Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
- Thread starter
-
- #21
Utatumia viashiria gani - Lissu alipewa dhamana hiyo pmj na kuwa ni mtu katiliWatu kumi wanamuamini mmoja na kumkabidhi rungu ili awalinde. Mwishowe wakagundua ni kichaa, kumyang'anya rungu ni kazi. Tuwe makini tusimpe rungu kichaa.
Hata kumpata Maalim ni mbinu na mikakati ya ACT yaani Zitto. Sasa jiulize why Maalim hakwenda NLD, NCCR, DP nk?Hata Kama ni wewe mkuu, watu wameandika waraka Kama ule na wanakusema vile utavumilia?. Halafu wote waliokuwa kundi la Zitto wengi walirudi CCM au kufa kisiasa. ACT ya Zitto kaifufua Maalim ilikuwa imekufa.
Asingebaki ktk kundi la wahuni, yaani ukiwa mtu mpenda haki lzm uwe CCM au ACT. Lkn CDM ni kutu ya chumaZitto angebaki Chadema angekua ideal candidate 2025. Unfortunately huko alipo hata akigombea hawezi fikisha kura laki 2 nchi nzima. Unless wakubaliane Chadema wasiweke mgombea Urais otherwise atakua kama Membe tu.
Kundi la wahuni? Mbona wakijua CCM mnawapa uwaziri? Rejea Gekul, Mollel, Waitara, Silinde, Shonza, mkumbo, Katambi n.kAsingebaki ktk kundi la wahuni, yaani ukiwa mtu mpenda haki lzm uwe CCM au ACT. Lkn CDM ni kutu ya chuma
Mbinu wapi, Bwege alisema walienda ACT sababu ni chama kipya so "samaki mkunje angali mbichi". Ila hakuna Cha mbinu otherwise kina kitila na mghwira wasingekimbia.Hata kumpata Maalim ni mbinu na mikakati ya ACT yaani Zitto. Sasa jiulize why Maalim hakwenda NLD, NCCR, DP nk?
Mbeya makao makuu ya Nyanda za Juu Kusini.
Umeongea sahihi kabisaZitto angebaki Chadema angekua ideal candidate 2025. Unfortunately huko alipo hata akigombea hawezi fikisha kura laki 2 nchi nzima. Unless wakubaliane Chadema wasiweke mgombea Urais otherwise atakua kama Membe tu.
Tamaa mbaya sana ilimfanya aonekane mwanasiasa wa hovyo hovyo tu asiye na madhara kwa loloteZitto angebaki Chadema angekua ideal candidate 2025. Unfortunately huko alipo hata akigombea hawezi fikisha kura laki 2 nchi nzima. Unless wakubaliane Chadema wasiweke mgombea Urais otherwise atakua kama Membe tu.
Figisu zipi ?Chadema walimfanyia figisu lakini Mungu yupo pamoja naye.
Kwa sasa Zito anazidiwa mvuto wa kisiasa na Heche.Kwa Sasa appeal ya Zitto imeshuka Sana. Inabidi Kama anataka urais ajiboost Sana. Pia aingie coaliations na chadema, atafika mbali.
Utani huoKigoma kwenyewe hata akigombea udiwani hapati,sembuse Uraisi?