Zitto Kabwe: Iundwe Tume kwa ajili ya ukiukwaji mkubwa wa Haki za Kibinadamu awamu ya 5

Kuna haja kubwa ya kuundwa kwa Tume ya Majaji kwa ajili ya kuwapa nafasi waathirika wa vitendo vya ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binaadam vilivyofanyila wakati wa utawala...
Iundwe.
 
Huyu jamaaaa baaana alafu nashotakuwa nan sasaaaaa maaana anae mwandama ameshakufa
 
Mtu wa chini ni ngumu kuelewa, ila hakuna Rais yoyote yule atakaeachia kiti chake bila kuwa na damu za watu kwenye mikono yake.

Wakati wewe unaufurahia huu utawala, kuna wanaolia kila siku. Kwahiyo ni swala la kufikiwa zamu tu.
Nikweli Mkuu, ila hivi vitu huwezi jua machungu yake mpaka vikupate kwa namna moja au nyingine.
Hoja ya Zitto kabwe kama akienda kuiongelea kule maeneo ya kwetu KIBITI NA RUFIJI atapata uungwaji mkono mkubwa.
 
Wewe ndio mdini, huyo msukuma mwezako anasemwa na wangapi? Watu wa dini zote wanamsema kwa aliyoyafanya boya wewe.
Awamu ya Kikwete alikuwa kimya amekuja Mkristo akaanza mapichapicha, sahivi ametulia sababu muislamu mwenzenu yupo madarakani
 
Hajielewi

Jina lake lime evolve tena, kaondoa Zuberi, kaunganisha Mwami na Ruyagwa
 
Nimependa hapo alivyongezea n.k
Yeye binafsi yuko tayari afunguliwe uchunguzi wa n.k?

Unamtetea vipi Mh. Kabwe?
 
Mtu wa chini ni ngumu kuelewa, ila hakuna Rais yoyote yule atakaeachia kiti chake bila kuwa na damu za watu kwenye mikono yake.

Wakati wewe unaufurahia huu utawala, kuna wanaolia kila siku. Kwahiyo ni swala la kufikiwa zamu tu.
Uchaguzi wa 2015 ilikuwa ni uchaguzi wenye ushindani kuliko zote Tanzania, Ila hatukusikia watu wameuawa Kama huu wa 2020
 
Nikweli Mkuu, ila hivi vitu huwezi jua machungu yake mpaka vikupate kwa namna moja au nyingine.
Hoja ya Zitto kabwe kama akienda kuiongelea kule maeneo ya kwetu KIBITI NA RUFIJI atapata uungwaji mkono mkubwa.
Uko sawa, maumivu ni makubwa lakini ikitumika ile hoja ya kuibuka kwa kikundi fulani huko KIBITI tunashindwa kujua nini ni nini na kwanini ilikuwa vile.

Kuna baadhi ya watu waliopoteza wapendwa wao kupitia kile kikundi cha wauwaji kwana namna moja ama nyingine watakuwa wanaipongeza serikali.
 
Shida waliopata matatizo wao wenyewe au ndugu zao no waoga au tayari wameshapoozwa na mamlaka iliyopita hata nguvu ya kufungua kesi hawana.au wanatishwa na mamlaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…