Zitto Kabwe: IPTL ni dude linalofufuliwa kila Awamu

Zitto huna tena credibility yoyote ya kuongelea au kukemeq ufisadi/ubadhilifu wowote wa mali za umma, ulishapoteza stahiki hiyo tangu uanze kuwa chawa wa awamu ya sita.

Zitto wa kumsikiliza ni yule aliyekuwa Chadema na sio huyu wa sasa.
Huyu jamaa huwa anasikika pale tu anapokuwa na njaa. Akishatupiwa pande la nyama, hupotelea kusikojulikana.
 
We huna akili kumbe! CAG anakagua mnayoyafanya haibui chochote yeye anakuja kuomba kuona unachokifanya sasa kama anakuta unasema unadaiwa na yeye anaandika hivyo ulivyosema. Uliza kabla hujachangia utumbo wako hapa
Mbona mwaka jana , mwaka juzi huyu CAG hakutaja hilo deni la IPTL kwenye ripoti zake, mbona CAG aliyepita pia hakutaja hilo deni la IPTL kwenye kaguzi zake

je hilo deni la iptl ni jipya limejulikana mwaka huu?

Huyu CAG kasetiwa na watu wenye IPTL makusudi hili wapate sababu ya kupiga hela
 
Wewe unashida mahali siwezi kufanya mjadala nawewe.
Kawaida yangu mimi ninaelezaga hapa mapema sana kabla ya mambo kuwa mabaya mtakuja kunikumbuka kuwa niliwaambieni ...huo mfumo ndiyo umeleta hadi mitume feki na matapeli kwenye ukristo ili kuwapumbaza wakristo wakati huo kikundi kiovu cha waislamu wachache kikizidi kujichimbia serikalini...mbona hadi video zipo za huo mfumo na maongezi yao ya siri yapo.

TANZANIA KWA HAPA TULIPO FIKISHWA NA WAHUNI WANAO TUMIA UISLAMU KUFANIKISHA UHUNI WAO KWA TAIFA TUNAITAJI MTU MKRISTO MWENYE MSIMAMO MKALI KAMA MTIKILA ATAKAYE KOMESHA KABISA UPUMBAVU WA HAWA WATU BILA YA KUPEPESA MACHO
 
We huna akili kumbe! CAG anakagua mnayoyafanya haibui chochote yeye anakuja kuomba kuona unachokifanya sasa kama anakuta unasema unadaiwa na yeye anaandika hivyo ulivyosema. Uliza kabla hujachangia utumbo wako hapa
Mkuu una hakika hivi ndo kazi za ukaguzi hufanyika??? Unajua hata maana ya Auditing??
 
Majizi yameanza kuwa too comfortable hawamu hii, yaani hawana hata chembe ya soni.

Ingelikuwa Magufuli raisi Kichele foul ya IPTL anayotaka kuiibua kwa maslahi yake, si ajabu sasa hivi habari ingekuwa raisi atengua nafasi ya CAG (to hell katiba inasema nini).

..pesa watakazolipwa IPTL zinaweza kusaidia kampeni za CCM, ingawa sioni kwanini wanahitaji kufanya kampeni.
 
We huna akili kumbe! CAG anakagua mnayoyafanya haibui chochote yeye anakuja kuomba kuona unachokifanya sasa kama anakuta unasema unadaiwa na yeye anaandika hivyo ulivyosema. Uliza kabla hujachangia utumbo wako hapa
Sasa mbona huyo anaesema anadaiwa kamwambia hilo deni mahakama ilishaamua (umesikiliza hata clip ya dakika mbili iliyowekwa humu JF).

Kwa akili zako mtu anaekwambia deni ambalo mahakama limeamua, litakuwa bado kwenye orodha yake ya madeni?

Hata hao TRA watakubali uweke deni ambalo mahakama ilishaamua kwenye hesabu zako, halafu ulitumie kama debt interest kukwepa kodi.

Zitto atakuwa keshaongea na rafiki yake Makamba na Chande kujiridhisha zaidi hilo deni halipo kwenye vitabu vya TANESCO na ata uongozi wa leo hawalitambui.
 
..pesa watakazolipwa IPTL zinaweza kusaidia kampeni za CCM, ingawa sioni kwanini wanahitaji kufanya kampeni.
Wana mbinu nyingi za kukwapua pesa za serikali na vitega uchumi vyao kibao kupata hela za campaign.

Ni ufisadi tu, tena wa kishamba mno.
 
Majizi yameanza kuwa too comfortable hawamu hii, yaani hawana hata chembe ya soni.

Ingelikuwa Magufuli raisi Kichele foul ya IPTL anayotaka kuiibua kwa maslahi yake, si ajabu sasa hivi habari ingekuwa raisi atengua nafasi ya CAG (to hell katiba inasema nini).
Maslahi gani kwa CAG? Yeye ameibua uhalisia mnataka kusema ana maslahi? Solve the problem acheni tabia za kuzibana midomo. Huyo JPM wako aliambiwa akaguliwe TGFA akakataa, same to kukagua manunuzi ya SGR bwawa la Nyerere ila CAG akazuiwa. na in fact alipunguza bajeti ya NAO kutoka 80 B hadi 40 B.

Naye yale yale tu msimkuze hapa
 
Embu baki kwenye mada husika hayo mengine unaweza yaanzisha mada yake.

Source ya hili deni la IPTL kwa TANESCO, CAG kalionea wapi iwapo wahusika awalitambui kwenye vitabu vyao.
 
Zitto huna tena credibility yoyote ya kuongelea au kukemeq ufisadi/ubadhilifu wowote wa mali za umma, ulishapoteza stahiki hiyo tangu uanze kuwa chawa wa awamu ya sita.

Zitto wa kumsikiliza ni yule aliyekuwa Chadema na sio huyu wa sasa.
Tunajadili hoja ya IPTL na mabilioni ya kodi za Watanzania,hayo mambo ya credibility ya Zitto anzisha uzi.
 
Sasa mbona huyo anaesema anadaiwa kamwambia hilo deni mahakama ilishaamua (umesikiliza hata clip ya dakika mbili iliyowekwa humu JF).

Kwa akili zako mtu anaekwambia deni ambalo mahakama limeamua, litakuwa bado kwenye orodha yake ya madeni?

Hata hao TRA watakubali uweke deni ambalo mahakama ilishaamua kwenye hesabu zako, halafu ulitumie kama debt interest kukwepa kodi.

Zitto atakuwa keshaongea na rafiki yake Makamba na Chande kujiridhisha zaidi hilo deni halipo kwenye vitabu vya TANESCO na ata uongozi wa leo hawalitambui.
CCM na baadhi ya viongozi wakubwa wa serikalini wanataka kupiga hela kwa njia ya kulipa hilo deni.
 
IMG_7756.jpeg

Achilia mbali hilo deni la IPTL, kipindi cha Makamba na Chande, walilalamika madeni ya TANESCO yanawanyima cashflow ya kuboresha shirika.

Bi Tozo akamwambia Mwigulu hayachukue madeni yao yalipwe na serikali.

Ukiangalia hiyo financial statement yao utaona ‘non current liabilities’ (madeni ya muda mrefu), hakuna kitu. Kwa sababu raisi Samia yote aliyafuta na kupeleka hazina.

Sasa hilo deni la IPTL huyu Kichere kalitoa wapi.

Ni rahisi sana kuongoza nchi za Africa.
 
Back
Top Bottom