Zitto Kabwe, haya yote wewe hayakuhusu? Naona umeamua kunyamaza; hutaki kumshika mkono kipofu?

Ninachokumbuka tu ni pale mlipotangaza kuwa ni zamu ya WALUTHERAN kuongoza nchi.

Ndipo nilipotambua aliyepata na anaye hitaji hawana utofauti.

Ni vile tu Mungu yu pamoja nasi walau.
 
Kweli zitto yupo kimya sana jamaa udini unamtesa sana Rais muislam na Makam wa Rais anatoka kwao kigoma hapo hawezi kusema.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Ninyi CHADEMA hamwezi kupambana na huyo mwenzenu kwa hoja za kisiasa zaidi ya kutumia udini....dini hizi za kuletwa na weupe?!!😲
 
Zitto ni muigizaji.... wapinzani wa kweli tuliwajua miaka ya Jiwe. Katika kumbukumbu zako, lini umeona Zitto akipata tabu katika siasa zake kama wenzake walivyopata. Just think about it.
Kigezo cha upinzani wa kweli ni kupata tabu?
 
Una kipaji kizuri sana cha kusoma watu. Kwa kiasi kikubwa nakubaliana na analysis yako
 
Kweli zitto yupo kimya sana jamaa udini unamtesa sana Rais muislam na Makam wa Rais anatoka kwao kigoma hapo hawezi kusema.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Daaah kwani ni kiongozi pekee wa chama Cha siasa Alie kimya wale wa cuf na wengineo hawasemwi ila zitto au wamesemea hayo mambo
 
🤣We jamaa unapenda sana mambo ya udini....mada zako za kidinidini tu....kukosoa dini za wenzako tu....we jamaa utakuwa na shida kimalezi na kiutambuzi.....

Uongo wa kitoto kabisa kusema kuwa MUME WA RAS ama DAS naye ni RAS ama DAS.....
Hivi wewe huamini kuwa huyo zitto kabwe ni mdini? Amejaa unafiki tu kila alilofanya Magu lilikuwa baya kwake ila kaingia mvaa madera kimya.
 
Zitto aligombea ubunge swali linakuja je alipata huo ubunge kama ni kibaraka c angepewa hujuma kama walifanyiwa ni wote sio wanambowe peke yao
Zitto alipitiwa na fagio la "Ukitangaza mpinzani ukurugenzi kwisha"
 
Hili suala la katiba mpya mnapisema ni la watanzania mnakosea, wanaoteseka sana ni wanasiasa wa upinzani maana inawabana kwenye mambo fulani fulani

Na Bunge linapokuwa muhuri tu kiasi cha kupitisha mambo ya ovyo ovyo yanayoumiza wananchi unafikiri tatizo kubwa ni nini?
 
Misemo ambao haijawahi nitokea.

Pamoja na kuwa na marafiki wenye tabia ngumu.
Kama uko na marafiki majambazi na wauza madawa na unajua, kuna mawili; na wewe ni mmoja wao au unakubaliana na hizo biashara.
 
Akikaa kimya mnainua midomo kiabaraka, akisema mnainua midomo kibaraka.

Mleta mada wivu unakusumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…