiyo framework haifai hata kujadiliwa bungeni. Kama framework ni mbaya hivyo je hiyo mikataba itakuaje? How can they propose to give 1 company bandari zote za Tanganyika?
 
Hakuna Mkataba bado, ule sio Mkataba ni MoU, mkataba utakuja baada ya maongezi kati ya TPA na DP World, lakini hadi bunge lipitishe.
Kwahiyo wanaposema hatuwezi kuvunja mkataba hata kama Yesu akirudi na kuwapigia magoti, wanakuwa wanamaanisha nini kwenye huo mkataba tuliosaini? Kumbuka MOU ni makubaliano, na makubaliano kwa neno lingine ni mkataba

I don't have to believe you after the 10th of June, hiyo framework haifai hata kujadiliwa bungeni. Kama framework ni mbaya hivyo je hiyo mikataba itakuaje? How can they propose to give 1 company bandari zote za Tanganyika?
There is no agreement yet, the problem ni kwamba you have consumed a lot of propaganda that you cannot think.
 
Zitto wa ACT? Si ndio wanaotaka Zanzibar kuwa Singapore 2035 ikiwa ni nchi huru na kiti chake UN?
 
Mashaka ni makubwa sana sababu serikali uwa inaingia mikataba mingi mibovo kwa maslahi ya viongozi wachache,ndio maana unaona kwenye hili la bandali watu wamelipuka.
 
Nimegundua wengi wanaocoment humu hawajaulewa huo mktaaba wala hawajasikia uchambuzi wa kisheria

Wanabeba kifungu kimoja kisha wanatimka mbio kuwahi kuposti, pasi na kutazama vifungu vingine vinavyosomwa kwa pamoja.

Too sad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…