upende usipende serikali tatu ni mpango wa sasa
Nchi ya Zanzibar haitaki Serikali moja, hapo unafanyaje!huo ni mtazamo wake, hakuna nchi duniani yenye serikali tatu, labda sisi tuwe wa kwanza..3 hazina tija yoyote kufurahishana wakati tunaingia hasara, siungi mkono, suluhisho ni serikali moja tu
Kumbe watanzania wengi ni wavivu wa kufikili yaani kwa kero hz tuu ambazo zinazungumzika leo tunakata tamaa na kuona mfumo uliopo wa serikali ndio tatizo? Nadilikikusema tumepotea na hoja hii inapaswa kupingwa kwa nguvu zote, hv hii tume inajuwa afya ya serikali tatu na mbili ipi bora? Au wamekurupuka tuu?.
Acheni Viroba bavicha Soma msimamo wa ZZK toka February.Tatizo mnakurupuka kama mmetoka usingizini.Yaani ZZK hakuona umuhimu wa serikali tatu mpaka baada ya Darasa la Warioba?...kama ndivyo basi kuna tatizo kubwa mahala fulani.
Ficha ujinga wako, umeongea uongo, usiwe mvivu wa kusoma / kutafuta information na usiropoke usiyoyajua.hakuna nchi duniani yenye serikali tatu, labda sisi tuwe wa kwanza..
Jana kuna uzi uliletwa hapa kua Zitto na January Makamba wamempinga mzee Warioba kupitia tweets zao. Sasa tuelewe lipi hapa.!!!????!!?
Tusizoee kufikiriwa kila wakati.......................Jizoeshe kufikiri
huo ni mtazamo wake, hakuna nchi duniani yenye serikali tatu, labda sisi tuwe wa kwanza..3 hazina tija yoyote kufurahishana wakati tunaingia hasara, siungi mkono, suluhisho ni serikali moja tu
Asante kwa kunipatia hii sentensi.......Tatizo akili zetu tumewakabidhi wanasiasa......
Watu mliokuwa manapinga serikali tatu mkome kukurupuka bila kuwa na details za kutosha. sasa nawasihi kumuheshimu sana Jaji Dr Warioba kwani ni uwasilisho wa jana na ufafanuzi wake ni alpha na omega kwa matatizo mengi ya nchi hii. vijana pendeni watu wanaopenda kuwaambia ukweli kama mzee wetu huyu Jaji Dr Joseph Sinde Warioba. Mungu tunakuomba umlinde mzee huyu AminaZitto ameonekana Kufurahishwa na ufafanuzi wa Jaji Warioba na hata Kupelekea kuwashawishi Wajumbe wenzake kwamba, hawana budi kujadili namna ya Kuuboresha zaidi muundo huo wa Serikali tatu badala ya kujadili Serikali mbili ambazo yeye mwenyewe amekiri kwamba hazitakuwa Suluhisho la Kero za muungano kupitia ukurasa wake wa facebook.
Hii imemtokea baada ya jana Kuusikiliza kwa makini ufafanuzi wa Jaji Warioba kuhusu muundo huo wa Serikali tatu, pia Kwa mujibu wa Maelezo ya Julius S. Mtatiro Naibu Katibu Mkuu wa CUF Tanzania Bara ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge maalum la Katiba amesema Idadi kubwa ya Wajumbe wa CCM, jana baada ya kutoka ndani Ukumbi wa Bunge, walionekana kuridhishwa na ufafanuzi wa hotuba ya Warioba huku wengine wakitamka wazi kuwa Serikali tatu ndio mpango mzima.
Nawasilisha!
Chanzo: Zitto Kabwe's facebook page....
Ninachofahamu Zanzibar hawako tayari kupoteza identity yao hata kidogo. Wanathamini mapinduzi yao ya mwaka 1964.huo ni mtazamo wake, hakuna nchi duniani yenye serikali tatu, labda sisi tuwe wa kwanza..3 hazina tija yoyote kufurahishana wakati tunaingia hasara, siungi mkono, suluhisho ni serikali moja tu
Ficha ujinga wako, umeongea uongo, usiwe mvivu wa kusoma / kutafuta information na usiropoke usiyoyajua.
Usifikiri kwa makalio tumia ubongo