Zitto Kabwe awa mbogo, awashukia vikali wanaodai Makamu wa Rais, Dkt. Mpango ni Mrundi

Zitto Kabwe awa mbogo, awashukia vikali wanaodai Makamu wa Rais, Dkt. Mpango ni Mrundi

Ila hizi propaganda kwamba Dr. Mpango ni Mrundi kwa kuwa tu ameonekana akicheza wimbo wa kiha ni utoto na kukosa hoja.

Kigogo sometimes anakuwa na mambo ya kipuuzi sana. These days yupo off target kwa kila jambo na frustrations zake zinamfunua na kuonyesha ni mtu wa aina gani
Nafikiri Kigogo ana hasira kwasababu alikuwa kwenye genge la Nchimbi
 
Hiyo ni kwa mujibu wa kitabu unachokiamini. Nchi nyingi ukienda utasikia binadamu wa kwanza alianzia kwao. Yaani ni utapeli mtupu.
Una uhakika na hili?
 
Umesoma vizuri nilichoandika? Sijamtuhumu mtu au kumsafisha

Ninachosema ni kuwa Dr Mpango ana wajibu wa kueleza aina ya Uraia wake. Je , alizaliwa Tanzania?
Je, alipewa Uraia? Hayo ndiyo muhimu kwasasa .

Utetezi kuwa ni wa Kigoma hautamaliza mjadala na zaidi utatia shaka na kumfanya ajisikie mnyonge

Kuna tatizo gani akijitokeza na kueleza Uraia wake?

Nimekupa mfano wa Abdul Nondo ambaye ni kijana mdogo sana.
Baada ya kutuhumiwa kijinga na kwa chuki tu na ukatili, Abdul hakuishia kusema ni Mkigoma alithibitisha kutoka kwa Babu yake aliyempokea Nyerere. Mjadala ukaishia hapo!

Dr Mpango anapaswa kusema tu Uraia wake ni wa aina gani! Baasi

Kama hataeleza basi wale wanaosema si Raia watakuwa na uhalali wa kusema kwasababu nini anaficha?

Kama VP hawezi kuongoza akitazamwa kwa jicho la shaka hasa tukijua ana siri za nchi.

Dr Mpango ajitokeze aeleze au akae kimya awape neno wanaohoji tena litakuwa na nguvu. Ukimya si dawa wala ukigoma si kinga.
Upo sawa kifikra? Unataka aeleze mara ngapi?
 
Hakuna vita mbaya kama ya Udini na Ukabila, Watanzania endeleeni na uchochezi ila mfahamu vita hii ni zaidi ya first world war
 
Tatizo letu hasa upinzani ni kuchafuana. Mtu yeyote mwenye kujuwa historia ya TZ pamoja na makabila yake anatakiwa kujuwa kuwa watu wa mipakana wana makabila yanayoshahibiana. Waha kwa kifupi wana uhusiano na Warundi. Nafikiri siku hizi hata historia ya makabila hatujifunzi. Wale tuliyokuwa shule miaka ya 1950 tulijifunza juu ya makabila na asili zao. Ndiyo maana ukinitajia Mwami Ntare ninajuwa ni nani na alitawala wapi. Sasa hivi watu wanasikia Wahutu na Watusi, wakidhani hayo ni makabila kumbe siyo. Hata Waha, Wanyamwezi, na Wasukuma wana wahutu wao na watusi wao.

Hao wanamuita Mpango Mrundi ni CHADEMA waliokosa sera wamebaki kuchafuana. Hata kama angekuwa Mrundi, kwani Warundi wangapi wamechukuwa utaia wa TZ kutokana na migogoro yao. Je, akiwa na asili ya Kirundi lakimi ni Mtanzania utamnyima hiyo nafasi kwa sababu asili yake ni Burundi. TZ haibagui wananchi wao kwa dini, kabila, wala asili yao. Ukishakuwa Mtanzania ni Mtanzania tu, hata kama wewe ni mzungu. Hivi mliwa kuwaona mawaziri wa Nyerere ambapo kulikuwa na wazungu, waafrika, na wahindi. Hivi leo hii ikitokea hivyo, kelele za CHADEMA zitafika wapi? Au watanyamaza kwa sababu huko Ulaya ndipo alipo prpogandist wao mkubwa anti-pus Lissu.
We mzee kila kitu kibaya Ni chadema

Umewaona wapi chadema hapa unawajua identities zao

Nyie wazee mna mambo ya ajabu sana.

