Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Binadamu wa Kwanza hakutokea Tanzania.Aisee ukiona hivi unaweza ukadhani matatizo nchini yamekwisha....
Ila kumbe tuna matatizo lukuki ila bado tunatafuta mengine kwenye utofauti wetu....,
By the way hapa tukianza kutafuta ni nani alikuwa hapa tangu enzi na enzi hapatabaki mtu (kila mtu ni wa kuja)..., alafu tukienda mbele zaidi kila binadamu atakuwa ni Mtanzania (sababu historia inaonyesha mabaki ya kwanza ya Binadamu yametokea Tanzania..., hivyo basi kila Binadamu hapa ni nyumbani...
Wewe unaleta habari za Dini / Imani mimi nimekwambia Historia...., Ukianza kuchanganya madesa nadhani utapotea Dini/ Imani sio Historia....Binadamu wa Kwanza hakutokea Tanzania.
Ni historia nyepesi tu ya kuwafanya muwe wazalendo.
Binadamu wa Kwanza ni Adam na Hawa.Wote hawa walitokea bara la Asia.
Tufanye na SSH ni mtu wa OmanKumbe homeboy ni homeboy tu. Kiongiozi wa Act wazalendo amefura na amekuwa kama mbogo. Hii ni baada ya video iliyosambaa mitandoni ikimuonyesha Makamu wa Rais wa sasa akicheza ngoma inayofanana na ya kirundi.
View attachment 1742127
Wewe unaleta habari za Dini / Imani mimi nimekwambia Historia...., Ukianza kuchanganya madesa nadhani utapotea Dini/ Imani sio Historia....
Kwani waha ni warundi, acha ubaguzi na ukabila ?Sijui nini kimetokea
Ila wamasai hawaukani umasai wao
Na wajaluo hawakani ujaluo wao.
Je Mpango anakiri yeye mhutu/mrundi aliezaliwa Tanzania??
Hoja ya Uraia ni yakisheria siyo yakisiasa. Kwa mujibu wa sheria ya Uraia wa Tanzania Sura 258 kifungu Cha 4 raia wa Tanzania kwa kuzaliwa ni mtu aliyezaliwa ndani ya Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania mmoja wa wazazi wake akiwa Raia wa Tanzania. Kwa kifungu hiki Dr. Mpango hana utata wa Uraia kwa sababu zifuatazo;
1 . Amezaliwa Tanzania
2. Wazazi wake wote wawili wakiwa Raia wa Tanzania
3. Hajawahi kuukana Utanzania nakujipatia uraia wa nchi nyingine.
Kujadili hoja hii kisiasa na kwa mihemko nikokosa ueledi nakurukia gari kwa mbele. Sheria hii sikuwahi kuisoma ila nimeikupa mtandaoni nakuisoma ipo straight forward tujikite kwenye maendeleo.
Tuache kutafuta popularity, Kama nikucheza ngoma ya warundi mbona wamasai wa Kenya na Tz wanacheza ngoma moja? Mbona wajaluo wa Tanzania na Kenya wanacheza ngoma moja? Mbona wamakonde wa Tz na Msumbiji wa tamaduni moja?
Tumwache mzee achape kazi.
Mkitaka kuandika record ya waha kutoa rais, uweni maza!!Kigoma mungu atupe nini jamani!! Toka uhuru kigoma tulikuwa hatujawahi kupata kiongozi wa ngazi za juu kama leo Dr philipo Mpango ni VP wenye kukelwa endeleeni kukelwa mpaka mpasuka.
Mikoa ya pembezoni tabu sana mara waitwe Wakenya ,Waganda ,Warundi etcWatu wa mikoa ya pembezoni huwa wananyanyapaliwa sana kwa kubambikiwa uraia wa nchi jirani.
Zitto yuko sahihi kukasirika
Kwani nani amehoji uraia wa Dr Mpango wa CCM, Chama Tawala hata kama amezaliwa na wazazi Warundi na kukulia nchini? Tumezoea ni Serikali ya Awamu ya Tano huwa inabambikizia uraia na kuwanyang'anya Passport Wapinzani wanaoikosoa ili wafukizwe nchini wasije wakaibua uraia wa Viongozi wao ambao uraia wao wenye mashaka dhahiri unazungumzwa mitaani. Yuko salama labda ahame Chama!Hoja ya Uraia ni yakisheria siyo yakisiasa. Kwa mujibu wa sheria ya Uraia wa Tanzania Sura 258 kifungu Cha 4 raia wa Tanzania kwa kuzaliwa ni mtu aliyezaliwa ndani ya Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania mmoja wa wazazi wake akiwa Raia wa Tanzania. Kwa kifungu hiki Dr. Mpango hana utata wa Uraia kwa sababu zifuatazo;
1 . Amezaliwa Tanzania
2. Wazazi wake wote wawili wakiwa Raia wa Tanzania
3. Hajawahi kuukana Utanzania nakujipatia uraia wa nchi nyingine.
Kujadili hoja hii kisiasa na kwa mihemko nikokosa ueledi nakurukia gari kwa mbele. Sheria hii sikuwahi kuisoma ila nimeikupa mtandaoni nakuisoma ipo straight forward tujikite kwenye maendeleo.
Tuache kutafuta popularity, Kama nikucheza ngoma ya warundi mbona wamasai wa Kenya na Tz wanacheza ngoma moja? Mbona wajaluo wa Tanzania na Kenya wanacheza ngoma moja? Mbona wamakonde wa Tz na Msumbiji wa tamaduni moja?
Tumwache mzee achape kazi.
Tatizo linaanzia kwa CCM na Mwendazake kuhoji uraia wa Nondo na Askofu Niwemugizi kuwa ni wahamiaji haramu.Kumbe homeboy ni homeboy tu. Kiongiozi wa Act wazalendo amefura na amekuwa kama mbogo. Hii ni baada ya video iliyosambaa mitandoni ikimuonyesha Makamu wa Rais wa sasa akicheza ngoma inayofanana na ya kirundi.
View attachment 1742127