Wazungu ni wanafiki wakubwa sana na ukweli ulio wazi sio marafiki zetu kiasi eti cha kuhitaji msaada wao tujikomboe.
Unafiki wa Mzungu ni pamoja na kutengeneza mifumo na kulazimisha watu waifuate akiaminisha ndio njia sahihu ilihali gizani akitumia taasisi zake za kijasusi wanatumia namna nyingine ili wao wawe salama wakati walichokianzisha kinaangamiza wengine.
WaAfrica wanaamini Mzungu ni mwema kwao face to face Mzungu akionyesha hivyo ila gizani ameshaset tools kufanikisha mambo yake na yeye kuwa huru.
Ni rahisi Russia kuonekana mkorofi na mzungu wa west + ukraine ni wema face to face lakini gizani tools za West ziko kazini kufanya rafu zote ili kumuangamiza Russia na kumpaka matope aonekana ni mshenzi hii ndio formula yao imetumika hata Africa nyakati fulani.
Africa inamuamini Mzungu na kupokea misaada kedekede na hadithi nyingi za mchana lakini gizani Mzungu huyo huyo kupitia tools zake anaikamua Africa na kuslave awezavyo.