Zitto Kabwe, haya yote wewe hayakuhusu? Naona umeamua kunyamaza; hutaki kumshika mkono kipofu?

Zitto Kabwe, haya yote wewe hayakuhusu? Naona umeamua kunyamaza; hutaki kumshika mkono kipofu?

Kwenye siasa Zitto anaendeshwa na mambo makuu mawili.
1. Pesa ( Je atafaidikaje kwa jambo flani)

2. Position (je anaweza pata nafasi gani ya kumpatia kipato au deals)...
Zitto ni state agent hivyo maslahi yake yanayegemea uwepo wa serikali ya ccm madarakani.
 
Hapana sio kosa nadhani atakuwa ka take a time kustudy tatizo Kwa kina na je unapochochea maamuz yatenguliwe effect yake ni nn katika udhaifu utaopatikana ataibuka na hoja ya msingi kukosoa
Kwani nilazima Yeye tu?!
 
[emoji1787]We jamaa unapenda sana mambo ya udini mada zako za kidinidini tu. kukosoa dini za wenzako tu. we jamaa utakuwa na shida kimalezi na kiutambuzi.


Uongo wa kitoto kabisa kusema kuwa MUME WA RAS ama DAS naye ni RAS ama DAS.
 
And most of fool do
images.jpg
 
Hili suala la katiba mpya mnapisema ni la watanzania mnakosea, wanaoteseka sana ni wanasiasa wa upinzani maana inawabana kwenye mambo fulani fulani
 
Zitto ni state agent hivyo maslahi yake yanayegemea uwepo wa serikali ya ccm madarakani.
Wazee wa CHADEMA mnapenda sana siasa za kulazimisha mambo...lini CHADEMA itaacha kuwa kikundi cha harakati na kuanza kuwa chama cha siasa?!! [emoji1787]
 
Kwenye siasa Zitto anaendeshwa na mambo makuu mawili.
1. Pesa ( Je atafaidikaje kwa jambo flani)

2. Position (je anaweza pata nafasi gani ya kumpatia kipato au deals )

3. Imani ( aliyeko madarakani ni Dini gani?)

Hayo ndiyo humwendesha Zitto Kabwe. Kama Dini yako ni tofauti na yake lakini unampatia pesa hana shida. Atakuwa anakushtua shtua kidogo ili uone umuhimu wa kuendelea kumpa pesa.

Kama ni Dini moja na hujambana kwenye issues zake basi hawezi kukukosoa sababu wote mna imani moja. We ni wa kwetu. Si vizuri kukukosoa.

Kama anajua kuna nafasi unaweza mteua anakuwa makini asikukwaze..mpaka apate uhakika kabisa kuwa hatopata kitu hapo ndo anakuwa na uchungu sana.

1. Kuna suala la Mafuta kuongezwa kodi. Zitto amenyamaza. Anaona ni sawa tu yeye hajaguswa, yeye hajajua hatma yake...
Pamoja na hayo yoote zito tanga seif afariki nae ni kama upepo umepuyanga kule mwanzo alitembelea sana nyota ya seif
 
Zitto kwanza ndie mkuu wa wilaya ya Handeni. Maana mke wake ndio mkuu wa wilaya so by default yeye pia ni mkuu wa wilaya.

Jambo la pili, Zitto hataki kumkosoa muislamu mvaa ushungi(sijui kama nitaeleweka)...
Make wa zitto ni mtu wa ugaibuni Nini? Lakin kama ni mtanzania nadhani hakuna shida hapo
 
[emoji1787]We jamaa unapenda sana mambo ya udini....mada zako za kidinidini tu....kukosoa dini za wenzako tu....we jamaa utakuwa na shida kimalezi na kiutambuzi.....


Uongo wa kitoto kabisa kusema kuwa MUME WA RAS ama DAS naye ni RAS ama DAS.....
Wanaibua mambo ambayo yanaleta mgawanyiko swala la udini ukabila halipo Tanzania hii
 
Back
Top Bottom