kajima
JF-Expert Member
- Dec 5, 2009
- 1,289
- 513
hoja ya msingi ni balance of power....
ili muungano udumu lazima Serikali yake iwe na nguvu kuliko hizo mbili...hii itawezekana?
ili iwezekane lazima Waziri mkuu kwa kila upande ateuliwe na Rais wa muungano....ndio Rais awe mmoja tu, waziri mkuu wawili,
Makamu wa Rais awe ndio kiongozi wa Serikal kwenye bunge la Muungan