Zitto Kabwe: IPTL ni dude linalofufuliwa kila Awamu

View attachment 3285948

Achilia mbali hilo deni la IPTL, kipindi cha Makamba na Chande, walilalamika madeni ya TANESCO yanawanyima cashflow ya kuboresha shirika.

Bi Tozo akamwambia Mwigulu hayachukue madeni yao yalipwe na serikali.

Ukiangalia hiyo financial statement yao utaona ‘non current liabilities’ (madeni ya muda mrefu), hakuna kitu. Kwa sababu raisi Samia yote aliyafuta na kupeleka hazina.

Sasa hilo deni la IPTL huyu Kichere kalitoa wapi.

Ni rahisi sana kuongoza nchi za Africa.
Akhsante kwa hiyo attachment.
CCM hawashindi kupika chochote ilimradi lengo lao litimie.

Miaka ya nyuma kulikuwa na mkaguzi wa mahesabu wa CCM - HQ akiitwa Kija,aliniambia CCM ni bakaa,limechukuliwa Land Cruiser "kilimo kwanza" jipya, likawekwa milango mikuu mikuu, windshield kuu kuu na kuipatisha ajali, kisha mtu akainunua kwa milioni 3.
 
Ripoti umeisoma? Au headline tu? Kwamba nani kasema hadaiwi?
Soma post #49 nimekuwekea extract ya financial statement ya TANESCO na link kukuonyesha achana na hilo deni la IPTL tu serikali ilichukua madeni yote ya TANESCO na kuyapeleka serikali kuu.

Ndio maana ukisoma hiyo statement ya TANESCO hapo non-current liabilities inakuonyesha hakuna kitu.

Sasa ili deni Kichere yeye kalitoa wapi.
 
..kama CCM wanapinga hilo deni wajitokeze, waseme hawalitambui.
Ya CCM tuyaweke kando kwanza issue ni TANESCO.

TANESCO washamwbia CAG hilo deni wao hawalitambui kwa sababu mahakama ilishaamua pamoja na hela zilizokuwa kwenye escrow account apewe nani.

Huyu CAG hili deni tena yeye kaliona wapi katika ukaguzi wake iwapo halipo kwenye vitabu vya TANESCO
 
View attachment 3285948

Achilia mbali hilo deni la IPTL, kipindi cha Makamba na Chande, walilalamika madeni ya TANESCO yanawanyima cashflow ya kuboresha shirika.

Bi Tozo akamwambia Mwigulu hayachukue madeni yao yalipwe na serikali.

Ukiangalia hiyo financial statement yao utaona ‘non current liabilities’ (madeni ya muda mrefu), hakuna kitu. Kwa sababu raisi Samia yote aliyafuta na kupeleka hazina.

Sasa hilo deni la IPTL huyu Kichere kalitoa wapi.

Ni rahisi sana kuongoza nchi za Africa.
Subiri usome ripoti punguza mihemko, hata hujui katumia rejea gani unalazimisha na hiyo balance sheet ya 2022 mind you amekagua hesabu za 2023/24!!
 
Akhsante kwa hiyo attachment.
CCM hawashindi kupika chochote ilimradi lengo lao litimie.

Miaka ya nyuma kulikuwa na mkaguzi wa mahesabu wa CCM - HQ akiitwa Kija,aliniambia CCM ni bakaa,limechukuliwa Land Cruiser "kilimo kwanza" jipya, likawekwa milango mikuu mikuu, windshield kuu kuu na kuipatisha ajali, kisha mtu akainunua kwa milioni 3.
Sometimes sisi wenyewe tuna complicate mambo ndio maana hawa watu kuiba kwao inakuwa rahisi.

Hili swala ni jepesi sana

Deni halipo kwenye vitabu vya TANESCO

Mahakama ilishaamua, hela apewe nani na wajibu wake ni upi akitokea mdeni mwingine.

CAG anakagua vitabu vya TANESCO (ambapo hilo deni la IPTL halipo kwenye orodha) sasa yeye kalitoa wapi.
 
Soma post #49 nimekuwekea extract ya financial statement ya TANESCO na link kukuonyesha achana na hilo deni la IPTL tu serikali ilichukua madeni yote ya TANESCO na kuyapeleka serikali kuu.

Ndio maana ukisoma hiyo statement ya TANESCO hapo non-current liabilities inakuonyesha hakuna kitu.

Sasa ili deni Kichere yeye kalitoa wapi.
Ndio usubiri ripoti iwekwe website ujue kalitoa wapi. Yaani unataka usome abstract bila kujua methodology na findings in details? Usilazimishe income statement ya 2023 ndio iwe ya 2024!! Tena una rely kwa kauli ya samia sio actual books!!
 
Aliyeisoma IPTL aulizwe ameitoa wapi kama imefutwa hata Brela? Anataka kumlipa nani hela hizi za umma?
 
