Zitto Kabwe atua Ukraine akiwa na Bobi Wine

Zitto Kabwe atua Ukraine akiwa na Bobi Wine

Zitto kiherehere sana, akija hana mapvmb, kipofu, kiziwi kwa mabomu asije kusema watanzania niombeeni, hatukuombei ng'o, hizi sifa hizi, mtu hata raia mmoja wa Ukraine hakujui, ww unapeleka milonjo yako huko, Putin ngoja afanye yake.
Sijui kwanini nimeikumbuka tamthilia ya inayoendelea kusimuliwa na jf member...🤔

I sniff East Africa imekomboka kutoka kwenye makucha ya mabeberu...Mungu akiwa enzini, mambo yote ni sawa sawa...Imetoka hiyo watashindana lakini tu zaidi ya washindi...Glory be to the highest!
 
Zitto kaenda Ukraine kwa ufadhili wa taasisi iitwayo Benthrust foundation, inayomilikiwa na Jonathan Oppenheimer. Bodi ya ushauri ya taasisi hii inaundwa na wazito kama Olusegun Obasanjo, Ellen Johnson Sirleaf, Gregg Mills, Ernest Bai Koroma. Kwenye hiyo safari pia Bob Wine alikuwepo. Benthrust inatuhumiwa kuwaweka vibaraka madarakani kwenye nchi nyingi za Afrika kwa maslahi yao binafsi. Huwa ni wataalamu wazuri wa kusuka migogoro ndani ya nchi ambayo wanashindwa kupenya kirahisi. Kimsingi ukiona kiongozi anajihusisha na hawa jamaa ujue ni kibaraka wao na sio mzalendo. Binafsi ninamkubali sana Zitto kwa uwezo wake binafsi ila naweza sema sio mzalendo na hafai kuwa kiongozi wa nchi hii. CCM itazidi kuwa madarakani kwa kuzikataa taasisi za hovyo kama hii Benthrust.
 
Zitto na Bobi Wine sasa watafunguliwa mafaili na majasusi wa Urusi. Wajiangalie sana na wawe makini maana majasusi wa Urusi wabaya sana.
 
Putin atakula kichwa cha huyu Mzee wa fursa..
 
Tofautisha bhana kati ya Mzalendo wa kweli, na Mchumia tumbo, Mnafiki, na Mdini!

Yaani wewe ni Mwandishi na mchambuzi nguli wa habari, Wakili msomi!!! bado unashindwa kufahamu Zitto Kabwe ni Mwanasiasa wa aina gani!!!
Kwanini unamsifia sana ilihali kuna Mtu hapo juu kashadai zamani alikuwa anaaminika lakini sasa hivi kashamstukia....[emoji28]
 
Urusi amevamia Ukraine kulinda uhuru wake.

Ukraine anapigana na Mrusi kujihami na kulinda mipaka yake.
Ukraine inaeleweka, kwa nini inapigana. Urusi, huo uhuru wake, uliwahi kuchukuliwa na yeyote? Hata pale alipopora sehemu ya Ukraine mwaka 2014, kuna uhuru wa Urusi uliokuwa umeporwa?

Urusi ina janga kubwa kuliko majanga yote, janga linaloitwa Putin. Mnapokuwa na kiongozi mkuu ambaye profession yake ni kuua, mjue mpo kwenye laana kubwa. Putin, afisa wa KGB wa zamani, ambaye jukumu lake la awali ndani ya KGB, lilikuwa kuua (sniper), hata siku moja hawezi kuwapeleka warusi katika amani.
 
Abdul Nondo ACT Wazalendo upi msimamo wenu kuhusu hii Vita ya kishenzi?
Kila mwenye akili, atalaani uvamizi wa Urusi. Urusi inayataka mataifa yote ambayo zamani yalikuwa sehemu ya USSR, yawe makoloni yake. Yakionesha tu kutaka kuendesha mambo yake kama mataifa huru, Urusi inasema eti yanatishia usalama wa Urusi.

Tatizo, ni wananchi wa Ukraine kutomchagua kibaraka wa Urusi kuwa Rais. Hapo ndipo ikawa chanzo cha mgogoro mkubwa.

Wananchi wengi wa Ukraine, wengi wanepoteza maisha, wanataabika sana, LAKINI mwisho wa yote watashinda, na Putin ataabika, na kuwasababishia mateso wananchi wa Russia. Ni suala la muda tu. Vita vikiendelea mpaka mwishoni mwa 2023, mwanzoni mwa 2024 Dunia itashuhudia kudorora kwa kiwango kikubwa kwa Taifa la Russia, na Warusi wengi watasambaa Dunia nzima kutafuta ahueni za maisha.
 
Ukraine inaeleweka, kwa nini inapigana. Urusi, huo uhuru wake, uliwahi kuchukuliwa na yeyote? Hata pale alipopora sehemu ya Ukraine mwaka 2014, kuna uhuru wa Urusi uliokuwa umeporwa?

Urusi ina janga kubwa kuliko majanga yote, janga linaloitwa Putin. Mnapokuwa na kiongozi mkuu ambaye profession yake ni kuua, mjue mpo kwenye laana kubwa. Putin, afisa wa KGB wa zamani, ambaye jukumu lake la awali ndani ya KGB, lilikuwa kuua (sniper), hata siku moja hawezi kuwapeleka warusi katika amani.

shida yetu ni moja, kuamini kila jambo linalotokea lazima lionekana kwa macho ya kawaida na akili za kawaida.

Sidhani kama inahitaji akili nyingi kujua nini Ulaya Magharibi na USA inataka dhidi ya Urusi, kifupi West na USA wanachotaka ni Urusi kuishi watakavyo na superpower USA na allies wake kusiwe na mtu wakuwachallenge, hapo ndio shida ilipo.

Mrusi analinda heshima yake ili awe huru na kuamua mambo yake mwenyewe na sio kupangiwa maisha, Kulinda heshima na utu wake ni pamoja na kudhibiti mipaka yake na maadui zake jirani na mbali.
 
Back
Top Bottom