Zitto Kabwe atua Ukraine akiwa na Bobi Wine

Zitto Kabwe atua Ukraine akiwa na Bobi Wine

View attachment 2359664
Kiongozi Mkuu wa ACT wazalendo akiambatana na Boby wine akiwa na Meya wa Mji wa Lyviv -UKRAINE.

SWALI MUHIMU:
msimamo wa ACT katika vita vya UKRAINE Unaegamia mrengo upi?

CC; Pascal Mayalla Infantry Soldier Yericko Nyerere
Watu wako KWENYE matatizo wengine wanaleta siasa uchwara , ili kupata vipicha vya mchongo

Sasa kwenda kwao HUKO kunasaidia nini, si wavae gwanda wapigane, Yani unalazimisha umaarufu pitia matatizo ya watu, ujinga mtupu
 
Nchi za Africa haziendelei kwa sababu wanasiasa wajinga wanategemea ujinga wa wananchi wa nchi zao .Hali kwa dhalika wananchi wajinga wanategemea maendeleo kutoka kwa mwanasiasa mjinga . Afrika bado sana .nahisi tulipata uhuru mapema au katiba za nchi zetu zina mapungufu sehemu!!
 
View attachment 2359664
Kiongozi Mkuu wa ACT wazalendo akiambatana na Boby wine akiwa na Meya wa Mji wa Lyviv -UKRAINE.

SWALI MUHIMU:
msimamo wa ACT katika vita vya UKRAINE Unaegamia mrengo upi?

CC; Pascal Mayalla Infantry Soldier Yericko Nyerere

Kwa maoni yangu, Zitto Kabwe ndie the one and only serious and strategic opposition leader in Tanzania. Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya...
P
Pascal Njaa,huja analyse vizuri aisee.Hakuna uzalendo wote hapo.kama ulisoma lile Andiko la maamzi ya USA juu Africa kuhusu upande upe Africa inatakiwa iwe kuhusu swala la Vita ya Ukraine,utagundua kuwa hao wanasiasa wa wili zitto na Bob siyo wazalendo hata kidogo kwa Bara letu la Africa.kwangu nawaona wasaliti na watu hatari kwa Africa.wamekwenda kuonyesha wazi kwamba wako upande wa USA katika vita hii ili yamkini waje kuungwa mkono na USA kuja kupindua utawala wa nchi zao.kumbuka katika Andiko lile USA walisema watadili na mtu yeyote ambaye ataenda kinyume na matakwa ya USA kuhusu vita vya Ukraine!!
Lakini pia kama mwanafrica angekuwa na akili wangehoji ikiwa wanasiasa hao wametumia hela zao kuenda Ukraine au fedha za chama!!
 
ajabu sana, kumpikia mgeni ilihali we ukishinda na njaa
 
Wazungu ni wanafiki wakubwa sana na ukweli ulio wazi sio marafiki zetu kiasi eti cha kuhitaji msaada wao tujikomboe.

Unafiki wa Mzungu ni pamoja na kutengeneza mifumo na kulazimisha watu waifuate akiaminisha ndio njia sahihu ilihali gizani akitumia taasisi zake za kijasusi wanatumia namna nyingine ili wao wawe salama wakati walichokianzisha kinaangamiza wengine.

WaAfrica wanaamini Mzungu ni mwema kwao face to face Mzungu akionyesha hivyo ila gizani ameshaset tools kufanikisha mambo yake na yeye kuwa huru.

Ni rahisi Russia kuonekana mkorofi na mzungu wa west + ukraine ni wema face to face lakini gizani tools za West ziko kazini kufanya rafu zote ili kumuangamiza Russia na kumpaka matope aonekana ni mshenzi hii ndio formula yao imetumika hata Africa nyakati fulani.

Africa inamuamini Mzungu na kupokea misaada kedekede na hadithi nyingi za mchana lakini gizani Mzungu huyo huyo kupitia tools zake anaikamua Africa na kuslave awezavyo.
 
Basi utasikia huko akisema mawazo ya waTanzania...
 
Back
Top Bottom