Subiri usome ripoti punguza mihemko, hata hujui katumia rejea gani unalazimisha na hiyo balance sheet ya 2022 mind you amekagua hesabu za 2023/24!!
Sasa kwenye balance sheet deni la nyuma linaweza kukesakana? Unafahamu hata maana ya Non Current Liabiliti kwenye financial statement ni madeni gani yanawekwa hapo.

Au unataka kusema IPTL deni lao ni jipya limetokea 2023-24?
 
Ndio usubiri ripoti iwekwe website ujue kalitoa wapi. Yaani unataka usome abstract bila kujua methodology na findings in details? Usilazimishe income statement ya 2023 ndio iwe ya 2024!! Tena una rely kwa kauli ya samia sio actual books!!
Auditing ya shirika unakugua vitu vilivyopo ndani ya vitabu vyao, sio hadithi au mambo unayotaka wewe.

Deni halipo kwenye kitabu cha TANESCO na wenyewe wamemueleza mahakama hilo deni ilishaamua; sasa sijui alikuwa kalitoa wapi.

Hivi unaelewa hata audit ya hesabu za shirika zinavyofanywa au unabisha tu ilimradi.
 
Sasa kwenye balance sheet deni la nyuma linaweza kukesakana? Unafahamu hata maana ya Non Current Liabiliti kwenye financial statement ni madeni gani yanawekwa hapo.

Au unataka kusema IPTL deni lao ni jipya limetokea 2023-24?
Dispute resolution zote zilikua zimeisha? Wewe umedai kauli ya Samia tu ndio ilihamusha deni unaweza verify kuwa 2024 hilo deni lilikuwa halijarudishwa au hakukuwa na award ya settlement?

Tuachane na 2022/23, maadam haujaweka balance sheet ya 2024 basi mengine yote yanakua speculation tu sio fact. Na CAG alishauri deni lihakikiwe sasa kosa lake ni lipi?
 
Auditing ya shirika unakugua vitu vilivyopo ndani ya vitabu vyao, sio hadithi au mambo unayotaka wewe.

Deni halipo kwenye kitabu cha TANESCO na wenyewe wamemueleza mahakama hilo deni ilishaamua; sasa sijui alikuwa kalitoa wapi.

Hivi unaelewa hata audit ya hesabu za shirika zinavyofanywa au unabisha tu ilimradi.
Ndio nakuuliza umesoma ripoti ya CAG ujue amelitoa wapi deni au unaleta ujuaji tu kwa kutumia balance sheet ya mwaka juzi na sio mwaka jana?

Acha speculation, unaposema kwenye vitabu halipo basi tuwekee hapa balance sheet ya 2024 ili tukuamini halipo!!

Acha speculation subiri facts ndio ufanye dispute
 
Kuna watu nchi hii bila kufa IPTL itaendelea kuepo sana Magufuli ilibidi awamalize wote wahusiki wa IPTL kwa riasasi wengine wawekwe kizuizini yule singasinga ni Bosheni tu
Kama aliwamaliza, mbona issue bado inazagaa hii?
 
Dispute resolution zote zilikua zimeisha? Wewe umedai kauli ya Samia tu ndio ilihamusha deni unaweza verify kuwa 2024 hilo deni lilikuwa halijarudishwa au hakukuwa na award ya settlement?

Tuachane na 2022/23, maadam haujaweka balance sheet ya 2024 basi mengine yote yanakua speculation tu sio fact. Na CAG alishauri deni lihakikiwe sasa kosa lake ni lipi?
Tukisema tuchukue hiyo logic yako deni ni jipya ina maana interest ya deni ni over 100% ndani ya mwaka mmoja?

Unashindwa hata kuelewa simple concept, madeni ya muda mrefu ya shirika yanawekwa kwenye N.L na TANESCO watakuwa na orodha.

Madeni yao ya muda mrefu serikali iliyachukua yote, sasa hilo deni la IPTL atakama lingekuweko limerudi vipi tena TANESCO.

Mbaya zaidi TANESCO wenyewe washamwambia CAG kwa maneno yake mwenyewe jana wao hawalitambui.

Sasa na CAG labda ueleze hilo deni umeliona kwenye vitabu gani, kama kwenye vitabu vya TANESCO halipo.
 
Ndio nakuuliza umesoma ripoti ya CAG ujue amelitoa wapi deni au unaleta ujuaji tu kwa kutumia balance sheet ya mwaka juzi na sio mwaka jana?

Acha speculation, unaposema kwenye vitabu halipo basi tuwekee hapa balance sheet ya 2024 ili tukuamini halipo!!

Acha speculation subiri facts ndio ufanye dispute
Kuona logic ya swali langu, inabidi kwanza ukajifunze ni vitu gani vinawekwa hapo kwenye non current liabilities, vinginevyo tutakuwa tunazunguka tu.

Shirika halina deni kwenye vitabu vyake, wewe unazungumza IPTL ni kama mkataba wa 2023-2024
 
Nakuelewa
 
Back
Top Bottom