Zitto Kabwe awa mbogo, awashukia vikali wanaodai Makamu wa Rais, Dkt. Mpango ni Mrundi

Nafikiri Kigogo ana hasira kwasababu alikuwa kwenye genge la Nchimbi
 
Hiyo ni kwa mujibu wa kitabu unachokiamini. Nchi nyingi ukienda utasikia binadamu wa kwanza alianzia kwao. Yaani ni utapeli mtupu.
Una uhakika na hili?
 
Upo sawa kifikra? Unataka aeleze mara ngapi?
 
Hakuna vita mbaya kama ya Udini na Ukabila, Watanzania endeleeni na uchochezi ila mfahamu vita hii ni zaidi ya first world war
 
We mzee kila kitu kibaya Ni chadema

Umewaona wapi chadema hapa unawajua identities zao

Nyie wazee mna mambo ya ajabu sana.

Mmelifikisha hili Taifa kubaya hapa tulipo
 
Sasa zzk povu lote hilo la nini, Mwache VP ajieleze mwenyewe inakuaje ahusishwe na uraia wa nchi nyingine halafu awe kiongozi wa juu katika nchi isio asili yake.
Acha umbayuwayu VP ajieleze kwa huo uzumbukuku wenu.?? Mtakuwa mmekosa agenda!
 
Mbona rais wa chama chake wakati huo aliteuliwa kuwa mkuu wa mkoa?

Alipoteuliwa baadaye huyo Rais wa Chama ikawaje???, leo hii bado ni Mwana chama wa ACT??--- Huo ulikuwa ni mwenendo mbaya wa mwendazake kuvuruga demokrasia na kuua upinzani hata kwa kuhonga wanachama na wabunge wa upinzani kitu ambacho tumeona akikitekeleza baada ya kuahidi kuua upinzani ifikapo 2020.

Mwendazake kavuruga Demokrasia ya nchi kwa njia za hovyo kabisa kisa afanye atavyo bila kukosolewa, yeye kwa akili yake ndogo aliona Upinzani ni uadui.
 
Zitto kwenye kupiga pesa hana urafiki na mtu. Ni mfanyabiashara wa Siasa.
 
Zitto enzi za Jk alitumika vilivyo kuvuruga Upinzania, Bahati Mbaya awamu ya JPM wakawa hawamtumii tena kipindi cha JPM CCM waliingia wenyewe front line kuvuruga Upinzano na hata Zitto alivurugwa sana enzi za JPM.

Ila kwa mbaali naanza kuona Zitto akirudia kazi yake sasa ya Zamani ya kutumika vilivyo kuvuruga Upinzani, huyu jamaa kwa walio karibi naye wanamjua vilivyo alivyo kwanza Mbinafisi sana na mpenda sifa.

Awamu hii ya 6 ameisha anza kujikomba vilivyo kwa watawala wapya, hii alIifanya sana enzi za JK.

Ukizingatia kwamba yuko Juu ya Mawe awamu hii ya 6 lazima awavutuge vilivyo Wapinzani kwa ahadi za Vipande vya Pesa.

Muda utaongea.
 
Hivi kwanini Watusi wa Tanzania huwa wanaonekana sio raia ukilinganisha na Wahutu au Waha wa kirundi?

Wote hawa si victims wa mipaka ya mzungu?
Hakuna Muha wa Kirundi, Muha ni Muha hana mahusiano yoyote na Mrundi japo lugha ya Kirundi, Kiha na Kinyarwanda zinaingiliana.
 
Sasa zzk povu lote hilo la nini, Mwache VP ajieleze mwenyewe inakuaje ahusishwe na uraia wa nchi nyingine halafu awe kiongozi wa juu katika nchi isio asili yake.
VP haweza kujieleza kwa upumbavu wenu. Tatizo huyo Kigogo hata hajui lolote kuhusu Waha na lugha yao! Kile ni kiha nanile ni ngoma ya kiha, yes huu ni muda wa Waha kaeni lwa kutulia.
 
Mkuu uko sambamba kabisa na mawazo yangu. Kimsingi Magufuli alikuwa hampendi Zito ndio maana Zito akarudi kujiunga na wapinzani wa kweli. Ila sasa hivi adui yake hayupo, lazima arejee kwenye nafasi yake ya kuwa wakala wa ccm.

Cc: Zito, Abdul Nondo
 
Kwani Zitto anahtaji nn sasa hv , amepambana na ni moja ya Wapinzani smart wenye mafanikio hapa Tz , kapita vikwazo vingi sana , katika utawala wa kiimla wa Jiwe bado kaibuka mshindi , karata ya Mpango bado ipo favourite kwake...... Zitto ni mpinzani mwenye kichwa chenye akili
 
Halafu ile siyo ngoma ya Kirundi, ile ni ngoma ya Kiha na pale ni Manyovu wakati wa kampeni ya ubunge 2020.

Wale ndiyo waha and now wameishika nchi so tukae kwa kutulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…