Abdul Nondo ACT Wazalendo upi msimamo wenu kuhusu hii Vita ya kishenzi?View attachment 2359664
Kiongozi Mkuu wa ACT wazalendo akiambatana na Boby wine akiwa na Meya wa Mji wa Lyviv -UKRAINE.
SWALI MUHIMU:
msimamo wa ACT katika vita vya UKRAINE Unaegamia mrengo upi?
CC; Pascal Mayalla Infantry Soldier Yericko Nyerere
Sijui kwanini nimeikumbuka tamthilia ya inayoendelea kusimuliwa na jf member...🤔Zitto kiherehere sana, akija hana mapvmb, kipofu, kiziwi kwa mabomu asije kusema watanzania niombeeni, hatukuombei ng'o, hizi sifa hizi, mtu hata raia mmoja wa Ukraine hakujui, ww unapeleka milonjo yako huko, Putin ngoja afanye yake.
Inauhusiano gani tena wa Uganda, Tanzania na huyo mzee wa USA aliyepigwa ban kuingia Russia hivi karibuni? Au ndio kudumisha msemo wa your enemies are my allies.Morgan Freeman
View attachment 2359664
Kiongozi Mkuu wa ACT wazalendo akiambatana na Boby wine akiwa na Meya wa Mji wa Lyviv -UKRAINE.
SWALI MUHIMU:
msimamo wa ACT katika vita vya UKRAINE Unaegamia mrengo upi?
CC; Pascal Mayalla Infantry Soldier Yericko Nyerere
Watu wenye utu wameenda kuwapa pole wenzaoView attachment 2359664
Kiongozi Mkuu wa ACT wazalendo akiambatana na Boby wine akiwa na Meya wa Mji wa Lyviv -UKRAINE.
SWALI MUHIMU:
msimamo wa ACT katika vita vya UKRAINE Unaegamia mrengo upi?
CC; Pascal Mayalla Infantry Soldier Yericko Nyerere
Lakini wanaopigwa mawe sana sio ACT ni Chadema. Mti wenye matunda😅😅Ana akili ndio maana Machadomo huwa yanamchukia.
Sure napo keshakula pesa za US na EUZitto opportunistic and traitor. Lyatonga aliyebakia Tanzania
Kwahiyo kakuzidi akili.Kwa maoni yangu, Zitto Kabwe ndie the one and only serious and strategic opposition leader in Tanzania. Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya...
P
Kwanini unamsifia sana ilihali kuna Mtu hapo juu kashadai zamani alikuwa anaaminika lakini sasa hivi kashamstukia....[emoji28]Tofautisha bhana kati ya Mzalendo wa kweli, na Mchumia tumbo, Mnafiki, na Mdini!
Yaani wewe ni Mwandishi na mchambuzi nguli wa habari, Wakili msomi!!! bado unashindwa kufahamu Zitto Kabwe ni Mwanasiasa wa aina gani!!!
Ukraine inaeleweka, kwa nini inapigana. Urusi, huo uhuru wake, uliwahi kuchukuliwa na yeyote? Hata pale alipopora sehemu ya Ukraine mwaka 2014, kuna uhuru wa Urusi uliokuwa umeporwa?Urusi amevamia Ukraine kulinda uhuru wake.
Ukraine anapigana na Mrusi kujihami na kulinda mipaka yake.
Kila mwenye akili, atalaani uvamizi wa Urusi. Urusi inayataka mataifa yote ambayo zamani yalikuwa sehemu ya USSR, yawe makoloni yake. Yakionesha tu kutaka kuendesha mambo yake kama mataifa huru, Urusi inasema eti yanatishia usalama wa Urusi.Abdul Nondo ACT Wazalendo upi msimamo wenu kuhusu hii Vita ya kishenzi?
Ukraine inaeleweka, kwa nini inapigana. Urusi, huo uhuru wake, uliwahi kuchukuliwa na yeyote? Hata pale alipopora sehemu ya Ukraine mwaka 2014, kuna uhuru wa Urusi uliokuwa umeporwa?
Urusi ina janga kubwa kuliko majanga yote, janga linaloitwa Putin. Mnapokuwa na kiongozi mkuu ambaye profession yake ni kuua, mjue mpo kwenye laana kubwa. Putin, afisa wa KGB wa zamani, ambaye jukumu lake la awali ndani ya KGB, lilikuwa kuua (sniper), hata siku moja hawezi kuwapeleka warusi katika amani.
Ukumbuke wewe ulichukua fomu kugombea ubunge ila hukuvaa sare za ccm.Kwa maoni yangu, Zitto Kabwe ndie the one and only serious and strategic opposition leader in Tanzania. Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya...
P
Naheshimu tu maoni Yako ila Kwa maoni Yangu, The Legend himself Mzee Mbowe is far better than ZittoKwa maoni yangu, Zitto Kabwe ndie the one and only serious and strategic opposition leader in Tanzania. Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya...
P
❤️Ndo uzuri wako Mkuu,hurembirembi maneno sikuzote.On point.Kwa maoni yangu, Zitto Kabwe ndie the one and only serious and strategic opposition leader in Tanzania. Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya...
P