Mmelifikisha hili Taifa kubaya hapa tulipo
 
Sasa zzk povu lote hilo la nini, Mwache VP ajieleze mwenyewe inakuaje ahusishwe na uraia wa nchi nyingine halafu awe kiongozi wa juu katika nchi isio asili yake.
Acha umbayuwayu VP ajieleze kwa huo uzumbukuku wenu.?? Mtakuwa mmekosa agenda!
 
Mbona rais wa chama chake wakati huo aliteuliwa kuwa mkuu wa mkoa?

Alipoteuliwa baadaye huyo Rais wa Chama ikawaje???, leo hii bado ni Mwana chama wa ACT??--- Huo ulikuwa ni mwenendo mbaya wa mwendazake kuvuruga demokrasia na kuua upinzani hata kwa kuhonga wanachama na wabunge wa upinzani kitu ambacho tumeona akikitekeleza baada ya kuahidi kuua upinzani ifikapo 2020.

Mwendazake kavuruga Demokrasia ya nchi kwa njia za hovyo kabisa kisa afanye atavyo bila kukosolewa, yeye kwa akili yake ndogo aliona Upinzani ni uadui.
 
Zitto kwenye kupiga pesa hana urafiki na mtu. Ni mfanyabiashara wa Siasa.
 
Zitto enzi za Jk alitumika vilivyo kuvuruga Upinzania, Bahati Mbaya awamu ya JPM wakawa hawamtumii tena kipindi cha JPM CCM waliingia wenyewe front line kuvuruga Upinzano na hata Zitto alivurugwa sana enzi za JPM.

Ila kwa mbaali naanza kuona Zitto akirudia kazi yake sasa ya Zamani ya kutumika vilivyo kuvuruga Upinzani, huyu jamaa kwa walio karibi naye wanamjua vilivyo alivyo kwanza Mbinafisi sana na mpenda sifa.

Awamu hii ya 6 ameisha anza kujikomba vilivyo kwa watawala wapya, hii alIifanya sana enzi za JK.

Ukizingatia kwamba yuko Juu ya Mawe awamu hii ya 6 lazima awavutuge vilivyo Wapinzani kwa ahadi za Vipande vya Pesa.

Muda utaongea.
 
Hivi kwanini Watusi wa Tanzania huwa wanaonekana sio raia ukilinganisha na Wahutu au Waha wa kirundi?

Wote hawa si victims wa mipaka ya mzungu?
Hakuna Muha wa Kirundi, Muha ni Muha hana mahusiano yoyote na Mrundi japo lugha ya Kirundi, Kiha na Kinyarwanda zinaingiliana.
 
Sasa zzk povu lote hilo la nini, Mwache VP ajieleze mwenyewe inakuaje ahusishwe na uraia wa nchi nyingine halafu awe kiongozi wa juu katika nchi isio asili yake.
VP haweza kujieleza kwa upumbavu wenu. Tatizo huyo Kigogo hata hajui lolote kuhusu Waha na lugha yao! Kile ni kiha nanile ni ngoma ya kiha, yes huu ni muda wa Waha kaeni lwa kutulia.
 
Mkuu uko sambamba kabisa na mawazo yangu. Kimsingi Magufuli alikuwa hampendi Zito ndio maana Zito akarudi kujiunga na wapinzani wa kweli. Ila sasa hivi adui yake hayupo, lazima arejee kwenye nafasi yake ya kuwa wakala wa ccm.

Cc: Zito, Abdul Nondo
 
Kwani Zitto anahtaji nn sasa hv , amepambana na ni moja ya Wapinzani smart wenye mafanikio hapa Tz , kapita vikwazo vingi sana , katika utawala wa kiimla wa Jiwe bado kaibuka mshindi , karata ya Mpango bado ipo favourite kwake...... Zitto ni mpinzani mwenye kichwa chenye akili
 
Hoja ya Uraia ni yakisheria siyo yakisiasa. Kwa mujibu wa sheria ya Uraia wa Tanzania Sura 258 kifungu Cha 4 raia wa Tanzania kwa kuzaliwa ni mtu aliyezaliwa ndani ya Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania mmoja wa wazazi wake akiwa Raia wa Tanzania. Kwa kifungu hiki Dr. Mpango hana utata wa Uraia kwa sababu zifuatazo
Halafu ile siyo ngoma ya Kirundi, ile ni ngoma ya Kiha na pale ni Manyovu wakati wa kampeni ya ubunge 2020.

Wale ndiyo waha and now wameishika nchi so tukae kwa kutulia.
 
Back
Top Bottom