Zitto Kabwe atua Ukraine akiwa na Bobi Wine

Zitto Kabwe atua Ukraine akiwa na Bobi Wine

View attachment 2359664
Kiongozi Mkuu wa ACT wazalendo akiambatana na Boby wine akiwa na Meya wa Mji wa Lyviv -UKRAINE.

SWALI MUHIMU:
msimamo wa ACT katika vita vya UKRAINE Unaegamia mrengo upi?

CC; Pascal Mayalla Infantry Soldier Yericko Nyerere
Screenshot_20220917-142211_Twitter.jpg
 
Ukraine alimpoka lini Russia Uhuru wake?

Hujui kama Ukraine anataka kutumika kumslave Russia, na kuifanya kama point ya kumcounter attack Russia incase na hata kufuatilia nyendo za Russia.

UN ingekuwa fair basi Ukraine na nchi zote around Russia ziwe neutral bila kuwa na uhusiano wa kijeshi na rivals wowote wa Russia.

Wakati wa vita baridi mikata iliwekwa juu ya watu kufanya mashindano ya umilikaji wa silaha za nuklia.
 
Kwani lazima jirani awe na mlengo wa kisiasa kama wako?
 
Zitto kiherehere sana, akija hana mapvmb, kipofu, kiziwi kwa mabomu asije kusema watanzania niombeeni, hatukuombei ng'o, hizi sifa hizi, mtu hata raia mmoja wa Ukraine hakujui, ww unapeleka milonjo yako huko, Putin ngoja afanye yake.
 
Back
Top Bottom