Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,723
- 2,358
Upo sahihi, ukosoaji ulikuwa personal, matusi mengi yalielekezwa kwa wasukuma, sukuma gang. Ilikuwa fashion hapa JF kutukana.Kipindi kile ilikuwa ni Agenda kabisa JPM achafuke ndo maana Dr Slaa alisema CHADEMA mpaka walikuwa wanajiteka nk!
Lililiwepp kundi ndani ya Upinzani na CCM halikumpenda JPM likishinikizwa na wanaharakati wa wa haki za biinadamu wakiongozwa na Bi Kijobi Simba na Olengurumwa!
Jiulize Wamasai wanavyoteseka saizi na issue ya Ngorongoro ingekuwa wakati wa JPM kilio kisingekuwa cha kawaida!
Sasa hawa hawa walishirikiana na MaCCM kumchafua JPM kwa kila tukio kuwa yeye na watu wake wanapanga mauaji leo baada ya JPM kutoka wamesalitiana!
Hata saizi huwezi kumsikia Mbowe au Lema au Mwanaharakati yeyote akimtaja Samia kama muhusika ila wanataja vyombo wa ulinzi na usalama ila kipindi cha JPM wimbo ulikuwa JPM dicteta Uchwara!
Huyu Zitto ndo alikuwa anamchukia JPM kila leo kutoa ukosoaji ila saizi huwezi kumsikia maana kuna kiongozi wa dini yake!
Tatizo la nchi hii ni Udini,Ukabila na ujinga na akitokea kiongozi mzuri kama sio dini au Kabila lako basi hafai!
Rais Samia hakuwahi kukemea huu ubaguzi,. JPM alikuwa mtemi ila alikuwa mzalendo. Huwezi kuwa na serikali kila mtu awe na umeme, maji, barabara, usalama, kupinga rushwa usipokuwa na uzalendo ndani yako.