zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Ripoti umeisoma? Au headline tu? Kwamba nani kasema hadaiwi?Embu baki kwenye mada husika hayo mengine unaweza yaanzisha mada yake.
Source ya hili deni la IPTL kwa TANESCO, CAG kalionea wapi iwapo wahusika awalitambui kwenye vitabu vyao.
Akhsante kwa hiyo attachment.View attachment 3285948
Achilia mbali hilo deni la IPTL, kipindi cha Makamba na Chande, walilalamika madeni ya TANESCO yanawanyima cashflow ya kuboresha shirika.
Bi Tozo akamwambia Mwigulu hayachukue madeni yao yalipwe na serikali.
Ukiangalia hiyo financial statement yao utaona ‘non current liabilities’ (madeni ya muda mrefu), hakuna kitu. Kwa sababu raisi Samia yote aliyafuta na kupeleka hazina.
Sasa hilo deni la IPTL huyu Kichere kalitoa wapi.
Ni rahisi sana kuongoza nchi za Africa.
Soma post #49 nimekuwekea extract ya financial statement ya TANESCO na link kukuonyesha achana na hilo deni la IPTL tu serikali ilichukua madeni yote ya TANESCO na kuyapeleka serikali kuu.Ripoti umeisoma? Au headline tu? Kwamba nani kasema hadaiwi?
Ya CCM tuyaweke kando kwanza issue ni TANESCO...kama CCM wanapinga hilo deni wajitokeze, waseme hawalitambui.
Subiri usome ripoti punguza mihemko, hata hujui katumia rejea gani unalazimisha na hiyo balance sheet ya 2022 mind you amekagua hesabu za 2023/24!!View attachment 3285948
Achilia mbali hilo deni la IPTL, kipindi cha Makamba na Chande, walilalamika madeni ya TANESCO yanawanyima cashflow ya kuboresha shirika.
Bi Tozo akamwambia Mwigulu hayachukue madeni yao yalipwe na serikali.
Ukiangalia hiyo financial statement yao utaona ‘non current liabilities’ (madeni ya muda mrefu), hakuna kitu. Kwa sababu raisi Samia yote aliyafuta na kupeleka hazina.
Sasa hilo deni la IPTL huyu Kichere kalitoa wapi.
Ni rahisi sana kuongoza nchi za Africa.
Sometimes sisi wenyewe tuna complicate mambo ndio maana hawa watu kuiba kwao inakuwa rahisi.Akhsante kwa hiyo attachment.
CCM hawashindi kupika chochote ilimradi lengo lao litimie.
Miaka ya nyuma kulikuwa na mkaguzi wa mahesabu wa CCM - HQ akiitwa Kija,aliniambia CCM ni bakaa,limechukuliwa Land Cruiser "kilimo kwanza" jipya, likawekwa milango mikuu mikuu, windshield kuu kuu na kuipatisha ajali, kisha mtu akainunua kwa milioni 3.
Ndio usubiri ripoti iwekwe website ujue kalitoa wapi. Yaani unataka usome abstract bila kujua methodology na findings in details? Usilazimishe income statement ya 2023 ndio iwe ya 2024!! Tena una rely kwa kauli ya samia sio actual books!!Soma post #49 nimekuwekea extract ya financial statement ya TANESCO na link kukuonyesha achana na hilo deni la IPTL tu serikali ilichukua madeni yote ya TANESCO na kuyapeleka serikali kuu.
Ndio maana ukisoma hiyo statement ya TANESCO hapo non-current liabilities inakuonyesha hakuna kitu.
Sasa ili deni Kichere yeye kalitoa wapi.
Sasa kwenye balance sheet deni la nyuma linaweza kukesakana? Unafahamu hata maana ya Non Current Liabiliti kwenye financial statement ni madeni gani yanawekwa hapo.Subiri usome ripoti punguza mihemko, hata hujui katumia rejea gani unalazimisha na hiyo balance sheet ya 2022 mind you amekagua hesabu za 2023/24!!
Auditing ya shirika unakugua vitu vilivyopo ndani ya vitabu vyao, sio hadithi au mambo unayotaka wewe.Ndio usubiri ripoti iwekwe website ujue kalitoa wapi. Yaani unataka usome abstract bila kujua methodology na findings in details? Usilazimishe income statement ya 2023 ndio iwe ya 2024!! Tena una rely kwa kauli ya samia sio actual books!!
Dispute resolution zote zilikua zimeisha? Wewe umedai kauli ya Samia tu ndio ilihamusha deni unaweza verify kuwa 2024 hilo deni lilikuwa halijarudishwa au hakukuwa na award ya settlement?Sasa kwenye balance sheet deni la nyuma linaweza kukesakana? Unafahamu hata maana ya Non Current Liabiliti kwenye financial statement ni madeni gani yanawekwa hapo.
Au unataka kusema IPTL deni lao ni jipya limetokea 2023-24?
Ndio nakuuliza umesoma ripoti ya CAG ujue amelitoa wapi deni au unaleta ujuaji tu kwa kutumia balance sheet ya mwaka juzi na sio mwaka jana?Auditing ya shirika unakugua vitu vilivyopo ndani ya vitabu vyao, sio hadithi au mambo unayotaka wewe.
Deni halipo kwenye kitabu cha TANESCO na wenyewe wamemueleza mahakama hilo deni ilishaamua; sasa sijui alikuwa kalitoa wapi.
Hivi unaelewa hata audit ya hesabu za shirika zinavyofanywa au unabisha tu ilimradi.
Kama aliwamaliza, mbona issue bado inazagaa hii?Kuna watu nchi hii bila kufa IPTL itaendelea kuepo sana Magufuli ilibidi awamalize wote wahusiki wa IPTL kwa riasasi wengine wawekwe kizuizini yule singasinga ni Bosheni tu
Tukisema tuchukue hiyo logic yako deni ni jipya ina maana interest ya deni ni over 100% ndani ya mwaka mmoja?Dispute resolution zote zilikua zimeisha? Wewe umedai kauli ya Samia tu ndio ilihamusha deni unaweza verify kuwa 2024 hilo deni lilikuwa halijarudishwa au hakukuwa na award ya settlement?
Tuachane na 2022/23, maadam haujaweka balance sheet ya 2024 basi mengine yote yanakua speculation tu sio fact. Na CAG alishauri deni lihakikiwe sasa kosa lake ni lipi?
Kuona logic ya swali langu, inabidi kwanza ukajifunze ni vitu gani vinawekwa hapo kwenye non current liabilities, vinginevyo tutakuwa tunazunguka tu.Ndio nakuuliza umesoma ripoti ya CAG ujue amelitoa wapi deni au unaleta ujuaji tu kwa kutumia balance sheet ya mwaka juzi na sio mwaka jana?
Acha speculation, unaposema kwenye vitabu halipo basi tuwekee hapa balance sheet ya 2024 ili tukuamini halipo!!
Acha speculation subiri facts ndio ufanye dispute
Independent power limitedNaomba kuuliza IPTL ni nn
NakuelewaKuona logic ya swali langu, inabidi kwanza ukajifunze ni vitu gani vinawekwa hapo kwenye non current liabilities, vinginevyo tutakuwa tunazunguka tu.
Shirika halina deni kwenye vitabu vyake, wewe unazungumza IPTL ni kama mkataba wa 2023-2024
Ok Asante kwa kunifahamishaIndependent power limited