CrapMkuu hebu weka hisia zako pembeni kaskilize nina hakika hujasikiliza alichosema ukimsikiliza utagundua ulikuwa umewaza tofauti. Hakuna sehemu aliposema bandari ijengwe kwa mkataba uliyopo maana hata yeye kasema hakuna aliyewahi kuona huo mkataba mbali na ikulu na angependa uwekwe wazi watu wajadili.
Hayo ya kusema meli kubwa ma bandari kuwa ya tatu kwa ukubwa duniani alionhelea presentation wao kama wabunge waliyooneshwa. Lakini mkataba serikali specifically ikulu mpaka leo haikuwahi kuuweka wazi.
Wanasiasa waongo usiwaamini. Bagamoyo haiwezi kuwa bandari ya 3 kwa ukubwa duniani.Shida mnaochangia hamkumsikiliza. Kasema waliona plan ya huo mradi lakini mkataba haukueahi kupelekwa bungeni wala hawakuwahi uona uko ikulu tu, kaomba badala yake uwekwe wazi watu wajue kilichokuwemo kuliko tu mtu kusema tu kwanini usiwekwe wazi...
Kwani bandari ya Dar es Salaam imekwama nini kupokea hayo mameli makubwa au ina maji kama ya MTO?KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kitu ambacho wabunge wengi hawakijui ni kwamba Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa makubwa kutoka huko duniani ambazo hatujawahi kuziona hapa Tanzania....
Anakuwa bepari pale anaponyonya nchi maskini kama Zambia kwa kutoa mikopo yenye masharti magumu.china ya mao ndo ilikua rafiki,lkn ya sasa waulize wakenyaNi muda gani China anakuwa rafiki na ni muda gani anakuwa bepari😅😅😅 kuna muda mara anasifiwa na kuna muda mara anapondwa.
Bora mkopo wa pesa kuliko masharti ya wao kukusanya mapato miaka wanayotaka.Hilo la kuchukua mkopo na kujenga wenyewe lina risk kubwa mno! Huwezi kurudisha investment ya dola bil 10 kwa miaka 8. Hilo linawezekana kwenye mitambo siyo miundo mbinu ya bandari. Tunaweza kuangalia best practice na kunegotiate.
Kuhusu kuendesha wenyewe,sina uhakika kama tunaweza! Bandari ya Dar ilitushinda kuendesha. Kwa sasa,wanaoendesha ni TICTS siyo serikali.
Mkuu BAK ,details za kutoka wapi!!?Details zinadai kwamba Wachina wangeleta management team yote kwa miaka 100 ijayo na pia mapato yote ya hiyo bandari kwa miaka 100 ni yao ili kurudisha mkopo wao, Tanzania haipati hata senti.
Bandari ya Tanzania au China.KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kitu ambacho wabunge wengi hawakijui ni kwamba Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa makubwa kutoka huko duniani ambazo hatujawahi kuziona hapa Tanzania...
Umeona huo mkataba au makubaliano au document yoyote halisi yenye hayo?Bado unakuwa mgumu kuelewa, miradi mingi muda wa kurudisha pesa ni miaka 8 au chini ya hapo...
AMkuu jamaa ni mnafiki na mchumia tumbo mkubwa. Details za mkataba huo na Wachina zikiwekwa hadharani Watanzania tutaukataa.
Ukubwa wa meli unatusaidia nini kama mnauza nchi yetu kwa vijirushwa uchwara? Toa faida za kisayansi badala ya upuuziKC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kitu ambacho wabunge wengi hawakijui ni kwamba Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa makubwa kutoka huko duniani ambazo hatujawahi kuziona hapa Tanzania...
Goodwill - Mkiu (Mkuranga).Uko sahihi, wachina watusaidie kwa kuwekeza kwenye viwanda. Bahati nzuri,wamewekeza kwenye viwanda vingi tu hivi karibuni. Naomba nivitaje ninavyo vifahamu....
Ni kwa sababu tenda ni deal making za viongozi wa Afrika kuibia waafrika wenzao pesa hivyo mchina hana hiyana maana nae anataka pesa sasa why aforce kujenga viwonder kama viongozi wa afrika wanataka kuneemesha mitumbo yao kupitia 50%? za rushwaChina sio mwekezaji tu ni mnyonyaji kama wanyonyaji rasilimali wengine.
Mwekezaji gani hajengi viwanda badala yake anachukua tu tenda za kujenga kila kitu hapa barani Africa na kuchota rasilimali zetu?