Kwenye kichwa cha habari tafadhali rekebisha 'Hashauri' ile iwe Ashauri.
Yaaani duuuh[emoji23][emoji23][emoji23]HASHAURI?
Huyu naye ni mdini sn, haoni maovu ya awamu ya 6 sahivi
Ndumilakuwili tambala la deki liko kazini
Tapeli snHivi unafikiri kila muislam ni muumini?
Huyu mwezi mtukufu huu kutwa kuongea mabaya wakati tumeusiwa nafsi zetu ziwe kwa kuomba sana na kuomba kufutiwa madhambi yetu
Sasa utamuwekaje kwenye kundi la walioamini?
Mimi nitakuwa wakwanza kutoa malalamiko kuhusu uvuvi haliyangu nimbaya sana kwa kuchomewa nyavu halali kabisa
Nakumbuka Chadema pia walitoka kauli Kama hii walipokataa kushiriki Yale maridhianoKwanini Zitto na chama chake akiwa kama mshirika wa serikali upande wa Zanzibar asifikishe hilo suala lake kwa Rais moja kwa moja?
Wale wapemba walipata tabu sana, lakini ACT wakaungana na CCM kutengeneza serikali bila kutoa conditions zozote kwa manufaa ya wale waathirika.
Naunga mkono hoja ya Zitto.Hoja anayo sema tu kwa vile aaminiki
Hapa kama anatumwa na mshirika wake Samia basi litafanyika analopendekeza
Kama kajituma asahau
Kwa upande mwingine unaweza ukawa mkakati wa kuwatia hatiani waasisi wa umoja party ili kuwadhoofisha na upuuzi wao wa magulification.
Huyu naye ni mdini sn, haoni maovu ya awamu ya 6 sahivi