Zitto Kabwe atoa hoja nzito juu ya uwekezaji wa DP World Tanzania

Hiyo ni iga intercontinental government agreement sheria kamili zikipitishwa na bunge
 
Ahsante kwa kunikumbuka, nipo sana humu labda utoke wewe, kenge.
Kwenye teuzi ndogo tutegemee utakuwepo, kazi unayoifanya kutetea upumbavu lazima hao wapumbavu wenzio waione na kukupa hata ubalozi.

Wachumia tumbo mpo tayari kutetea lolote hamjali maisha ya watu.

Futseke zako.
 
ZK anaendelea kusema kwamba, mjadala wa Bunge juu ya MoU hii ndio muhimu zaidi, yaani ndio msingi mkuu wa HGA,
Zitto ni Mchumi ajikite kwenye issues za kiuchumi kwenye suala hili la bandari na HGA. Masuala ya kisheria awaachie Wana sheria
 
Tulilijua hili... atafuatia Lipumba kisha sheikh Kishki!! Tunajua mpambano umehamia misikitini!
That is too low even for you.
Ni ujinga usio mithilika kuingiza udini kwenye suala hili, au unasubiri tamko toka kwa Bangoza, Shoo na Mwamposya?
 

Kama Zito ameyasema hayo, basi ana uelewa mdogo sana kwenye masuala ya mikataba.

Hii MoU siyo zile simple MoU. Hii ni conditional.MoU, ambayo kimsingi inakuwa na details za nini kitatokea iwapo itabarikiwa. Maana yake ni kwamba contents zote za mkataba zinakuwemo kwenye MoU. MoU za namna hiyo hufanyika ili kutotoa nafasi kwa pande 2 kutoingiza jambo jipya kama ikibarikiwa na institutions za maamuzi.

MoU za mikataba ya nchi ni lazima ziwe detailed juu ya nini kitatokea baada ya kupata baraka za Bunge ili.kuizuia Serikali kuweka vipengere vipya baada ya kupata baraka za Bunge.

Zito anapotosha umma ili ionekane kama vile Bunge linaenda kutoa tu maamuzi ya Serikali ifanye majadiliano ya uwekezaji na hao wawekezaji au iache. Jambo ambalo siyo kweli. Na kama suala hili lingekuwa kwa namna ambayo Zito anaeleza, ingekuwa mbaya zaidi, kwa sababu ingemaanisha Bunge litoe baraka kwa Serikali kukubaliana na DP World kwenye mambo ambaye hakuna mtu wala taasisi yoyote inayajua.
 
Sasa kama umesema hakuna mkataba sasa inakuwaje useme tena mkataba unakufa? Hivi MOU ni nini? Kama Mou iko vile unafikiri mkataba ukoje? Kwanini mnafikiri watanzania ni wajinga wote?
 
Hakuna Mkataba bado, ule sio Mkataba ni MoU, mkataba utakuja baada ya maongezi kati ya TPA na DP World, lakini hadi bunge lipitishe.
Huelewi chochote. Ile ni conditional agreement, wengine hiita detailed MoU (ni lugha). Nadhani huna uelewa juu ya mikataba. Waulize wenye uelewa.

Nimeshughulika na mikataba ya kimataifa kwenye sekta yangu kwa zaidi ya miaka 10.

Conditonal agreement, condition kuu ikishafikiwa, ile conditional agreement inageuka na kuwa ni Executable Agreement. Baada ya condition kutekelezwa, kinachofanyika ni kuandaa tu presentation letter inayoeleza kuwa the condition has been met. Kwa huu mkataba wa DP World, condition kuu ni domestication kufanywa na Bunge.
 
Lione na hilo wig.ie lake. Zito hata kipindi cha Jakaya alikuwa upande wa Jakaya sababu yeye anachoangalia ni dili na aliyepo ni dini gani basi.
 
People say “Trusting Zitto is trusting every one arround you”
 
Kwa mikataba kama hii atashindwaje kesi?
 
Same thing kingefanywa na jpm enzi zile ungewaona hawa hawa wanatoa povu kupinga ukodishwaji huu.
Ila kwa vile Lissu na ZK wamelamba basi ni kuunga mkono hoja na hamna anaezungumzia tena kununuliwa!
Wanasema upotoshwaji lkn hawazungumzii kilichopo ili tujue wapi palipopotoshwa
 
😄😄😄😄 Nimeisoma hiyo document,sijui hizo propaganda unazoziongelea. Bunge la CCM litapitisha hilo azimio bovu maana kazi yake ni kuiunga mkono serikali sio kuisimamia .
Huwa nashangaa sana watu kusema pale tuna bunge hivi kweli wako serious??? Kila kinachopelekwa pale kinapita tu. Ni kama chujio lenye topo au chupi yenye viraka vilivyotatuka🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…