Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Wanaibua mambo ambayo yanaleta mgawanyiko swala la udini ukabila halipo Tanzania hii
Ninyi CHADEMA hamwezi kupambana na huyo mwenzenu kwa hoja za kisiasa zaidi ya kutumia udini....dini hizi za kuletwa na weupe?!!😲Kweli zitto yupo kimya sana jamaa udini unamtesa sana Rais muislam na Makam wa Rais anatoka kwao kigoma hapo hawezi kusema.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Kigezo cha upinzani wa kweli ni kupata tabu?Zitto ni muigizaji.... wapinzani wa kweli tuliwajua miaka ya Jiwe. Katika kumbukumbu zako, lini umeona Zitto akipata tabu katika siasa zake kama wenzake walivyopata. Just think about it.
Una kipaji kizuri sana cha kusoma watu. Kwa kiasi kikubwa nakubaliana na analysis yakoKwenye siasa Zitto anaendeshwa na mambo makuu mawili.
1. Pesa ( Je atafaidikaje kwa jambo flani)
2. Position (je anaweza pata nafasi gani ya kumpatia kipato au deals )
3. Imani ( aliyeko madarakani ni Dini gani?)
Hayo ndiyo humwendesha Zitto Kabwe. Kama Dini yako ni tofauti na yake lakini unampatia pesa hana shida. Atakuwa anakushtua shtua kidogo ili uone umuhimu wa kuendelea kumpa pesa.
Kama ni Dini moja na hujambana kwenye issues zake basi hawezi kukukosoa sababu wote mna imani moja. We ni wa kwetu. Si vizuri kukukosoa.
Kama anajua kuna nafasi unaweza mteua anakuwa makini asikukwaze..mpaka apate uhakika kabisa kuwa hatopata kitu hapo ndo anakuwa na uchungu sana.
1. Kuna suala la Mafuta kuongezwa kodi. Zitto amenyamaza. Anaona ni sawa tu yeye hajaguswa, yeye hajajua hatma yake.
2. Katiba mpya takwa la Watanzania kupitia tume ya Warioba. Zitto kimya. Halimhusu.
3. Kodi ya tozo ya miamala na kulipia line za simu. Zitto kimya sababu yeye alishatulizwa asionekane anamchafua Rais wa kwetu.
Tunamfahamu zitto ni mnafiki ,mjanja mjanja kisiasa kujipatika kipato. Hana mapenzi na Watanzania.
Hujasoma na kuelewa bandiko.Zitto aligombea ubunge swali linakuja je alipata huo ubunge kama ni kibaraka c angepewa hujuma kama walifanyiwa ni wote sio wanambowe peke yao
Daaah kwani ni kiongozi pekee wa chama Cha siasa Alie kimya wale wa cuf na wengineo hawasemwi ila zitto au wamesemea hayo mamboKweli zitto yupo kimya sana jamaa udini unamtesa sana Rais muislam na Makam wa Rais anatoka kwao kigoma hapo hawezi kusema.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
....hicho ni kipimo cha siasa koko za CHADEMA.....🤣Kigezo cha upinzani wa kweli ni kupata tabu?
Nionyeshe marafiki/maadui zako, I will tell you who you areKigezo cha upinzani wa kweli ni kupata tabu?
Hivi wewe huamini kuwa huyo zitto kabwe ni mdini? Amejaa unafiki tu kila alilofanya Magu lilikuwa baya kwake ila kaingia mvaa madera kimya.🤣We jamaa unapenda sana mambo ya udini....mada zako za kidinidini tu....kukosoa dini za wenzako tu....we jamaa utakuwa na shida kimalezi na kiutambuzi.....
Uongo wa kitoto kabisa kusema kuwa MUME WA RAS ama DAS naye ni RAS ama DAS.....
Zitto alipitiwa na fagio la "Ukitangaza mpinzani ukurugenzi kwisha"Zitto aligombea ubunge swali linakuja je alipata huo ubunge kama ni kibaraka c angepewa hujuma kama walifanyiwa ni wote sio wanambowe peke yao
Tunasemea ya Zitto sio CHADEMA mjombaaa vipiNinyi CHADEMA hamwezi kupambana na huyo mwenzenu kwa hoja za kisiasa zaidi ya kutumia udini....dini hizi za kuletwa na weupe?!![emoji44]
watanzania wapo nyuma.Of course serikali wamekosea kwenye tozo lakin swala la katiba ni nani aliepo nyuma
Misemo ambao haijawahi nitokea.Nionyeshe marafiki/maadui zako, I will tell you who you are
Hili suala la katiba mpya mnapisema ni la watanzania mnakosea, wanaoteseka sana ni wanasiasa wa upinzani maana inawabana kwenye mambo fulani fulani
Kama uko na marafiki majambazi na wauza madawa na unajua, kuna mawili; na wewe ni mmoja wao au unakubaliana na hizo biashara.Misemo ambao haijawahi nitokea.
Pamoja na kuwa na marafiki wenye tabia ngumu.