Zitto Kabwe: Iundwe Tume kwa ajili ya ukiukwaji mkubwa wa Haki za Kibinadamu awamu ya 5

Zitto Kabwe: Iundwe Tume kwa ajili ya ukiukwaji mkubwa wa Haki za Kibinadamu awamu ya 5

Kwanini tusianzie awamu ya nne tuchunguze uhalali wa kesi ya Babu Sea,Kuvamiwa na kupoteza jicho kwa Kibanda, kuteswa na kutupwa msituni kwa Dr Ulimboka na kifo cha utata cha Chacha Wangwe alafu baadaye tuamie awamu ya tano.
Mtikila nae vp
 
Kuna haja kubwa ya kuundwa kwa Tume ya Majaji kwa ajili ya kuwapa nafasi waathirika wa vitendo vya ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binaadam vilivyofanyila wakati wa utawala wa Rais Magufuli kupata Haki zao...

Awamu ya nne CHADEMA walidai iundwe tume ya kijaji wawasilishe ushahidi kuhusu maovu waliyotendewa na vyombo vya dola. Serikali ikiungwa mkono na CCM iligoma na kudai kwanza ionyeshwe ushahidi huo ndipo ijue cha kufanya.

Certainly serikali na CCM hawawezi kukubali dai la Zitto ingawa safari hii naona linatolewa zaidi kuwapunguza munkari wazee wa legasi. Lakini ni vizuri likitolewa mara kwa mara kuwashtua mashetani wajue kuwa uovu haufutiki asilani. Siku ya arubaini lazima itamfikia kila mhusika kwa wakati wake na kwa namna yake.
 
Kuna haja kubwa ya kuundwa kwa Tume ya Majaji kwa ajili ya kuwapa nafasi waathirika wa vitendo vya ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binaadam vilivyofanyila wakati wa utawala wa Rais Magufuli kupata Haki zao...
Kashajifia kisiasa,
 
WWa
Kwanini Zitto na chama chake akiwa kama mshirika wa serikali upande wa Zanzibar asifikishe hilo suala lake kwa Rais moja kwa moja...
Wale wapemba hawakukamatwa na Magufuli.Walifungwa na Kikwete.Sasa inabidi kila Rais anayetoka ,tunaunda tume.

Kikwete aliwatesa Sana watu wa Mtwara kwa kuwapiga na kuwanyanganya gesi.Hapo tuunde tume.Huyu mdini ,yeye Hilo halioni.Mpambafu Sana huyu.Hana akili kabisa.Mbwa mkubwa huyu.
 
Zitto alipopata fedha nyingi,akaziweka Dubai,alipewa na Serikali ipi,nimesahau?
Kwani wale walioua watu walikuwa hawajui kwamba wapo majaji katika nchi hii?...
Akili ya kipumbavu kabisa, kwa akili yako usalama wa Taifa wako above the law na wanaweza kufanya lolote hata kuua bila kuwajibika, hao maraisi au sijui usalama ugolo ni watu kama wewe na hawajakuzidi chochote na sheria zinawahusu pia ...you are a very weak man na kaa pembeni acha wanaojua haki zao wasimamie,umetia aibu sana
 
Ndumilakuwili tambala la deki liko kazini
Zamani sana alifukuzwa vikao vya bunge na malipo yake yote kwa sababu ya "kusema uwongo bungeni." Tukiwa wakereketwa wa CHADEMA wakati huo tukaombwa tumchangie; akalamba dola mia yangu kama mchango wangu kwake kwa kudhani kuwa kaonewa. Inawezekana kweli alikuwa kasema uwongo, sasa ndiyo nimemwelewa. Kale ka mia kangu ni afadhali ningekwenda kunywa mataputapu tu.
 
Zitto mjinga mjinga kweli ,wewe unasikia mtwara huko sijui polisi kauwa raia na kuchuwa pesa yeye anahaika na kiumbe kimeshajifia huko na kujipumzikia,hapa tunataka upinzani wa kweli na siyo huu uchwara nyambafu....!uje hapa utumbie madudu kwenye ripoti ya CAG Nini tukifanye kama wananchi unatuletea ujingaa hapa.
Ni jambo la busara sana kuwa na Tume kama hiyo.

Nchi nyingi zilizotawaliwa na watu dhalimu, kama ilivyokuwa hapa kwetu, ili kuleta maridhiano, huwa kuna Tume kama hizo.

Marehemu Magufuli aliliparanganisha Taifa. Ili kuliweka pamoja, ni muhimu sana kuwe na Tume kama hiyo, iweke wazi uovu wote wa utawala uliopita, ambao ndugu zao waliuawa au kupotezwa na yule dikteta wapate taarifa kamili, wapozwe na kufarijiwa, na kisha kama Taifa, tujadili tutafanya nini ili kuhakikisha hatupati watu dhalimu kwa kiwango cha marehemu kwenye nafasi za uongozi. Lakini wale walio hai na walishirikiana na marehemu katika kuutenda uovu huo, wawaombe msamaha Watanzania, wenye kiburi, kama ushahidi upo, wafikishwe mahakamani.
 
Kuna haja kubwa ya kuundwa kwa Tume ya Majaji kwa ajili ya kuwapa nafasi waathirika wa vitendo vya ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binaadam vilivyofanyila wakati wa utawala wa Rais Magufuli kupata Haki zao. Watu ambao wamepoteza ndugu zao, waliotekwa, waliobambikiwa Kesi nk. MUHIMU

I repeat a call for a commission of inquiry, to headed by a retired Judge of Court of Appeal, on atrocities committed during the tenure of J P Magufuli administration. All Killings, abductions, disappearance of people, trumped up charges of money laundering MUST be investigated


Tuanzie na awamu ya Mwinyi,wasiojurikana walimuua Stanslaus Katabaro alikuwa mwandishi wa habari.ikibidi tuchunguze mauaji yote tangu enzi Mwalimu na karume,watu kibao walipotezwa kwenye harakati za mapinduzi,na uhujumu uchumi
 
Anyways niko na zito,

wapo watu wameumizwa hadi kujiona kama siyo raia halali wa hii nchi.

Ufu 14:13

Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.
 
Naunga mkono hoja. Magufuli na genge lake waliua watu wengi sanaaa
Mtu wa chini ni ngumu kuelewa, ila hakuna Rais yoyote yule atakaeachia kiti chake bila kuwa na damu za watu kwenye mikono yake.

Wakati wewe unaufurahia huu utawala, kuna wanaolia kila siku. Kwahiyo ni swala la kufikiwa zamu tu.
 
Back
Top Bottom