Zitto Kabwe: Iundwe Tume kwa ajili ya ukiukwaji mkubwa wa Haki za Kibinadamu awamu ya 5

Zitto Kabwe: Iundwe Tume kwa ajili ya ukiukwaji mkubwa wa Haki za Kibinadamu awamu ya 5

babu M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Posts
5,222
Reaction score
3,173
Kuna haja kubwa ya kuundwa kwa Tume ya Majaji kwa ajili ya kuwapa nafasi waathirika wa vitendo vya ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binaadam vilivyofanyila wakati wa utawala wa Rais Magufuli kupata Haki zao. Watu ambao wamepoteza ndugu zao, waliotekwa, waliobambikiwa Kesi nk. MUHIMU

I repeat a call for a commission of inquiry, to headed by a retired Judge of Court of Appeal, on atrocities committed during the tenure of J P Magufuli administration. All Killings, abductions, disappearance of people, trumped up charges of money laundering MUST be investigated


20BF4E00-626A-4193-9FC8-DFE48CDB2E16.jpeg

C5795D03-7EF9-4FC9-88CD-2372CC2E3D2C.jpeg
 
Hoja anayo sema tu kwa vile aaminiki
Hapa kama anatumwa na mshirika wake Samia basi litafanyika analopendekeza
Kama kajituma asahau
Kwa upande mwingine unaweza ukawa mkakati wa kuwatia hatiani waasisi wa umoja party ili kuwadhoofisha na upuuzi wao wa magulification.
 
kweli bwana naungana na mnafiki Zitto kwenye uundwaji wa tume ya kuchunguza mauaji horera plus tekateka na poteza poteza ya watu enzi za Kayafa na ikiwezekana kile kikosi kazi cha akina Kingai kipelekwe kule alikopelekwa Bosco Ntaganda
 
Kwanini Zitto na chama chake akiwa kama mshirika wa serikali upande wa Zanzibar asifikishe hilo suala lake kwa Rais moja kwa moja?

Wale wapemba walipata tabu sana, waliteswa; lakini ACT wakaungana na CCM kutengeneza serikali bila kutoa "conditions" zozote kwa manufaa ya wale waathirika.

Inashangaza sana leo Zitto na chama chake tayari wakiwa ndani ya serikali wanakula matunda ndio anakumbuka haya mambo, hili liko wazi hawa jamaa wanaweka maslahi yao binafsi mbele zaidi ya wale wanaowawakilisha.
 
Kwanini Zitto na chama chake akiwa kama mshirika wa serikali upande wa Zanzibar asifikishe hilo suala lake kwa Rais moja kwa moja?

Wale wapemba walipata tabu sana, lakini ACT wakaungana na CCM kutengeneza serikali bila kutoa conditions zozote kwa manufaa ya wale waathirika.
Nakumbuka Chadema pia walitoka kauli Kama hii walipokataa kushiriki Yale maridhiano
 
Kwahiyo unataka na Mama yetu mpendwa naye aingiye kwenye hiyo hatia?Mh.Zitto nakushauri tu uendelee na mambo mengine ya kujenga nchi...
 
Hoja anayo sema tu kwa vile aaminiki
Hapa kama anatumwa na mshirika wake Samia basi litafanyika analopendekeza
Kama kajituma asahau
Kwa upande mwingine unaweza ukawa mkakati wa kuwatia hatiani waasisi wa umoja party ili kuwadhoofisha na upuuzi wao wa magulification.
Naunga mkono hoja ya Zitto.
 
Huyu naye ni mdini sn, haoni maovu ya awamu ya 6 sahivi

Halafu utadhani maisha yalianza 2015 wakati wakina Dr Ulimboka walitekwa na kung'olewa kucha awamu ya nne.Kuna watu walimwagiwa tindikali,kulishawahi kuwa tuhuma za wanasiasa kulawitiwa katika kampeni za chaguzi ndogo.Kuna watanzania waliofukiwa katika machimbo ya madini.

Hiyo tume ianze kufanya kazi kuanzia mwaka 1985.Wakina Pinocchet walitenda makosa miaka mingi sana iliyopita wakala mshahara wao.

Huyu Zitto Kabwe anatumika na baadhi ya watu ndani ya CCM.Hatutokubali pesa za walipa kodi zitumike kwa mizaa na malengo ya wapumbavu wachache wa nchi hii.
 
Back
Top Bottom