johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kuna wakati miaka ya nyuma Zitto Kabwe akiwa mbunge kutokea Kigoma alidai hapo zamani kabla ya ujio wa Wakoloni Kigoma na Kisiwa cha Mafia zilikuwa ni nchi huru.
Sijajua ukweli wa jambo hili ila ninachokumbuka kabla ya ukolomi wachagga walikuwa na Rais wao ila sijui kama Moshi ilikuwa ni nchi huru
Maadamu sasa tunaishi ndani ya mama Tanzania basi sisi sote ni watanzania yatupasa kushikamana
Kila zama na kitabu chake.
Maendeleo hayana vyama!