Zitto Kabwe, Ili ashinde urais mwaka 2030 lazima ashinde mikoa zaidi ya mitano

Zitto Kabwe, Ili ashinde urais mwaka 2030 lazima ashinde mikoa zaidi ya mitano

Watu kumi wanamuamini mmoja na kumkabidhi rungu ili awalinde. Mwishowe wakagundua ni kichaa, kumyang'anya rungu ni kazi. Tuwe makini tusimpe rungu kichaa.
Utatumia viashiria gani - Lissu alipewa dhamana hiyo pmj na kuwa ni mtu katili
 
Hata Kama ni wewe mkuu, watu wameandika waraka Kama ule na wanakusema vile utavumilia?. Halafu wote waliokuwa kundi la Zitto wengi walirudi CCM au kufa kisiasa. ACT ya Zitto kaifufua Maalim ilikuwa imekufa.
Hata kumpata Maalim ni mbinu na mikakati ya ACT yaani Zitto. Sasa jiulize why Maalim hakwenda NLD, NCCR, DP nk?
 
Zitto angebaki Chadema angekua ideal candidate 2025. Unfortunately huko alipo hata akigombea hawezi fikisha kura laki 2 nchi nzima. Unless wakubaliane Chadema wasiweke mgombea Urais otherwise atakua kama Membe tu.
Asingebaki ktk kundi la wahuni, yaani ukiwa mtu mpenda haki lzm uwe CCM au ACT. Lkn CDM ni kutu ya chuma
 
Asingebaki ktk kundi la wahuni, yaani ukiwa mtu mpenda haki lzm uwe CCM au ACT. Lkn CDM ni kutu ya chuma
Kundi la wahuni? Mbona wakijua CCM mnawapa uwaziri? Rejea Gekul, Mollel, Waitara, Silinde, Shonza, mkumbo, Katambi n.k

We endelea kubwabwaja Mitandaoni wakati mwenyekiti wako anatambua uwezo wa Mbowe kuibua viongozi
 
Hata kumpata Maalim ni mbinu na mikakati ya ACT yaani Zitto. Sasa jiulize why Maalim hakwenda NLD, NCCR, DP nk?
Mbinu wapi, Bwege alisema walienda ACT sababu ni chama kipya so "samaki mkunje angali mbichi". Ila hakuna Cha mbinu otherwise kina kitila na mghwira wasingekimbia.
 
Kigoma kwenyewe hata akigombea udiwani hapati,sembuse Uraisi?
 
Zitto angebaki Chadema angekua ideal candidate 2025. Unfortunately huko alipo hata akigombea hawezi fikisha kura laki 2 nchi nzima. Unless wakubaliane Chadema wasiweke mgombea Urais otherwise atakua kama Membe tu.
Tamaa mbaya sana ilimfanya aonekane mwanasiasa wa hovyo hovyo tu asiye na madhara kwa lolote
 
Yeye agombee tu kuweka historia kwamba uchaguzi wa mwaka flani na ZZK naye aligombea. Kugombea na kushinda ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Kwa Sasa appeal ya Zitto imeshuka Sana. Inabidi Kama anataka urais ajiboost Sana. Pia aingie coaliations na chadema, atafika mbali.
Kwa sasa Zito anazidiwa mvuto wa kisiasa na Heche.

Ndiyo maana hata shughuli za kisiasa anafanyia kwenye maeneo yaliyokuwa ngome ya CUF tu au Tunduru kwa katibu mkuu.
 
Back
Top Bottom