Huyu jamaa huwa anasikika pale tu anapokuwa na njaa. Akishatupiwa pande la nyama, hupotelea kusikojulikana.Zitto huna tena credibility yoyote ya kuongelea au kukemeq ufisadi/ubadhilifu wowote wa mali za umma, ulishapoteza stahiki hiyo tangu uanze kuwa chawa wa awamu ya sita.
Zitto wa kumsikiliza ni yule aliyekuwa Chadema na sio huyu wa sasa.
Mbona mwaka jana , mwaka juzi huyu CAG hakutaja hilo deni la IPTL kwenye ripoti zake, mbona CAG aliyepita pia hakutaja hilo deni la IPTL kwenye kaguzi zakeWe huna akili kumbe! CAG anakagua mnayoyafanya haibui chochote yeye anakuja kuomba kuona unachokifanya sasa kama anakuta unasema unadaiwa na yeye anaandika hivyo ulivyosema. Uliza kabla hujachangia utumbo wako hapa
Ni kakijitabu tukatiba
Kawaida yangu mimi ninaelezaga hapa mapema sana kabla ya mambo kuwa mabaya mtakuja kunikumbuka kuwa niliwaambieni ...huo mfumo ndiyo umeleta hadi mitume feki na matapeli kwenye ukristo ili kuwapumbaza wakristo wakati huo kikundi kiovu cha waislamu wachache kikizidi kujichimbia serikalini...mbona hadi video zipo za huo mfumo na maongezi yao ya siri yapo.Wewe unashida mahali siwezi kufanya mjadala nawewe.
Hii Nchi haina wanaume, ina wanawake. JPM alikua mwanaume kweli
Soma, Pia: CAG: TANESCO wanadaiwa Tsh. Bilioni 238 na IPTL – Deni la Tsh. Bilioni 111, Tsh. Riba Bilioni 127
IPTL dude linalofufuliwa kila Awamu. Mahakama ilishamaliza suala hili tena mahakama ya rufaa. Kampuni haipaswi hata kuwepo kwenye rejesta ya BRELA. Yeyote anayethubutu kurudisha mzimu huu atazikwa nao
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Mwanasiasa
Machi 27, 2025
Naishi nyumbani kwangu sijawahi kuishi CCM!Hivi wewe ulihama ccm?
Kipara kwani umehama Chama?Inasikitisha sana halafu viongozi wa CCM wanapanda majukwaani kujifanya wana uchungu na nchii wezi wakubwa!
Mkuu una hakika hivi ndo kazi za ukaguzi hufanyika??? Unajua hata maana ya Auditing??We huna akili kumbe! CAG anakagua mnayoyafanya haibui chochote yeye anakuja kuomba kuona unachokifanya sasa kama anakuta unasema unadaiwa na yeye anaandika hivyo ulivyosema. Uliza kabla hujachangia utumbo wako hapa
Tungekua na uchungu na nchi yetu , bunge la dharula lingeitishwa Jumatatu, lkn Du ? hhi report nadhani itajadiliwa na bunge lijalo na wahusika wanaenedlea na Iyena Iyena,Siku ya uchaguzi nikiinua mguu wangu kwenda kupiga kura naomba breki ya kwamza iwe ni Mirembe Hospital naweza kuwa sio mimi
Majizi yameanza kuwa too comfortable hawamu hii, yaani hawana hata chembe ya soni.
Ingelikuwa Magufuli raisi Kichele foul ya IPTL anayotaka kuiibua kwa maslahi yake, si ajabu sasa hivi habari ingekuwa raisi atengua nafasi ya CAG (to hell katiba inasema nini).
Mi ntapiga usingizi huo,sitoki mpaka kesho yakeSiku ya uchaguzi nikiinua mguu wangu kwenda kupiga kura naomba breki ya kwamza iwe ni Mirembe Hospital naweza kuwa sio mimi
Sasa mbona huyo anaesema anadaiwa kamwambia hilo deni mahakama ilishaamua (umesikiliza hata clip ya dakika mbili iliyowekwa humu JF).We huna akili kumbe! CAG anakagua mnayoyafanya haibui chochote yeye anakuja kuomba kuona unachokifanya sasa kama anakuta unasema unadaiwa na yeye anaandika hivyo ulivyosema. Uliza kabla hujachangia utumbo wako hapa
Wana mbinu nyingi za kukwapua pesa za serikali na vitega uchumi vyao kibao kupata hela za campaign...pesa watakazolipwa IPTL zinaweza kusaidia kampeni za CCM, ingawa sioni kwanini wanahitaji kufanya kampeni.
Maslahi gani kwa CAG? Yeye ameibua uhalisia mnataka kusema ana maslahi? Solve the problem acheni tabia za kuzibana midomo. Huyo JPM wako aliambiwa akaguliwe TGFA akakataa, same to kukagua manunuzi ya SGR bwawa la Nyerere ila CAG akazuiwa. na in fact alipunguza bajeti ya NAO kutoka 80 B hadi 40 B.Majizi yameanza kuwa too comfortable hawamu hii, yaani hawana hata chembe ya soni.
Ingelikuwa Magufuli raisi Kichele foul ya IPTL anayotaka kuiibua kwa maslahi yake, si ajabu sasa hivi habari ingekuwa raisi atengua nafasi ya CAG (to hell katiba inasema nini).
Embu baki kwenye mada husika hayo mengine unaweza yaanzisha mada yake.Maslahi gani kwa CAG? Yeye ameibua uhalisia mnataka kusema ana maslahi? Solve the problem acheni tabia za kuzibana midomo. Huyo JPM wako aliambiwa akaguliwe TGFA akakataa, same to kukagua manunuzi ya SGR bwawa la Nyerere ila CAG akazuiwa. na in fact alipunguza bajeti ya NAO kutoka 80 B hadi 40 B.
Naye yale yale tu msimkuze hapa
Tunajadili hoja ya IPTL na mabilioni ya kodi za Watanzania,hayo mambo ya credibility ya Zitto anzisha uzi.Zitto huna tena credibility yoyote ya kuongelea au kukemeq ufisadi/ubadhilifu wowote wa mali za umma, ulishapoteza stahiki hiyo tangu uanze kuwa chawa wa awamu ya sita.
Zitto wa kumsikiliza ni yule aliyekuwa Chadema na sio huyu wa sasa.
CCM na baadhi ya viongozi wakubwa wa serikalini wanataka kupiga hela kwa njia ya kulipa hilo deni.Sasa mbona huyo anaesema anadaiwa kamwambia hilo deni mahakama ilishaamua (umesikiliza hata clip ya dakika mbili iliyowekwa humu JF).
Kwa akili zako mtu anaekwambia deni ambalo mahakama limeamua, litakuwa bado kwenye orodha yake ya madeni?
Hata hao TRA watakubali uweke deni ambalo mahakama ilishaamua kwenye hesabu zako, halafu ulitumie kama debt interest kukwepa kodi.
Zitto atakuwa keshaongea na rafiki yake Makamba na Chande kujiridhisha zaidi hilo deni halipo kwenye vitabu vya TANESCO na ata uongozi wa leo hawalitambui.
CCM na baadhi ya viongozi wakubwa wa serikalini wanataka kupiga hela kwa njia ya kulipa hilo deni.
Embu baki kwenye mada husika hayo mengine unaweza yaanzisha mada yake.
Source ya hili deni la IPTL kwa TANESCO, CAG kalionea wapi iwapo wahusika awalitambui kwenye vitabu vyao.